Ummy Mwalimu, MP(@ummymwalimu) 's Twitter Profileg
Ummy Mwalimu, MP

@ummymwalimu

🇹🇿Member of Parliament, Tanga Urban 2020 - 2025 | Minister of Health Tanzania Jan 2022 to-date | Minister -TAMISEMI 2021 & Minister of Health 2015 - 2020

ID:525260096

linkhttp://www.moh.go.tz calendar_today15-03-2012 10:55:12

8,2K Tweets

895,3K Followers

700 Following

Ummy Mwalimu, MP(@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

Tuamke mapema kesho jumapili tar 28 April na tushiriki ili kuwaunga mkono Lukiza Autism Foundation ktk kuboresha huduma za Elimu na Afya kwa watoto wenye Usonji nchini 🇹🇿 🇹🇿

account_circle
Ummy Mwalimu, MP(@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

Tunapiga hatua ktk kutoa huduma za Matibabu ya kibingwa na bobezi ya Mifupa, Ubongo na Mishipa ya Fahamu na hivyo majirani wetu kuvutiwa nasi. Leo @taasisiyamifupa_moi imepata heshma ya kutembelewa na Rais wa Somalia Mhe Dkt. Hassan Sheikh Mohamud. Tupo tayari kuhudumia wagonjwa…

Tunapiga hatua ktk kutoa huduma za Matibabu ya kibingwa na bobezi ya Mifupa, Ubongo na Mishipa ya Fahamu na hivyo majirani wetu kuvutiwa nasi. Leo @taasisiyamifupa_moi imepata heshma ya kutembelewa na Rais wa Somalia Mhe Dkt. Hassan Sheikh Mohamud. Tupo tayari kuhudumia wagonjwa…
account_circle
Ummy Mwalimu, MP(@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

Huduma za matibabu ya Moyo za Kibingwa na Bobezi @ Taasisi ya Jakaya Kikwete zamvutia Rais wa Somalia.
----
Posted Repost app • @taasisiyamoyo_jkci Rais wa Jamhuri ya Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud amewapongeza wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete…

Huduma za matibabu ya Moyo za Kibingwa na Bobezi @ Taasisi ya Jakaya Kikwete zamvutia Rais wa Somalia. #KaziIendelee ---- Posted @withregram • @taasisiyamoyo_jkci Rais wa Jamhuri ya Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud amewapongeza wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete…
account_circle
Ummy Mwalimu, MP(@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

Leo Ikulu Dar es salaam. Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya tupo tayari kushirikiana na Serikali ya Somalia ktk kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora za afya ikiwemo huduma za ubingwa na ubingwa bobezi kwa wananchi wa Somalia. Tunamshukuru Rais wetu Dkt Samia Suluhu…

account_circle
Ummy Mwalimu, MP(@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

Tumedhamiria kuimarisha huduma za Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu kwa watanzania ikiwemo kuhakikisha huduma hizi ni salama na zinawafikia watu wengi hususani wa vijijini. Ni matumaini yangu kuwa Chama kipya kilichozinduliwa leo - Tanzania Neurosurgical Society (TNS)…

account_circle
Dr Baraka J Nzobo(@bnzobo) 's Twitter Profile Photo

Dason Samia Suluhu Ummy Mwalimu, MP Mwanachama mwenzako wa chama ulichoko kamuibua huyu mgonjwa na tumemuelekeza cha kufanya. Fungua link hii
x.com/carlosbalikuli…

account_circle
Ummy Mwalimu, MP(@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

Kazi nzuri wataalamu wetu wa bugando medical centre . Tutaendelea kuhakikisha Baltazar anaendelea kupata huduma ikiwemo huduma za Utengamao ili aweze kupona zaidi pamoja na kuongea vizuri zaidi.

account_circle
Ummy Mwalimu, MP(@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

Leo tarehe 25 April, 2024, Wizara ya Afya na Wadau wake tunaadhimisha Siku ya Malaria Duniani. Maadhimisho ya Kitaifa mwaka huu yanafanyika Mkoani Tabora ambao ndio unaongoza kitaifa kwa kuwa na maambukizi ya malaria kwa kiwango cha asilimia 23.4%.

Kauli mbiu ya mwaka huu ni…

Leo tarehe 25 April, 2024, Wizara ya Afya na Wadau wake tunaadhimisha Siku ya Malaria Duniani. Maadhimisho ya Kitaifa mwaka huu yanafanyika Mkoani Tabora ambao ndio unaongoza kitaifa kwa kuwa na maambukizi ya malaria kwa kiwango cha asilimia 23.4%. Kauli mbiu ya mwaka huu ni…
account_circle
Ummy Mwalimu, MP(@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

Taarifa zaidi kuhusu Kiwango cha Matumizi ya Pombe Tanzania na Magonjwa YasiyoAmbukiza.

Kwa mujibu wa World Health Statistics 2023 kiwango cha matumizi ya Pombe isiyozimuliwa (Pure alcohol - 100% ) nchini Tanzania kwa mwaka kwa kila mtu mwenye umri wa miaka 15 na kuendelea ni…

Taarifa zaidi kuhusu Kiwango cha Matumizi ya Pombe Tanzania na Magonjwa YasiyoAmbukiza. Kwa mujibu wa World Health Statistics 2023 kiwango cha matumizi ya Pombe isiyozimuliwa (Pure alcohol - 100% ) nchini Tanzania kwa mwaka kwa kila mtu mwenye umri wa miaka 15 na kuendelea ni…
account_circle
Ummy Mwalimu, MP(@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

Jana nilipata heshima ya kufungua Mkutano wa Kwanza wa Afrika kuhusu Magonjwa yasiyoambukiza (1st International Conference on PEN (Package of WHO Essential Noncommunicable Disease) Plus Regional Strategy to Address Severe NCDs in Africa.

Ninawashukuru Shirika la Afya Duniani…

Jana nilipata heshima ya kufungua Mkutano wa Kwanza wa Afrika kuhusu Magonjwa yasiyoambukiza (1st International Conference on PEN (Package of WHO Essential Noncommunicable Disease) Plus Regional Strategy to Address Severe NCDs in Africa. Ninawashukuru Shirika la Afya Duniani…
account_circle