T€KnoloJIA (@tek_no_hama) 's Twitter Profile
T€KnoloJIA

@tek_no_hama

Economist/Researcher/Record Producer/Developer/Data Scientist
◇◆◇ Economics, Statistics, Big Data, Music, Programming
◆ #TAMADUNIMUZIK

ID: 1586604308

calendar_today11-07-2013 19:18:16

6,6K Tweet

3,3K Followers

3,3K Following

T€KnoloJIA (@tek_no_hama) 's Twitter Profile Photo

Upuuzi wa CCM unaendelea! Ile pesa ya jengo kwenye luku mnawacharge wenye nyumba huko kwenu?? CCM wanajua watanzania ni punguani na nikweli!

Aucho Khalid🇺🇬 (@aucho_khalid08) 's Twitter Profile Photo

Forming a connection with your idol when still alive is a reality that surpasses any dream. My bros Noah Kasule Babadi, Umar Kasule and Ivan Mugweri. 🤝🙏🏿

Forming a connection with your idol when still alive is a reality that surpasses any dream. 

My bros Noah Kasule Babadi, Umar Kasule and Ivan Mugweri. 🤝🙏🏿
augustòmalusu (@augustinemalusu) 's Twitter Profile Photo

RAIS Eng. Hersi Said ni kiongozi ambae ninaamini anaibadilisha taswira ya soka la Tanzania na Afrika kiujumla ngazi ya Vilabu kibiashara,mahusiano na Branding + mafanikio kiwanjani...👏 Yanga wametoka kucheza na Augsburg(Bundesliga) + Ts Galaxy(PSL) ambapo Walikutana na...

RAIS <a href="/Caamil8/">Eng. Hersi Said</a> ni kiongozi ambae ninaamini anaibadilisha taswira ya soka la Tanzania na Afrika kiujumla ngazi ya Vilabu kibiashara,mahusiano na Branding + mafanikio kiwanjani...👏

Yanga wametoka kucheza na Augsburg(Bundesliga) + Ts Galaxy(PSL) ambapo Walikutana na...
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

UTAPELI NI NINI? Chlorocebus (Ngedere) siyo nocturnal animals (wanyama wanaofanya kazi usiku na kulala mchana). Ngedere, giza likiingia, analala. Hataki hekaheka. Anakula mchana na kuruka kwenye miti. TRC wanasema ngedere walikata walisababisha hitilafu ya umeme usiku saa 4.

UTAPELI NI NINI?

Chlorocebus (Ngedere) siyo nocturnal animals (wanyama wanaofanya kazi usiku na kulala mchana). Ngedere, giza likiingia, analala. Hataki hekaheka.  Anakula mchana na kuruka kwenye miti. TRC wanasema ngedere walikata walisababisha hitilafu ya umeme usiku saa 4.
T€KnoloJIA (@tek_no_hama) 's Twitter Profile Photo

Kwamba this is football! Kwamba kuna mashabiki wa Simba kabisa wanaamini wanaweza kuchukua ubingwa mbele ya Yanga kwa mbwembwe na wachezaji wa bukubuku! Kweli akili ni nywele!😀 you should be worried about Azam and Black stars not Yanga!

T€KnoloJIA (@tek_no_hama) 's Twitter Profile Photo

Nchi ambayo kilaza alifeligi huko akafanya zake siasa uchwara mkampa honorary degree mnasema ana PhD mnamuita Dr, af mnategemea atafaya vitu logical, aliefeli logic ya form two? Wehu ninyi!