Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profileg
Mwemezi Rwiza, PhD

@SwahiliBible

I teach and do research at the Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST), TZ. Science author (https://t.co/ugYmynyQkh…)

ID:65426411

linkhttps://www.nm-aist.ac.tz calendar_today13-08-2009 18:11:56

46,7K Tweet

78,8K Takipçi

1,7K Takip Edilen

𝕄𝕎𝔸ℕ𝔸 𝕎𝔸 ℕ𝔾𝕌ℝ𝕌𝕄𝕆(@harris_hadson) 's Twitter Profile Photo

Mwemezi Rwiza, PhD Wengi tumebaki kutafta umaarufu wa uelewa wa maarifa ya KIMUNGU mtandaoni na kuacha kusudi la Mungu ndani yetu. Kwa maana kila mtu ana njia yake pia ana kitu cha kipekee kuliko mwingine ili tufaidiane.

account_circle
𝕄𝕎𝔸ℕ𝔸 𝕎𝔸 ℕ𝔾𝕌ℝ𝕌𝕄𝕆(@harris_hadson) 's Twitter Profile Photo

Mwemezi Rwiza, PhD “Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni. ”
— 1 Wakorintho 2:13 (Biblia Takatifu)

account_circle
JP(@johnngoty) 's Twitter Profile Photo

Mwemezi Rwiza, PhD Kweli kabisa. Badala ya kumgeukia ambaye 'atatufundisha na kutukumbusha yote' wanageukia mtandao. At the same time sio kwa lengo la kujifunza.

account_circle
Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profile Photo

WEWE ni mtu wa mwilini (carnal) kabisa laivu yaani pure, lakini unataka ujue kila kitu cha rohoni (spiritual); utaishia kuwa mchawi asiye na tunguli tu. Vitu vya rohoni vyajulika na watu wa rohoni.

account_circle
Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profile Photo

WAKRISTO wa kizazi kipya: Wanauliza maswali mitandaoni ambayo ni Roho Mtakatifu peke yake anaweza kuyajibu tena sirini kwenye chumba cha maombi. Jazwa Roho uone kama utauliza tena hizo vitu.

account_circle
Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profile Photo

I'm using the Bible App by YouVersion.com. Download it now for your mobile device.

app.bible.com/FCPc/ilyCM8GCt…

account_circle
Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profile Photo

KUJITAFUTA ni process ya kudumu, lakini siyo ya milele. Usichoke. Unaweza kujipata katika eneo fulani la maisha, lakini ukaendelea kujitafuta katika maeneo mengine. Hakuna hata mmoja atakayeweza kujipata katika maeneo yote ya maisha. Baraka zinaendelea kututafuta.

account_circle
Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profile Photo

Napenda katuni ya Baby Shark. Jumamosi asubuhi utanikuta hapo na ndugu zangu tunaangalia. Kumbe Baby Shark madhara yake makubwa 😂

account_circle
Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profile Photo

'Nilianza kwa kujitolea kuosha vyombo kwa mama ntilie pale Manzese Darajani. Sasa hivi ninamiliki mgahawa wa kimataifa Dubai.'

What was the one inspirational speech that made you raise your eyebrows? 🤨🤨

account_circle
Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profile Photo

Bado picha moja tu ili watu wakuelewe:

Naomba uingie hapo Congress upige picha moja kali uirushe. Au uingie sebuleni kwa Biden kabisa hapo.

Dogo langu hilo! 🤣

account_circle