sweetpie💞(@Rousieeeee) 's Twitter Profileg
sweetpie💞

@Rousieeeee

Accountant||owner of @Msosi_chap||Business Consultancy||Entrepreneur|| @YoungAfricansSC @chelseafc ♋️Queen

ID:1355164579656044545

calendar_today29-01-2021 14:43:41

68,7K Tweets

42,9K Followers

2,6K Following

Da Vee 👸(@VanesaTemba) 's Twitter Profile Photo

Unapomfurahisha mama kwa kumpatia zawadi yeyote, Maneno ya baraka kutoka kwake yatakuzidishia ulipoto na utazidi kubarikiwa.

Tizama mama wa mteja wetu alivyofurahi alipopewa zawadi zake za Mother’s day.

Karibu tukusaidie kuandaa gifts za mama yako nae afurahi.

0713149537

account_circle
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Mmoja ya wateja walionufaika na huduma za Av magari, akishukuru ushirikiano mzuri wa kibiashara alioupata.
Aliagiza gari yake akiwa kikazi Congo,alipewa taarifa zote kuhusu gari yake , meli iliyobeba gari yake na yeye kupewa link ya ufatiliaje wa meli yake hadi kufika Dar, na…

account_circle
sweetpie💞(@Rousieeeee) 's Twitter Profile Photo

Weekend offer to the Queens😍
Let us make your nails for just 10k
📍kigamboni ferry
☎️call us 0783809061
Karibuni🙏

Weekend offer to the Queens😍 Let us make your nails for just 10k 📍kigamboni ferry ☎️call us 0783809061 Karibuni🙏
account_circle
DOCHA (@ALugandu) 's Twitter Profile Photo

Kindly Repost..🔁🙏

𝐁𝐑𝐀𝐍𝐃: Bellonair..🙏
Size: 40-45
𝐏𝐫𝐢𝐜𝐞: 120,𝟎𝟎𝟎/=
Delivery Yes I Do..🛵
DM WhatsApp Or Call ☎️:062656077

Kindly Repost..🔁🙏 𝐁𝐑𝐀𝐍𝐃: Bellonair..🙏 Size: 40-45 𝐏𝐫𝐢𝐜𝐞: 120,𝟎𝟎𝟎/= Delivery Yes I Do..🛵 DM WhatsApp Or Call ☎️:062656077
account_circle
sweetpie💞(@Rousieeeee) 's Twitter Profile Photo

Weekend offer to the Queens😍
Let us make your nails for just 10k
📍kigamboni ferry
☎️call us 0783809061
Karibuni🙏

Weekend offer to the Queens😍 Let us make your nails for just 10k 📍kigamboni ferry ☎️call us 0783809061 Karibuni🙏
account_circle
DOCHA (@ALugandu) 's Twitter Profile Photo

Kivumbi Cha EPL Kinaendelea Jumamosi ya Leo Ndani ya DStv (TZ) Kule Newcastle Vs Brighton, Huku Fullham Dhidi ya Man City Je Man City Atashinda..!?

Usikose Kutazama Mechi Hizi Ukiwa Umelipia Kifurushi Chako Cha POA au COMPACT Kwa Kupiga *150*53#

Kivumbi Cha EPL Kinaendelea Jumamosi ya Leo Ndani ya @DStv_Tz Kule Newcastle Vs Brighton, Huku Fullham Dhidi ya Man City Je Man City Atashinda..!? Usikose Kutazama Mechi Hizi Ukiwa Umelipia Kifurushi Chako Cha POA au COMPACT Kwa Kupiga *150*53# #MfalmeWaBomba
account_circle
Da Vee 👸(@VanesaTemba) 's Twitter Profile Photo

Mother’s day ni May 12. Usiache ipite bila kumpatia mama yako zawadi ya kumpongeza

Hatuna bei fixed ya zawadi zetu. Njoo na bajeti yako tukuandalie zawadi yenye kumbukumbu nzuri kwa mama.

Bei ni kuanzia 5000 tu

💥Free wrapping & gift card. 💥

0713149537

Karibu TheGiftHaus

account_circle
TAMWA Zanzibar(@TAMWA_Zanzibar) 's Twitter Profile Photo

'Waandishi wa habari musichoke kupaza sauti kupitia vyombo vya habari, ili kupata sheria rafiki zenye kuleta mabadiliko katika jamii,' Zaina Mzee Afisa Mradi wa kuimarisha .

'Waandishi wa habari musichoke kupaza sauti kupitia vyombo vya habari, ili kupata sheria rafiki zenye kuleta mabadiliko katika jamii,' Zaina Mzee Afisa Mradi wa kuimarisha #UhuruWaHabari.
account_circle
TAMWA Zanzibar(@TAMWA_Zanzibar) 's Twitter Profile Photo

'Vyombo vya Habari nchini bado havijapewa heshima yake ipasavyo, hivyo waandishi lazima kupaza sauti kwa manufaa ya umma ili kurejesha heshima yake,' Dkt. Mzuri Issa, Mkurugenzi TAMWA ZNZ.

'Vyombo vya Habari nchini bado havijapewa heshima yake ipasavyo, hivyo waandishi lazima kupaza sauti kwa manufaa ya umma ili kurejesha heshima yake,' Dkt. Mzuri Issa, Mkurugenzi TAMWA ZNZ. #UhuruWaHabari
account_circle
TAMWA Zanzibar(@TAMWA_Zanzibar) 's Twitter Profile Photo

'Kazi ya Utetezi (advocacy) imeanza kwa miaka takribani kumi kudai Sheria mpya ya habari yenye maslahi kwa waandishi na jamii kwa ujumla,' Shifaa Said, Afisa Mwandamizi, Baraza la Habari Tanzania (MCT) Zanzibar.

Nini kifanyike ili kupatikana ?

'Kazi ya Utetezi (advocacy) imeanza kwa miaka takribani kumi kudai Sheria mpya ya habari yenye maslahi kwa waandishi na jamii kwa ujumla,' Shifaa Said, Afisa Mwandamizi, Baraza la Habari Tanzania (MCT) Zanzibar. Nini kifanyike ili kupatikana #UhuruWaHabari?
account_circle
TAMWA Zanzibar(@TAMWA_Zanzibar) 's Twitter Profile Photo

Leo Mei 10, watendaji wa TAMWA ZNZ wamekutana na wafanyakazi wa redio jamii Mkoani Fm Pemba kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya ikiwemo uchechemuzi wa mabadiliko ya sheria zinazokwaza uhuru huo kwa jamii na vyombo vya habari.

Unatambua umuhimu ?

Leo Mei 10, watendaji wa TAMWA ZNZ wamekutana na wafanyakazi wa redio jamii @Mkoanifm Pemba kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya #UhuruWaHabari ikiwemo uchechemuzi wa mabadiliko ya sheria zinazokwaza uhuru huo kwa jamii na vyombo vya habari. Unatambua umuhimu #UhuruWaHabari?
account_circle