Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile
Wasemaji wa Kisekta

@actbarazakivuli

Official Account of the @actwazalendo Shadow Cabinet Research Office (SCaRO) under the office of the Party Leader @SemuDorothy and shadow PM @MchinjitaIR

ID: 1495511708860915714

linkhttp://www.actwazalendo.or.tz calendar_today20-02-2022 21:33:34

2,2K Tweet

2,2K Takipçi

189 Takip Edilen

Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

"Mwaka 2021 Serikali imepora na kubadilisha ardhi ya vijiji kuwa ardhi ya hifadhi kwa kuanzisha hifadhi ya Igombe bila ridhaa ya wanavijiji kupitia Mikutano Mikuu ya vijiji." Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria Maharagande Mbarala #TaifaLaWote #MaslahiYaWote ACTWazalendo

"Mwaka 2021 Serikali imepora na kubadilisha ardhi ya vijiji kuwa ardhi ya hifadhi kwa kuanzisha hifadhi ya Igombe bila ridhaa ya wanavijiji kupitia Mikutano Mikuu ya vijiji."

Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria
Maharagande Mbarala

#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
ACTWazalendo
Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

"Serikali isitishe mara moja zoezi la kuwaondoa wananchi katika vijiji vya Usinge, Luganjo, Wachawaseme, Igagala Na.3, Igagala Na.4, Igagala Na 7, Igagala Na 9, Kombe, Tuombe Mungu na Limbu la Siasa na iachilie Mifugo waliyoishikia bila masharti yoyote." Waziri Kivuli wa Katiba

"Serikali isitishe mara moja zoezi la kuwaondoa wananchi katika vijiji vya Usinge, Luganjo, Wachawaseme, Igagala Na.3, Igagala Na.4, Igagala Na 7, Igagala Na 9, Kombe, Tuombe Mungu na Limbu la Siasa na iachilie Mifugo waliyoishikia bila masharti yoyote."

Waziri Kivuli wa Katiba
Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

"Tunataka Mkuu wa Wilaya ya Kaliua na Mkuu wa Mkoa wa Tabora wawajibishwe kwa ushirika wao wa kuruhusu vikosi vya Ulinzi JWTZ, wanamgambo na askari wa TFS kufanya uonevu kwa wananchi wa Vijiji vya ISAWIMA." Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria Maharagande Mbarala #TaifaLaWote

Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

"Tunalitaka Bunge la Jamhuri ya Muunga ya Tanzania kuunda kamati ya uchunguzi wa matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu yaliyofanywa katika vijiji vya ISAWIMA huko Kaliua Mkoani Tabora." Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria Maharagande Mbarala #TaifaLaWote #MaslahiYaWote ACTWazalendo

"Tunalitaka Bunge la Jamhuri ya Muunga ya Tanzania kuunda kamati ya uchunguzi wa matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu yaliyofanywa katika vijiji vya ISAWIMA huko Kaliua Mkoani Tabora."

Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria
Maharagande Mbarala

#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
ACTWazalendo
Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

"Rais Samia Suluhu aunde KAMATI ya kupitia maeneo yote yenye migogoro ya mipaka kati ya vijiji na mamlaka za hifadhi. Aidha hatua zichukuliwe kwa wote waliovunja haki za binadamu huko Kaliua kuanzia 2021 hadi sasa." Waziri Kivuli Katiba na Sheria wa ACTWazalendo Maharagande Mbarala

Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

RC TABORA ASITUTISHE, HATUOGOPI! RC Tabora Paul Chacha ametoa maneno ya kumtisha Msemaji wa ACT Wazalendo wa Sekta ya Katiba na Sheria Ndugu Maharagande Mbarala kuwa atamfikisha kwenye vyombo vya dola ahojiwe kutokana na kueleza ukweli kuhusu operesheni za kikatili zinazoendeshwa na

Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

"Nyumba zimechomwa moto, shule zimevunjwa, mifugo imeuliwa, mazao yameporwa, na kumetokea matukio ya ubakaji na mauaji kwenye Operesheni za kikatili zinazoendeshwa na TAWA, TFS kwa kushirikiana na vyombo vya dola Kaliua." Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria Maharagande Mbarala

"Nyumba zimechomwa moto, shule zimevunjwa, mifugo imeuliwa, mazao yameporwa, na kumetokea matukio ya ubakaji na mauaji kwenye Operesheni za kikatili zinazoendeshwa na TAWA, TFS kwa kushirikiana na vyombo vya dola Kaliua."

Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria
Maharagande Mbarala
Imara Leadership Initiative (@imaraleadership) 's Twitter Profile Photo

📚 Creating platforms that facilitate dialogue between youth and policymakers, endorsing their political engagement as a means of ensuring effective participation. “𝐕𝐢𝐣𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚 𝐃𝐞𝐦𝐨𝐤𝐫𝐚𝐬𝐢𝐚” with Ndolezi , Waziri Kivuli , Ofisi ya Waziri Mkuu - Bunge , Sera

📚 Creating platforms that facilitate dialogue between youth and policymakers, endorsing their political engagement as a means of ensuring effective participation.

“𝐕𝐢𝐣𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚 𝐃𝐞𝐦𝐨𝐤𝐫𝐚𝐬𝐢𝐚” with Ndolezi , Waziri Kivuli , Ofisi ya Waziri Mkuu - Bunge , Sera
Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

Je! Katika familia yenu ama jirani yako au jamaa yako; mlishawahi kushindwa kuchukua mwili wa marehemu kwa sababu ya gharama za matibabu?

Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

"ACTWazalendo imeguswa na kulaani vikali taarifa za kutekwa na kuuawa kwa aliyekuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa Ndg. Ally Mohammed Kibao kinachohusisha vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi." Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani Dahlia Majid #HakiItendeke

"ACTWazalendo imeguswa na kulaani vikali taarifa za kutekwa na kuuawa kwa aliyekuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa Ndg. Ally Mohammed Kibao kinachohusisha vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi."

Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani
Dahlia Majid

#HakiItendeke
Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

Waziri Kivuli wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Ajira, Mhandisi Ndolezi yuko Mkoani Tanga kwenye Ziara ya KC Dorothy Semu. Picha hizi ni Mkutano wa Hadhara uliofanyika Jimbo la Kilindi ambapo Ndugu Waziri Kivuli alipata fursa ya kuhutubia. #Miezi10 #WanachamaMilioni10

Waziri Kivuli wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Ajira, Mhandisi Ndolezi yuko Mkoani Tanga kwenye Ziara ya KC Dorothy Semu. Picha hizi ni Mkutano wa Hadhara uliofanyika Jimbo la Kilindi ambapo Ndugu Waziri Kivuli alipata fursa ya kuhutubia.

#Miezi10 #WanachamaMilioni10
Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

"Sera zilizopo hazina uwezo tena! Vijana mtaani hawana ajira, CCM imeshindwa kuzalisha ajira." Waziri Kivuli wa Sera, Bunge, Vijana, Kazi na Ajira Mhandisi Ndolezi #Miezi10 #WanachamaMilioni10 ACTWazalendo