Ali Kibao (@alikibao) 's Twitter Profile
Ali Kibao

@alikibao

Builder @ flexperts.dev
Currently working on: caigo.co.za

ID: 229031836

linkhttps://alikibao.com calendar_today21-12-2010 10:03:30

8,8K Tweet

4,4K Takipçi

667 Takip Edilen

Ali Kibao (@alikibao) 's Twitter Profile Photo

Baba yetu hakutaka makuu wala umaarufu. Alidedicate maisha yake kwa wanawe na wajukuu zake, hayo kwake yeye ndo ilikuwa fahari yake. Ni mtu wa msimamo, mbishi sana 😃 lakini mtu wa misimamo asiyeyumbishwa kirahisi. Aliishi kwa principles zake na sasa wememuuwa, kitatili kabisa,

Baba yetu hakutaka makuu wala umaarufu. Alidedicate maisha yake kwa wanawe na wajukuu zake, hayo kwake yeye ndo ilikuwa fahari yake.

Ni mtu wa msimamo, mbishi sana 😃 lakini mtu wa misimamo asiyeyumbishwa kirahisi.

Aliishi kwa principles zake na sasa wememuuwa, kitatili kabisa,