TEHSA-MUHAS (@muhas_tehsa) 's Twitter Profile
TEHSA-MUHAS

@muhas_tehsa

TANZANIA ENVIRONMENTAL HEALTH STUDENTS ASSOCIATION (TEHSA) Promoting environmental health🍀 for healthy and safe communities. 📧 [email protected]

ID: 1358139746896252934

calendar_today06-02-2021 19:46:57

115 Tweet

199 Takipçi

233 Takip Edilen

TEHSA-MUHAS (@muhas_tehsa) 's Twitter Profile Photo

Siku ya jana tulifanikiwa kuadhimisha siku ya hedhi salama duniani kwa kufikia shule ya msingi Mkuranga na ujenzi secondary. Tuliweza kutoa taulo za kike,majaba,mpira wa maji, na pia tuliweza kuchimba shimo la kuchomea taulo za kike .