UCSAF-Tanzania
@UcsafT
Universal Communications Service Access Fund ( UCSAF)was established to facilitate access to communication services.
For more information call 0800110700
ID:1357000480883421187
http://ucsaf.go.tz 03-02-2021 16:18:54
785 Tweets
1,3K Followers
12 Following
Bodi ya Wakurugenzi ya UCSAF ikiongozwa na Mwenyekiti wake Profesa John Nkoma, wakiwa katika ukaguzi wa mnara uliojengwa na kampuni ya Tigo Tanzania katika kijiji cha Ukwavila kata ya Mapogoro, wilayani Mbarali Mkoani Mbeya. Mnara huo ni miongoni mwa minara 758 inayojengwa nchi nzima
➡️KUONGEZA NGUVU UWEZO WA MINARA 304 KUTOKA 2G KWENDA 3G/4G
Hadi kufikia mwezi Aprili mwaka 2024, minara 243 ilikuwa imekwisha ongezewa nguvu( upgrade) na tayari inatoa huduma kwa wananchi.
#zBajetiWHMTH2024 /25 #SmartTanzania #TzDigitalTransformation #KaziIendelee
➡️UJENZI WA MINARA 758 YA MAWASILIANO VIJIJINI.
Hadi kufikia mwezi Aprili mwaka 2024, jumla ya minara 124 ilikuwa imewashwa na tayari inatoa huduma kwa wananchi.
UTEKELEZAJI UNAENDELEA.
#zBajetiWHMTH2024 /25 #SmartTanzania #TzDigitalTransformation #KaziIendelee
➡️UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA UCSAF
#zBajetiWHMTH2024 /25 #SmartTanzania #TzDigitalTransformation #KaziIendelee
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa( Mb) akimsikiliza Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye( Mb) akitoa maelezo kuhusu maendeleo ya mradi wa ujenzi wa minara 758 ya mawasiliano vijijini.
#zBajetiWHMTH2024 /25 #SmartTanzania #TzDigitalTransformation
Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wakifuatilia uwasilishaji wa Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa mwaka 2024/2025 bungeni jijini Dodoma
#zBajetiWHMTH2024 /25 #SmartTanzania #TzDigitalTransformation
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) akiwasilisha Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa mwaka 2024/2025 bungeni jijini Dodoma
#zBajetiWHMTH2024 /25 #SmartTanzania #TzDigitalTransformation #KaziIendelee
Ziara ya kikazi kukagua maendeleo ya ujenzi wa minara ya mawasiliano ya simu katika Wilaya ya Kiteto- Mkoani Manyara.
Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia yaHabari Nape Moses Nnauye Eng.Maryprisca Mahundi