Patrick John Assenga (@patrickjassenga) 's Twitter Profile
Patrick John Assenga

@patrickjassenga

Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Segerea |
Mgombea Ubunge Rombo 2020 |
Diwani Tabata 2015-2020 |

ID: 1304450959205072898

calendar_today11-09-2020 16:06:10

9,9K Tweet

71,71K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Kifo cha huyu mzee kilikuwa na nia moja tu, kuwatia uwoga viongozi wa upinzani ili wakimbie nchi tena kuokoa maisha yao. Kifo cha huyu Mzee nia kuu ilikuwa ni kurudisha woga tena kwenye nchi ili kila mtu akae pembeni kama tulivyofanya kipindi cha Magufuli…. Samia anajaribu

Kifo cha huyu mzee kilikuwa na nia moja tu, kuwatia uwoga viongozi wa upinzani ili wakimbie nchi tena kuokoa maisha yao. 

Kifo cha huyu Mzee nia kuu ilikuwa ni kurudisha woga tena kwenye nchi ili kila mtu akae pembeni kama tulivyofanya kipindi cha Magufuli….

Samia anajaribu
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Mahakama ya Juu nchini Kenya imesitisha kwa muda mkataba ulioingiwa na serikali ya nchi hiyo ukilenga kukodishwa kuwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) kwa muda wa miaka 30 kwa kampuni ya India ya Andani group kwa lengo la kuupanua Kwa mujibu wa shirika la

Mahakama ya Juu nchini Kenya imesitisha kwa muda mkataba ulioingiwa na serikali ya nchi hiyo ukilenga kukodishwa kuwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) kwa muda wa miaka 30 kwa kampuni ya India ya Andani group kwa lengo la kuupanua

Kwa mujibu wa shirika la
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

CCM ILITELEZA HAPA, IKAANGUKIA HAPA...! Nimemsikiliza Dr.Emmanue Nchimbi kwa zaidi ya mara tano kwa utulivu mkubwa sana. CCM naijua lakini Dr. Emmanuel Nchimbi namfahamu vizuri sana. Binafsi sioni ghilba wala ulaghai nikitazama “demeanour” yake na facial expression yake haina

CCM ILITELEZA HAPA, IKAANGUKIA HAPA...!

Nimemsikiliza Dr.Emmanue Nchimbi kwa zaidi ya mara tano kwa utulivu mkubwa sana.

CCM naijua lakini Dr. Emmanuel Nchimbi namfahamu vizuri sana. Binafsi sioni ghilba wala ulaghai nikitazama “demeanour” yake na facial expression yake haina
Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Watanzania swala la kutishiwa na polisi kuwa msiandamane sio geni na wala hakuna mtu aliedhani watatoa kibali. . . Hakuna serikali ya kidikteta duniani iliyowahi kutoa kibali cha maandamano makubwa ya kupinga serikali. Huko Kenya hawapewagwi vibali pia. . Mabadiliko kwenye nchi

Watanzania swala la kutishiwa na polisi kuwa msiandamane sio geni na wala hakuna mtu aliedhani watatoa kibali. .
.
Hakuna serikali ya kidikteta duniani iliyowahi kutoa kibali cha maandamano makubwa ya kupinga serikali. Huko Kenya hawapewagwi vibali pia. 
.
Mabadiliko kwenye nchi
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa Shura ya Maimam, Sheikh Ponda Issa Ponda, Shekh Ponda Issa Ponda. Karibu msikilize akitoa maoni yake kuhusu vitendo vya ukatili vya utekaji na mauaji ya raia wakiwepo wapinzani na wakosoaji wa Serikali. Sheikh Issa Ponda ameyaunga mkono maandamano ya kupinga utekaji.

Peter Madeleka (@pmadeleka) 's Twitter Profile Photo

Nitakapokuwa MAREKANI, nitakuwa na MAZUNGUMZO na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) ndugu ANTONIO GUTERRES. Tutazungumza kuhusu HARAKATI za kupigania HAKI na UTAWALA WA SHERIA katika nchi za AFRIKA, kusini mwa Jangwa la Sahara. Asante MUNGU kwa FURSA hii ADHIMU.🙏🙏

Nitakapokuwa MAREKANI, nitakuwa na MAZUNGUMZO na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) ndugu ANTONIO GUTERRES. Tutazungumza kuhusu HARAKATI za kupigania HAKI na UTAWALA WA SHERIA katika nchi za AFRIKA, kusini mwa Jangwa la Sahara. Asante MUNGU kwa FURSA hii ADHIMU.🙏🙏
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Kanisa Katoliki la mitume limetimiza wajibu wake wa kitume. Amani ya bwana iwe nanyi baraza la maaskofu katoliki Tanzania (TEC). Sauti ya wananchi ni sauti ya Mungu. Kanisa katoliki limekemea utekaji na mauaji ya watanzania. Hii ndiyo kazi na wajibu wa kanisa kwa jamii. 👏

MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#TANZANIA: PADRE KITIMA ASIMULIA NAMNA ALIVYOENDA KUMUANGALIA LISSU WAKATI AMEPIGWA RISASI, "MUNGU YUPO" Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padre Charles Kitima, awasimamisha wanasiasa nguli (Tundu Antiphas Lissu, MNYIKA John John, Emmanuel Nchimbi) mbele ya Maaskofu, amtania Lissu

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Ukipigwa ukaumizwa kinachotesa zaidi sio kupigwa tu, isipokuwa ni pale unapo katazwa kulia wakati unasikia maumivu makali na ukilia linakuwa kosa lenye hata adhabu ya MAUTI. Kuna watu wakatili sana. Mmeteka , mmeua halafu hamtaki tulie kwa sauti kuu.

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

"Askari polisi msifanye ushabiki wa kuumiza watu. Hawa watu wakiamua revenge nyinyi mtakuwa na wakati mgumu kuliko wao. Huwa mnapiga mikiwa kikundi, ila hamuendagi kulala mkiwa kikundi. " Godbless Lema

Patrick John Assenga (@patrickjassenga) 's Twitter Profile Photo

Tukutane barabarani 23 September 2024. Soma hizi hoja hapa chini ukimaliza hakikisha una-retweet zifike mbali. Wanajifanya hawayajui magenge ya wahalifu, lakini ukweli haya magenge wao ndo wameyatengeneza kwa malengo ya kuumiza na kuuwa wakosoaji wa serekali. #SamiaMustGo

Tukutane barabarani 23 September 2024. Soma hizi hoja hapa chini ukimaliza hakikisha una-retweet zifike mbali. Wanajifanya hawayajui magenge ya wahalifu, lakini ukweli haya magenge wao ndo wameyatengeneza kwa malengo ya kuumiza na kuuwa wakosoaji wa serekali. 
#SamiaMustGo
Patrick John Assenga (@patrickjassenga) 's Twitter Profile Photo

Tangu miaka hiyo miili ya watu inaokotwa kwenye sandarusi wakati wa Magufuli hadi awamu hii watu wanatekwa na kuuwawa, hatujawahi kumsikia akikemea wala kutoa kauli yoyote. Amekua waziri mkuu miaka yote ya Magufuli na sasa wakati huu wa SAMIA. Unafikiri ni kwanini yuko kimyaa..?

Tangu miaka hiyo miili ya watu inaokotwa kwenye sandarusi wakati wa Magufuli hadi awamu hii watu wanatekwa na kuuwawa, hatujawahi kumsikia akikemea wala kutoa kauli yoyote. Amekua waziri mkuu miaka yote ya Magufuli na sasa wakati huu wa SAMIA. Unafikiri ni kwanini yuko kimyaa..?
Patrick John Assenga (@patrickjassenga) 's Twitter Profile Photo

Hapa nilimwambia Kamanda Muliro, "Akili za kuambiwa" Changanya na za kwako. Usiipige mabomu CHADEMA kwani ni serekali ijayo. Tukutane barabarani tarehe 23 September 2024 tunaendelea kupokea wageni kutoka mikoa mbalimbali ya nchi yetu. #KataaUtekaji #SamiaMustGo

Hapa nilimwambia Kamanda Muliro, "Akili za kuambiwa" Changanya na za kwako. Usiipige mabomu CHADEMA kwani ni serekali ijayo. Tukutane barabarani tarehe 23 September 2024 tunaendelea kupokea wageni kutoka mikoa mbalimbali ya nchi yetu. 
#KataaUtekaji 
#SamiaMustGo