TEHSA-MUHAS (@muhas_tehsa) 's Twitter Profile
TEHSA-MUHAS

@muhas_tehsa

TANZANIA ENVIRONMENTAL HEALTH STUDENTS ASSOCIATION (TEHSA) Promoting environmental health🍀 for healthy and safe communities. 📧 [email protected]

ID: 1358139746896252934

calendar_today06-02-2021 19:46:57

115 Tweet

199 Takipçi

233 Takip Edilen

TEHSA-MUHAS (@muhas_tehsa) 's Twitter Profile Photo

Health for all in a changing environment: how can we achieve it? Join us for a webinar on Sat Dec 16th, 2-4 pm, and learn from experts on primary health care, resilience and innovation for universal health coverage. Google meet; meet.google.com/umt-wueb-tub #HealthForAll #UHC #Webinar

Mr Anodi Kaihula, Conference manager at Tanzania health summit will be joining us on the sub theme " "Primary health care on universal healthcoverage" ANODI KAIHULA

Mr Anodi Kaihula,  Conference manager at Tanzania health summit will be joining us on the sub theme " "Primary health care on universal healthcoverage" <a href="/AnodiKaihula/">ANODI KAIHULA</a>
TEHSA-MUHAS (@muhas_tehsa) 's Twitter Profile Photo

Mr Iddi Mapande our very own tutor, climatic change and sustainable development masters candidate at Asian Institutes of Technology in Thailand will be our main speaker on sub theme " Health resilience to climatic change for universal health coverage".Iddi Mapande #HealthForAll

Mr Iddi Mapande our very own tutor, climatic change and sustainable development masters candidate  at Asian Institutes of Technology in Thailand will be our main speaker on sub theme " Health resilience to climatic change for universal health coverage".<a href="/MapandeIddi/">Iddi Mapande</a> #HealthForAll
TEHSA-MUHAS (@muhas_tehsa) 's Twitter Profile Photo

Mr Franc Mussa co founder of Afya lead limited will be joining us at tehsa webnar as main speaker on subtheme" Innovation for universal health coverage " Franc Mussa Israel #UniversalHealthCoverage

Mr Franc Mussa co founder of Afya lead   limited will be joining us at tehsa webnar as main speaker on subtheme" Innovation for universal health coverage " <a href="/franc_mussa/">Franc Mussa Israel</a> #UniversalHealthCoverage
TEHSA-MUHAS (@muhas_tehsa) 's Twitter Profile Photo

As we celebrate the joy and warmth holiday season, we want to express our sincere appreciation for your trust and collaboration through out this year Wishing you and your loved ones a Merry Christmas and New year 2024, filled with peace, prosperity, and happiness. 🎄🎉

MADHARA YANAYOWEZA KUMKUTA MTUMIAJI WA SHISHA. 1. Matatizo ya moyo 2.Kuchakaa kwa uongozi 3. Kupotea uweze wa kujamiana 4. Kuharibika fizi( periodontal disease ) 5. Saratani ya mdomo, koo ,figo,kongosho,ini ,tumbo na kadhalika

MADHARA YANAYOWEZA KUMKUTA MTUMIAJI WA SHISHA.
1. Matatizo ya moyo
2.Kuchakaa kwa uongozi
3. Kupotea uweze wa kujamiana
4. Kuharibika fizi( periodontal disease )
5. Saratani ya mdomo, koo ,figo,kongosho,ini ,tumbo na kadhalika
TEHSA-MUHAS (@muhas_tehsa) 's Twitter Profile Photo

FAHAMU ATHARI ZA MSONGO WA MAWAZO. 😥😣😖 1. Huvuruga mfumo wa chakula mwilini. 2. Hupunguza kinga za mwili. 3. ⁠Huaribu mfumo wa usingizi. 4. ⁠Huathiri Moyo . 5. ⁠Kuzeeka kwa ngozi . 6. ⁠Athari kwenye tishu za ubongo. 7. ⁠Maumivu ya kichwa.

FAHAMU ATHARI ZA MSONGO WA MAWAZO.  😥😣😖                       
   1. Huvuruga mfumo wa chakula mwilini.
2. Hupunguza kinga za mwili.
3. ⁠Huaribu mfumo wa usingizi.
4. ⁠Huathiri Moyo .
5. ⁠Kuzeeka kwa ngozi .
6. ⁠Athari kwenye tishu za ubongo. 
7. ⁠Maumivu ya kichwa.
TEHSA-MUHAS (@muhas_tehsa) 's Twitter Profile Photo

In commemorating Neglected Tropical Disease Day, let's raise awareness about these diseases that often go unnoticed. By sharing information, supporting research, and promoting prevention and treatment,Together we unite act and eliminate neglected tropical diseases. 💪🌍

Join us for a special tehsa pep talk session with the theme "Get to know the potential of environmental health programs." In this session, we will explore the various ways in which environmental health programs can positively impact our planet and our communities.

Hili ni tukio muhimu la kitaifa ambapo tunashuhudia Mh mahakamu wa raisi akizindua awamu ya pili ya Kampeni ya mtu ni afya inayolenga kuhakikisha wananchi wanakuwa na afya njema kwa kuepuka vihatarishi vilivopo katika mazingira @dr_philip_isdor_mpango @hmohameds1

Katika kuelekea kuadhimisha siku ya hedhi salama duniani. (28/05) .Ungana nasi kwenye Buku2 challenge, katika kurejesha tabasamu la msichana shuleni.✨😇. @_tehsamuhas #safemenstruation

Siku ya jana tulifanikiwa kuadhimisha siku ya hedhi salama duniani kwa kufikia shule ya msingi Mkuranga na ujenzi secondary. Tuliweza kutoa taulo za kike,majaba,mpira wa maji, na pia tuliweza kuchimba shimo la kuchomea taulo za kike .

Baadhi ya wanafuzi wa kada ya afya na mazingira kushiriki kongamano la NEMC na wadau wengine katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convectional Centre Dar es salaam ,ukiongozwa na mgeni rasmi Makamu wa raisi Mh dr Philip Isdory Mpango . ⁦NemcTanzania

Baadhi ya wanafuzi wa kada ya afya na mazingira kushiriki kongamano la NEMC na  wadau wengine katika ukumbi wa  Julius Nyerere International Convectional Centre Dar es salaam ,ukiongozwa na  mgeni rasmi Makamu wa raisi Mh dr Philip Isdory Mpango . ⁦<a href="/NemcTanzania/">NemcTanzania</a>⁩
TEHSA-MUHAS (@muhas_tehsa) 's Twitter Profile Photo

As we approach World Environment Day on June 5th, let’s take action to protect and preserve our environment for future generations.Take care of the environment so it can take care of you in the future .This year’s theme is “Land restoration, Desertification and Drought resilience