Mahmoud Ally(@allymahmoud45) 's Twitter Profileg
Mahmoud Ally

@allymahmoud45

ID:1652329282570526723

calendar_today29-04-2023 15:11:01

235 Tweets

3 Followers

43 Following

Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

Ndugu zangu tulipojikwaa tunapajua..?

1.Kocha asikilizwe kuhusu Usajili.

2.Kocha aruhusiwe kuchagua wachezaji anao wataka yeye.

3.Fedha zilizotengwa kwa ajili ya usajili zitangazwe hadharani.

4.Fedha za usajili zisitoke mfukoni kwa Mwekezaji direct kwenda sokoni,atoe mfukoni…

Ndugu zangu tulipojikwaa tunapajua..? 1.Kocha asikilizwe kuhusu Usajili. 2.Kocha aruhusiwe kuchagua wachezaji anao wataka yeye. 3.Fedha zilizotengwa kwa ajili ya usajili zitangazwe hadharani. 4.Fedha za usajili zisitoke mfukoni kwa Mwekezaji direct kwenda sokoni,atoe mfukoni…
account_circle
Mahmoud Ally(@allymahmoud45) 's Twitter Profile Photo

Ni wazo langu Tu wadau nasema hivi kama kweli tunataka ushindani wa haki baina ya yanga na simba basi tarehe 20 tuwatoe wageni wote wakae pembeni wabaki wenyeji watupu hapo ndipo tutajua nani bingwa wa kweli.

account_circle
Mahmoud Ally(@allymahmoud45) 's Twitter Profile Photo

Ni wazo langu Tu wadau nasema hivi kama kweli tunataka kuwashindanisha yanga na Simba tuwatoe wageni wote wabaki wenyeji watupu hapo tutajua nani bingwa.

account_circle
Mahmoud Ally(@allymahmoud45) 's Twitter Profile Photo

Hivi ndani ya Simba huwa kuna viongozi ambao usiku wanakua yanga halafu Asubuhi wanakuwa simba?mimi nadhani viongozi waliowafukuza baleke na firi ndio hao wapinzani wa Simba ambao usiku hawapo lakini Asubuhi tuko nao Wadai chunguzeni Hilo kikulacho ki nguoni.

account_circle
Mahmoud Ally(@allymahmoud45) 's Twitter Profile Photo

Ningependa kuwashauri klabu ya Simba kipindi hiki bora wakatae kucheza na yanga hata ikibidi wailipe faini watakayo pigwa na tff kuliko fedheha watakayo pata safari hii kwani sio Chino ya goli Saba au name Kwa hali Yao ya sasa.

account_circle
Mahmoud Ally(@allymahmoud45) 's Twitter Profile Photo

Kumbe wewe hujui ugaidi ni sera ya makafiri wa kizungu ili kuudhibiti uislam duniani.pata kujua wema wa uislam ndio utaujua ukafiri ni mbaya.

account_circle
Mahmoud Ally(@allymahmoud45) 's Twitter Profile Photo

Naunga mkono asilimia Mia hatua hiyo ya Rais samia suluhu hassan na naomba niwe wa Kwanza kusikilizwa kero yangu.Mahamoud dhahir ally Mwanza no ya simu 0756 045195.nitashukuru kupata nafasi hiyo adhimu.

account_circle
Mahmoud Ally(@allymahmoud45) 's Twitter Profile Photo

Naiunga mkono hatua hiyo asilimia Mia miamoja na namuomba Rais wangu mtukufu snipe nafasi ya kwanza kabisa jina langu ni Mahamoud dhahir Ally mkazi wa nyamhongolo wilaya ya ilemela Mwanza. Po box 11475 mwanza [email protected]

account_circle
THINK BIG 🇹🇿(@thinkbig2025) 's Twitter Profile Photo

TUIKATAE SHEAFRA KAMA HAWATAWEKA PICHA YA RAIS SAMIA

Wakati ni sasa.

Kwa namna Rais Samia anavyoifanyia mambo makubwa Afrika Mashariki, njia pekee ya kumuenzi ni kuweka picha yake kwenye hizi hela za EAC

Who is ready to Join the Movement?

Comment below.

TUIKATAE SHEAFRA KAMA HAWATAWEKA PICHA YA RAIS SAMIA Wakati ni sasa. Kwa namna Rais Samia anavyoifanyia mambo makubwa Afrika Mashariki, njia pekee ya kumuenzi ni kuweka picha yake kwenye hizi hela za EAC Who is ready to Join the Movement? Comment below.
account_circle
Mahmoud Ally(@allymahmoud45) 's Twitter Profile Photo

Ni makosa makubwa sana kumlinganisha pacome na chama tuombeeni radhi wana Simba hayo ni makosa makubwa sana.

account_circle