UCSAF-Tanzania
@UcsafT
Universal Communications Service Access Fund ( UCSAF)was established to facilitate access to communication services.
For more information call 0800110700
ID:1357000480883421187
http://ucsaf.go.tz 03-02-2021 16:18:54
785 Tweets
1,3K Followers
12 Following
Hatua ya pili ya mafunzo ya TEHAMA kwa wasichana yameanza rasmi jana tarehe 25 Aprili, 2024 huko Zanzibar, ambapo jumla ya wanafunzi wa kike 31 wanashiriki. Wanafunzi 26 wanatoka kila mkoa wa Tanzania Bara na wengine watano( 5) wanatoka Zanzibar.
#WasichanaNaTEHAMA2024 .
MUDA: Kuanzia saa tatu kamili ( 03:00) asubuhi.
Uzinduzi utafanyika Jengo la UCSAF HOUSE, 10 Barabara ya UCSAF, Makulu Dodoma.
MGENI RASMI KATIKA HAFLA HII NI Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia yaHabari Nape Moses Nnauye Justina Mashiba