Simba Sports Club
@SimbaSCTanzania
The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)
ID:3318397774
https://simbasc.co.tz/app 11-06-2015 03:30:05
20,3K Tweets
1,6M Followers
38 Following
Follow People
π£οΈ Ujumbe wa wachezaji kwa Wanasimba kuelekea mchezo wetu wa kesho dhidi ya Geita Gold Queens.
#NguvuMoja
Kikosi chetu kesho kitakabidhiwa taji la ubingwa baada kumalizika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) dhidi ya Geita Gold Queens utakaopigwa Uwanja wa Azam Complex Chamazi saa 10 jioni.
#NguvuMoja
Mwekezaji na Rais wa heshima, Mohammed Dewji akitangaza kurejea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi. #WenyeNchi #NguvuMoja
Tunawatakia mchezo mwema timu ya Taifa (Taifa Stars) katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2026 #FIFAWorldCup dhidi ya Zambia. #WenyeNchi #NguvuMoja
A six-goal spectacle. π€―
Simba Sports Club win against Jwaneng Galaxy FC is the biggest victory in the 2023/24 #TotalEnergiesCAFCL . π₯
#MondayMotivation
ππππππππ ππ ππππ πππ ππ ππππππππ ππππ/ππ π #WenyeNchi #NguvuMoja