Sheila Mchamba (@sheilamchamba) 's Twitter Profile
Sheila Mchamba

@sheilamchamba

GOD OVER EVERYTHING ||CHIEF EXECUTIVE OFFICER OF NURU YA BINTI ORGANIZATION ๐Ÿ‘ธ๐Ÿพ||CHADEMAโ€™S LITTLE PRINCESS๐Ÿ‘ธ๐Ÿพ

ID: 901218843162497024

calendar_today25-08-2017 23:04:50

5,5K Tweet

9,9K Followers

400 Following

Sheila Mchamba (@sheilamchamba) 's Twitter Profile Photo

Mungu aliyemponya Tundu Lissu, Akamrejesha Roma na Sativa and the rest of survivors,, tunamuomba aturudishie Soka na wenzie wakiwa salama. Ila #kutekanatekananiushamba

Shekh Ally Mohamed (Kadogoo) (@shekhalykadogoo) 's Twitter Profile Photo

Natangaza rasmi,Nimetia nia, kugombea umakamu uenyekiti katika kanda yapwani!! Pwani yetu, kivyetuvyetu, Mwenyezi Mungu atusaidie nakutusimamia katika kukiimarisha chama chetu

Natangaza rasmi,Nimetia nia, kugombea umakamu uenyekiti katika kanda yapwani!! Pwani yetu, kivyetuvyetu, Mwenyezi Mungu atusaidie nakutusimamia katika kukiimarisha chama chetu
Ntele Bh (@ntele_bh) 's Twitter Profile Photo

On behalf of the clear-minded youth of the Coastal zone, upright politicians, men and women of integrity, both urban and rural, we unanimously endorse Boniface Jacob in his aspirations for the Chairmanship.

On behalf of the clear-minded youth of the Coastal zone, upright politicians, men and women of integrity, both urban and rural, we unanimously endorse <a href="/ExMayorUbungo/">Boniface Jacob</a> in his aspirations for the Chairmanship.
Shekh Ally Mohamed (Kadogoo) (@shekhalykadogoo) 's Twitter Profile Photo

Mwanzo wa hesabu ni moja!! Tumetimiza hatua yakwanza, bado usaili, Maombi yenu nimuhimu, mie na ndugu yangu Boniface Jacob, tumetia nia, kuiongoza kanda ya pwani, yeye mwenyekiti, nami nimetia nia niwe makamu wake!

Shekh Ally Mohamed (Kadogoo) (@shekhalykadogoo) 's Twitter Profile Photo

Tunawashukuru, wanachama, na wapenzi wa Chama chetu, kwakutuunga mkono, nakutusindikiza kwamaandamano, yakurudisha form siku yajana, yajayo yatafurahisha in shaa Allah, Tunaamini, nakutaraji, CHADEMA kanda yapwani, itakuwa katika mikono salama, "pwani yetu kivyetuvyetu!!" โœŒ๐ŸปโœŒ๐Ÿป

Tunawashukuru, wanachama, na wapenzi wa Chama chetu, kwakutuunga mkono, nakutusindikiza kwamaandamano, yakurudisha form siku yajana, yajayo yatafurahisha in shaa Allah, Tunaamini, nakutaraji, CHADEMA kanda yapwani, itakuwa katika mikono salama, "pwani yetu kivyetuvyetu!!" โœŒ๐ŸปโœŒ๐Ÿป
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Im told natafutwa. Well, nilizika hofu-mauti zamani kiasi. & at this point Iโ€™m tired. God serve me & my boys. Weโ€™ve no capacity - save for strengths we find in You. Be my God, my Friend & my best Guy. To You we surrender our lives. Mkifanikiwa nitupeni kijijini kwetu๐Ÿคฒ๐Ÿพ

Im told natafutwa. 

Well, nilizika hofu-mauti zamani kiasi.

&amp; at this point Iโ€™m tired. 

God serve me &amp; my boys. Weโ€™ve no capacity - save for strengths we find in You. 

Be my God, my Friend &amp; my best Guy. To You we surrender our lives.

Mkifanikiwa nitupeni kijijini kwetu๐Ÿคฒ๐Ÿพ
Ali Kibao (@alikibao) 's Twitter Profile Photo

Baba yetu hakutaka makuu wala umaarufu. Alidedicate maisha yake kwa wanawe na wajukuu zake, hayo kwake yeye ndo ilikuwa fahari yake. Ni mtu wa msimamo, mbishi sana ๐Ÿ˜ƒ lakini mtu wa misimamo asiyeyumbishwa kirahisi. Aliishi kwa principles zake na sasa wememuuwa, kitatili kabisa,

Baba yetu hakutaka makuu wala umaarufu. Alidedicate maisha yake kwa wanawe na wajukuu zake, hayo kwake yeye ndo ilikuwa fahari yake.

Ni mtu wa msimamo, mbishi sana ๐Ÿ˜ƒ lakini mtu wa misimamo asiyeyumbishwa kirahisi.

Aliishi kwa principles zake na sasa wememuuwa, kitatili kabisa,
๐ฝ๐‘ข๐‘™๐‘–๐‘ข๐‘  ๐บ๐‘Ž๐‘๐‘Ÿ๐‘–๐‘’๐‘™ ๐‘€๐‘ค๐‘–๐‘ก๐‘Ž (@mwitajulius2000) 's Twitter Profile Photo

๐‘Š๐˜ข๐‘™๐˜ช๐‘๐˜ฐ ๐˜‹๐‘Ž๐˜ณ ๐˜›๐‘ข๐˜ง๐‘–๐˜ฌ๐‘’ ๐พ๐˜ธ๐‘Ž ๐‘Š๐˜ช๐‘›๐˜จ๐‘– ๐‘€๐˜ขโ„Ž๐˜ข๐‘˜๐˜ข๐‘š๐˜ข ๐˜’๐‘ข๐˜ถ ๐˜’๐‘Ž๐˜ฏ๐‘‘๐˜ข ๐˜บ๐‘Ž ๐ท๐˜ข๐‘Ÿ, ๐˜’๐‘ข๐˜ด๐‘–๐˜ฌ๐‘–๐˜ญ๐‘–๐˜ป๐‘Ž ๐ป๐˜ถ๐‘˜๐˜ถ๐‘š๐˜ถ ๐˜บ๐‘Ž ๐‘‡๐˜ˆ๐‘€๐˜๐‘†๐˜Œ๐‘€๐˜ ๐˜ฌ๐‘ข๐˜ด๐‘–๐˜ฎ๐‘Ž๐˜ฎ๐‘–๐˜ข ๐˜œ๐‘๐˜ฉ๐‘Ž๐˜จ๐‘ข๐˜ป๐‘– ๐‘ค๐˜ข ๐˜š๐‘’๐˜ณ๐‘–๐˜ฌ๐‘Ž๐˜ญ๐‘– ๐‘ง๐˜ข ๐˜”๐‘–๐˜ต๐‘Ž๐˜ข ๐‘ƒ๐˜ข๐‘š๐˜ฐ๐‘—๐˜ข ๐˜’๐‘ค๐˜ข๐‘š๐˜ฃ๐‘Ž ๐‘‡๐˜ถ๐‘›๐˜ข๐‘ข๐˜คโ„Ž๐˜ถ๐‘›๐˜จ๐‘ข