Umoja wa Mataifa
@UmojaWaMataifa
Akaunti rasmi ya Umoja wa Mataifa. Kwa amani, utu & usawa katika ulimwengu wenye ustawi.
ID:67706757
https://news.un.org/sw/ 21-08-2009 20:15:32
34,4K Tweets
28,6K Followers
650 Following
Follow People
Taka za plastiki zimejaa baharini.
Lakini sote tunaweza kuchukua hatua ili kupunguza janga hili na #beatplasticpollution . Fahamu zaidi: un.org/en/climatechan…
Kusaka usalama ni haki ya binadamu.
Na haki za binadamu ni kwa kila mtu – bila kujali utaifa au jinsia yake; au iwapo anasaka usalama kwa njia ya nchi kavu, anga au bahari.
UNHCR, the UN Refugee Agency inajitahidi kutoa usaidizi kwa wale waliolazimika kukimbia. unhcr.org/what-we-do.htm…
Mashambulizi dhidi ya waandishi wa habari ni mashambulizi dhidi ya demokrasia.
Tunahitaji vyanzo vya habari vya kuaminika zaidi na uhuru zaidi wa vyombo vya habari leo.
Katika #WorldPressFreedomDay , jiunge na UNESCO 🏛️ #Education #Sciences #Culture 🇺🇳 katika kutetea uhuru wa wanahabari. unesco.org/en/days/press-…
Wanawake wana jukumu muhimu katika kufikia amani ya kudumu duniani kote.
Wanawake #ServingForPeace na UN Peacekeeping wanafanya kazi sawa na wanaume, kupunguza migogoro na kuwatia moyo wanawake na wasichana huku wakijenga uaminifu na uhusiano thabiti. bit.ly/41NPf7B
Tutaacha mwongozo upi duniani?
Shughuli za binadamu huchechea uharibifu wa ardhi na uhataraisha afya ya watu na sayari.
Jiunge na #GenerationRestoration uchukue hatua za kuwa na sayari itakayowezesha maisha siku zijazo.
Kuhusu #SikuYaMazingiraDuniani : worldenvironmentday.global/sw
Umoja wa Mataifa hufanya kazi kwa ajili ya 'Sisi Wanadamu' kwa kusaidia nchi kushughulikia
⏺️ dharura ya hali ya hewa
⏺️ kufikia Malengo ya #GlobalGoals
⏺️ migogoro ya kibinadamu
... na mengi zaidi: bit.ly/2Sf1gQ3 #DiplomacyDay
Kujua kusoma na kuandika kunaboresha maisha, kunapunguza umaskini na kuongeza ushiriki katika soko la ajira.
Lakini bado vijana na watu wazima milioni 771 hawajui kusoma na kuandika.
Angalia harakati za #UmojawaMataifa za #RightToEducation . unesco.org/en/education
Takriban waandishi wa habari 1,000 wameuawa katika muongo mmoja uliopita.
Visa 9 kati ya 10 kati ya hizo bado hazijasuluhishwa.
UNESCO inaeleza nini kinapaswa kufanyika ili ku #ProtectJournalists .
unesco.org/en/safety-jour….
'Watendee wengine kama unavyotaka kutendewa.'
-- Mchoro wa 'Golden Rule' katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa umechorwa na msanii wa Marekani Norman Rockwell.
Siku ya Jumatatu #SikuYaSanaaDunia , tunasherehekea uwezo wa sanaa wa kutufariji wakati wa dhiki na kututia moyo.
Michezo ni chombo chenye nguvu cha kuimarisha uhusiano wa kijamii na kurejesha mazungumzo wakati wa mivutano ya kisiasa, kitamaduni au kidini.
Leo Jumamosi, ungana nasi kusherehekea #SportsDay na nguvu ya michezo kwa amani na maendeleo. un.org/en/observances…
Kila siku, watu hufa au kupoteza viungo kwa kukanyaga mabomu ya ardhini, na wengi wao ni raia katika maeneo yaliyopata amani.
Jumanne #MineAwarenessDay ni fursa ya kuangazia haja ya dharura ya kutokomeza mabomu ya ardhini. un.org/en/observances… v UNMAS #MineActionCannotWait
Elimu ni muhimu ili kuhakikisha kwamba vijana wananufaika kwa kupata maarifa zaidi kuhusu mazingira. Pitia zana za #GenerationRestoration ili kupata maarifa na nyenzo za kuboresha mifumo ya ekolojia. bit.ly/3FIv3LD