Tundu Antiphas Lissu(@TunduALissu) 's Twitter Profileg
Tundu Antiphas Lissu

@TunduALissu

Tanzania 🇹🇿 Presidential Candidate 2020 for @chadematz | Former President of the Tanganyika Law Society | Parliamentarian | Political Leader | Survivor

ID:1106021802860515328

calendar_today14-03-2019 02:38:41

1,4K Tweets

741,5K Followers

307 Following

Follow People
Tundu Antiphas Lissu(@TunduALissu) 's Twitter Profile Photo

Singida imeitikia wito wa ukombozi. Kesho ni zamu ya Dodoma, Mji Mkuu wa nchi na mojawapo ya mikoa inayoongoza kwa umaskini katika Tanzania. Kesho nitaongoza maandamano ya kudai Katiba Mpya na Mfumo Huru wa Uchaguzi na baadae kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Dodoma. Karibuni!!!

account_circle
Tundu Antiphas Lissu(@TunduALissu) 's Twitter Profile Photo

Nili-post clip hii miaka miwili iliyopita. Peter Mtinangi sasa ni marehemu; amefariki jana tarehe 21 Aprili. Waliompiga na kumsababishia kifo wako huru hadi sasa. Hakuna uchunguzi; hakuna kukamatwa, na hakuna hata kuhojiwa. Tukisema Jeshi la Polisi linalinda wauaji mtasemaje?

account_circle
Tundu Antiphas Lissu(@TunduALissu) 's Twitter Profile Photo

IGP Sirro, mwanachama wetu Peter Mtinangi anasimuliwa alivyo pigwa na Mbunge wa CCM, Elibariki Kingu. Hadi leo hakuna uchunguzi, hakuna aliyekamatwa, hakuna kesi na wala Mbunge Kingu hajahojiwa. Baada ya kupigwa aliwekwa ndani na kuachiwa kwa masharti ya kujiunga na CCM.

account_circle
Tundu Antiphas Lissu(@TunduALissu) 's Twitter Profile Photo

Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai wa kisiasa wa CCM tu?

Ufashisti na udikteta huwa una sura hii. Serikali kutaka kujua na kudhibiti kila kitu wafanyacho wananchi. Lengo ni kudhibiti uhuru wa wananchi kujiamulia mambo yanayohusu maisha yao. Unasajili vikundi vya kufa na kuzikana, au vya kusaidiana, au vya ujirani mwema ili iweje?

At a sprightly age of 87 years, Mzee Geoffrey Mushi, aka Mzee Bino, is as lucid a mind and as commanding a presence as when he served as my headmaster at Ilboru Secondary School in the early '80s. It's a rare privilege to catch up with him after nearly 40 years of separation.

President Ali Hassan Mwinyi, who died on Thursday & was laid to rest yesterday, was a kindly man. When I was gunned down in Sept. '17 & rushed to Nairobi for treatment, Mzee Mwinyi & Mama Sitti came to The Nairobi Hospital to wish me speedy recovery. May he Rest in Eternal Peace!

Muhomi Siuhi Mughwai, beloved kid brother & dearest friend, was stolen from this earth in a horrific accident in Kibaha yesterday morning. Those of us who knew & loved him are utterly crushed & devastated & will sorely miss him. Go thee well, my kid brother. May you Rest in Peace

Salaam kutoka Kodivari ambako hawa jamaa wametucharaza mbaya jana. Wakati tukijiandaa kukabiliana na Zambia siku ya Jumapili, naomba kuwataarifu kwamba saa sita mchana wa kesho kutwa Jumamosi nitatoa kauli kuhusu masuala muhimu yanayoikabili nchi yetu kwa wakati huu. Tune in!

Tumepuuzwa kiasi cha kutosha. Tumedharauliwa kiasi cha kutosha. Unyonge wetu ndio uliotufanya tupuuzwe na kudharauliwa. Vijana wetu wamesema sasa basi! Wamekataa kuendelea kupuuzwa na kudharauliwa. Huu ni wakati wa kuwaunga mkono uwanjani wanakochezea. Tuko hapa kwa ajili hiyo!

account_circle
Tundu Antiphas Lissu(@TunduALissu) 's Twitter Profile Photo

Did this gov't learn anything from the fog of secrecy around Magufuli's death two years ago? Death/illness of state leaders can't be hushed up. Secrecy breeds rumors of dirty tricks/foul play. Come clean! Tell us where Vice President Phillip Mpango is now! bbc.com/news/world-afr…

account_circle
Tundu Antiphas Lissu(@TunduALissu) 's Twitter Profile Photo

Hivi Serikali hii ilijifunza chochote juu ya kifo cha Magufuli mwaka juzi? Kifo au ugonjwa wa kiongozi mkuu wa nchi havifichiki! Kufichaficha kunaleta hisia mbaya za mchezo mchafu dhidi yake. Jisafisheni! Tuambieni aliko Makamu wa Rais Phillip Mpango sasa! bbc.com/news/world-afr…

account_circle
Chadema Diaspora(@ChademaDiaspora) 's Twitter Profile Photo

Tundu Lissu |Guest Lecturer Corruption, Darla Moore School of Business, University of South Carolina twitter.com/i/broadcasts/1…

account_circle