MZUNGU PORI💪(@Mzungu_pori1) 's Twitter Profileg
MZUNGU PORI💪

@Mzungu_pori1

Content creator.... influencer 🤝💪
kitu siwezagi ni kukata tamaa😐 Never give up🙏✊
#LIVERPOOL_FC #YANGA_SC

ID:1414310929026764802

calendar_today11-07-2021 19:50:18

301,4K Tweets

70,4K Followers

5,2K Following

Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Tanga imesimama kuhesabiwa!

Moja kati ya mikoa ambayo haistahili kubaki kuwa maskini katika karne hii ni mkoa wa Tanga kwa utajiri na fursa ilizonazo. Nimefarijika sana kwa
Ushiriki wenu  katika maandamano yetu. Mmedhihirisha mpo mstari wa mbele kwenye azma yetu ya kudai haki…

Tanga imesimama kuhesabiwa! Moja kati ya mikoa ambayo haistahili kubaki kuwa maskini katika karne hii ni mkoa wa Tanga kwa utajiri na fursa ilizonazo. Nimefarijika sana kwa Ushiriki wenu  katika maandamano yetu. Mmedhihirisha mpo mstari wa mbele kwenye azma yetu ya kudai haki…
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

BUMUNDA anaona Tundu Lissu kurudi nchini ni hisani ya Rais. BUMUNDA anaona Tundu Lissu kufanya siasa ni hisani ya Rais. BUMUNDA kwa kuwa hata kula yake lazima ajipendekeze, anaamini watu wote wanaishi kwa hisani ya Rais. NAPE anaweza kuwa kati ya mawaziri mizigo kuwahi kuwa nayo.

account_circle
Eddo Lalika(@EddoLalika) 's Twitter Profile Photo

Huyu Mzee MONABANI anatia huruma kweli, Mh. Waziri wa kilimo Hussein M Bashe na Waziri wangu Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa fanyeni kumsikiliza huyu Mzee kawekeza mabilioni ya fedha kwenye kiwanda alafu Leo hii kinanyang'anywa kweli Tena mbele ya mamlaka🤔. Natanguliza shukrani 🙏

Huyu Mzee MONABANI anatia huruma kweli, Mh. Waziri wa kilimo @HusseinBashe na Waziri wangu Mkuu @KassimMajaliwa_ fanyeni kumsikiliza huyu Mzee kawekeza mabilioni ya fedha kwenye kiwanda alafu Leo hii kinanyang'anywa kweli Tena mbele ya mamlaka🤔. Natanguliza shukrani 🙏
account_circle
MZUNGU PORI💪(@Mzungu_pori1) 's Twitter Profile Photo

Kuna umuhimu gani wa Elimu yoyote hapa Tanzania kama ukiwakosoa CCM wanakufutia Elimu yako kwa kigezo cha nidhamu??🤔🤔

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Mzee Hashimu Issa Juma anatoka Zanzibar. Ni mkazi na mfanyabiashara kutoka Zanzibar hadi sasa. Mnaweza pia kumsikiliza kwa utulivu akitema cheche. Maana hoja yenu ya ubaguzi ni dhaifu sana.

account_circle
Mnigajia(@nicomwaih) 's Twitter Profile Photo

Kumbe Tunduru Antipus lissu kapiga kwenye mshono 😂 ndiyo maana naona wameungana kujibu lkn wapi.......

account_circle
goligani(@goligani) 's Twitter Profile Photo

BACK BENCHA nipo zangu hapa VITUKA kuna WAZEE wanaongea kwa HISIA sana huku WANATETEMEKA wanasema kijana OGOPA sana mtu anaekwambia haya MAISHA ya kweny MTANDAO ninayoishi mm ni mtu tofauti kabisa KIUHALISIA huku MTAANI nikawauliza wazee mna maana gani wakajibu kijana siku ZOTE…

BACK BENCHA nipo zangu hapa VITUKA kuna WAZEE wanaongea kwa HISIA sana huku WANATETEMEKA wanasema kijana OGOPA sana mtu anaekwambia haya MAISHA ya kweny MTANDAO ninayoishi mm ni mtu tofauti kabisa KIUHALISIA huku MTAANI nikawauliza wazee mna maana gani wakajibu kijana siku ZOTE…
account_circle
C a s e e M(@CaseemTheDreams) 's Twitter Profile Photo

Ukiishi na Wife Kwenye Nyumba ya Kupanga Yenye WASIMBE na Ndo Ana Urafiki Nao,..
Basi Jiandae na Saplaiz Muda Wowote Toka Kwa Wife..

account_circle
MADOPE🌾(@Ugeniaconso) 's Twitter Profile Photo

Matajiri wa humu wanatutisha sana sie hohehahe yani wanashindwa hata kutaja bei za vitu kwa kuhofia kutuumiza yan kuwa wanavaa mishahara ya watu🤭🤭

account_circle
mrwati(@heristraton29) 's Twitter Profile Photo

Maboss Airtel 5G router ni BURE njuu chukueni 🙌

Kama uko dar es salaam delivery ni free kabisa pia.

Andaa tu 110k ya kuweka bando la mwezi ambalo utalitumia mwezi mzima bila kikomo

Utapata na power bank pamoja na ethernet

CALL: 0687892129
WhatsApp: Wa.me/255687892129

Maboss Airtel 5G router ni BURE njuu chukueni 🙌 Kama uko dar es salaam delivery ni free kabisa pia. Andaa tu 110k ya kuweka bando la mwezi ambalo utalitumia mwezi mzima bila kikomo Utapata na power bank pamoja na ethernet CALL: 0687892129 WhatsApp: Wa.me/255687892129
account_circle
NASRI(@NasriAllyy) 's Twitter Profile Photo



💥Place, Edit or Ignore
💥1xbet code👉QJPN9
💥Odds 👉 40+

- CHIMBO NI 🔥🔥🔥

-Jisajili sasa usipitwe

-Link: shorturl.at/pEKLU
Promocode: NASRI26

-DEPOSIT & WITHDRAW

-FIKA KWA WAKALA👇👇
𝙊𝙉𝙀𝙓𝘽𝙀𝙏𝘾𝘼𝙎𝙃 𝙍𝙊𝙈𝘼𝙉𝙊
𝑨𝒊𝒓 𝑹𝒐𝒎𝒂𝒏𝒐

-Usalama wa pesa zako 100%

#1XBET 💥Place, Edit or Ignore 💥1xbet code👉QJPN9 💥Odds 👉 40+ - CHIMBO NI #1XBET 🔥🔥🔥 -Jisajili sasa usipitwe -Link: shorturl.at/pEKLU Promocode: NASRI26 -DEPOSIT & WITHDRAW #1XBET -FIKA KWA WAKALA👇👇 @1xbetcashwakala @AirRomano -Usalama wa pesa zako 100%
account_circle
Donn(@kin_donn) 's Twitter Profile Photo

Kwenye Biblia kuna Gangster anaitwa samweli imagine aliitwa na Mungu mara tatu ndo akaitika 😂😂😂

account_circle