Ali Kibao
@alikibao
Builder @ flexperts.dev
Currently working on: caigo.co.za
ID: 229031836
https://alikibao.com 21-12-2010 10:03:30
8,8K Tweet
4,4K Takipçi
667 Takip Edilen
found Claude Dev yesterday and Wow! Thank you Saoud Rizwan for creating this.. amazing. What would be an alternative to @ docs to find documentation similar to cursor on Claude dev any suggestions? or just copy paste?
Cursor is all the hype these days... but the real gem for me as a non-coder has been Claude Dev by Saoud Rizwan. I feel like I have superpowers right now. Nothing is impossible. github.com/saoudrizwan/cl…
Nimetaarifiwa usiku huu kuwa Mzee Ali Mohamed Kibao Mtaalamu katika Sekretariati CHADEMA Tanzania amechukuliwa na watu walijitambulisha kuwa ni polisi(bila uniforms). Walizuia basi la Tashrif alilokuwa amependa kutoka DSM kwenda Tanga kwa gari za kawaida wakaingia na kumfunga pingu.
Katibu Mkuu CHADEMA MNYIKA John John akieleza jinsi Mzee Ally Mohammed Kibao, mjumbe wa Sektretariati ya CHADEMA alivyotekwa ndani ya basi la TASHRIF linalofanya safari zake Dar es Salaam - Tanga, eneo la Kibo, Tegeta, DSM. Hadi sasa hayupo kituo chochote cha polisi. #zuiautekaji