Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profileg
Simba Sports Club

@SimbaSCTanzania

The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)

ID:3318397774

linkhttps://simbasc.co.tz/app calendar_today11-06-2015 03:30:05

20,3K Tweets

1,6M Followers

38 Following

Follow People
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

πŒπšπ›π’π§π π°πš 𝐓𝐖𝐏𝐋 πŸπŸ‘/πŸπŸ’ πŸ†

πŒπšπ›π’π§π π°πš 𝐓𝐖𝐏𝐋 πŸπŸ‘/πŸπŸ’ πŸ† #NguvuMoja
account_circle
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

Kikosi chetu kesho kitakabidhiwa taji la ubingwa baada kumalizika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) dhidi ya Geita Gold Queens utakaopigwa Uwanja wa Azam Complex Chamazi saa 10 jioni.

Kikosi chetu kesho kitakabidhiwa taji la ubingwa baada kumalizika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) dhidi ya Geita Gold Queens utakaopigwa Uwanja wa Azam Complex Chamazi saa 10 jioni. #NguvuMoja
account_circle
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula amekutana na Kocha wa timu ya Vijana wa chini ya miaka 17, John Bocco.

Simba SC imemkabidhi Bocco jukumu la kukinoa kikosi cha vijana wa chini ya miaka 17 ambacho kimeonyesha mafanikio makubwa msimu huu.

Kajula alisema β€œtunatambua

Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula amekutana na Kocha wa timu ya Vijana wa chini ya miaka 17, John Bocco. Simba SC imemkabidhi Bocco jukumu la kukinoa kikosi cha vijana wa chini ya miaka 17 ambacho kimeonyesha mafanikio makubwa msimu huu. Kajula alisema β€œtunatambua
account_circle
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

πŒπ€ππˆππ†π–π€ 𝐖𝐀 π‹πˆπ†πˆ πŠπ”π” π˜π€ π–π€ππ€π–π€πŠπ„ πŸπŸŽπŸπŸ‘/πŸπŸ’ πŸ†

πŒπ€ππˆππ†π–π€ 𝐖𝐀 π‹πˆπ†πˆ πŠπ”π” π˜π€ π–π€ππ€π–π€πŠπ„ πŸπŸŽπŸπŸ‘/πŸπŸ’ πŸ† #WenyeNchi #NguvuMoja
account_circle