𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@__abdulazack) 's Twitter Profile
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

@__abdulazack

Simba SC&Liverpool Fan | Mkulima | Alhamdulillah

ID: 1135266084100235265

calendar_today02-06-2019 19:25:01

194,194K Tweet

95,95K Followers

40,40K Following

𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@__abdulazack) 's Twitter Profile Photo

πŸ“ŒMAMA KAZINI 1. Kuimarisha Uchumi - Ukuaji wa pato la taifa katika robo ya pili mwaka 2021, uchumi uliongezeka kufikia 4.3%, ukilinganisha na 4% mwaka 2020. Mfumuko wa bei umeweza kudhibitiwa(chini ya 5%) huku akiba ya fedha za kigeni ikiongezeka zaidi.

πŸ“ŒMAMA KAZINI 

1. Kuimarisha Uchumi - Ukuaji 
wa pato la taifa katika robo ya pili
 mwaka 2021, uchumi uliongezeka
 kufikia 4.3%, ukilinganisha na 
4% mwaka 2020. Mfumuko wa bei
 umeweza kudhibitiwa(chini ya 5%) 
huku akiba ya fedha za kigeni 
ikiongezeka zaidi.