Sammy Awami(@awamisammy) 's Twitter Profileg
Sammy Awami

@awamisammy

Multimedia Journalist

ID:243071996

linkhttps://tz.linkedin.com/in/sammy-awami-99a9ab31 calendar_today26-01-2011 06:53:03

12,6K Tweets

15,3K Followers

855 Following

Sammy Awami(@awamisammy) 's Twitter Profile Photo

Kilimo cha Mshahara

Hiki Mimi nakiita kilimo cha simu; Unaishi mjini unakofanya kazi halafu unatuma pesa kijijini watu wanakufanyia kazi.

Hichi ndio nakifanya hadi leo hii - balaa lililopo huku nako.... ๐Ÿ˜‚

In 2021 nilinunua kijishamba Kijiji cha Mkutani, Kongwa Dodoma huko.โ€ฆ

account_circle
Sammy Awami(@awamisammy) 's Twitter Profile Photo

Brother Kigwangalla,

Nimelima sana mpunga Lwanzari, njia ya kwenda Kipalala Tabora

Nimelima sana mpunga, mahindi, muhogo (wa baridi na wa udaga), karanga na maharage- Ngemo hii uelekeo wa Kigwa Tabora

Kilimo cha jembe la mkono, tukiwa watatu, mkipambana saana ni heka tano.โ€ฆ

account_circle
Sammy Awami(@awamisammy) 's Twitter Profile Photo

'Kimsingi, tumekuwa watulivu na wanyenyekevu sana kwa Serikali yetu tukufu na viongozi wake wakifu kiasi ya kwamba hata wakiweka hadharani muswada wa sheria asubuhi na kututaka tufike Dodoma kutoa maoni yetu jioni, basi tutafanya hivyo bila ukinzani wowote, au malalamiko yoyoteโ€ฆ

account_circle
Tito Magoti, PG(@TitoMagoti) 's Twitter Profile Photo

Poleni, Citizen.

Viongozi wenu kupiga selfie na wanasiasa haimaanishi kuna uhuru wa habari. Tunahitaji muwe huru kufanya kazi zenu bila hofu ya kupigwa msako.

Kisa hiki kimenikumbusha sakata la Don wa Twaweza.

Poleni, Citizen. Viongozi wenu kupiga selfie na wanasiasa haimaanishi kuna uhuru wa habari. Tunahitaji muwe huru kufanya kazi zenu bila hofu ya kupigwa msako. Kisa hiki kimenikumbusha sakata la Don wa Twaweza.
account_circle
Sammy Awami(@awamisammy) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚

Daktari, sina shaka kwamba nia yako ni njema katika kutoa ushauri huu, Ila hii hesabu uliyoweka hapa is pretty flawed!

- Ina assume kwamba huyu ana shamba, la ukubwa wa kutosha, lenye rutuba ya kutosha kuotosha vitu vyote hivyo

- Ina assume kwamba shamba lipo eneo lenyeโ€ฆ

account_circle
Annastazia Rugaba-Marondo(@annarugaba) 's Twitter Profile Photo

Asante sana BBC News Swahili kwa 'unexpected recognition' sikuitarajia! Naomba kuitunuku kwa mawaridi wote Tanzania wanaopambana usiku na mchana, mvua na jua, kutimiza ndoto zao na za vizazi vyao

Asante sana @bbcswahili kwa 'unexpected recognition' sikuitarajia! Naomba kuitunuku kwa mawaridi wote Tanzania wanaopambana usiku na mchana, mvua na jua, kutimiza ndoto zao na za vizazi vyao
account_circle
UONGOZI Institute(@UONGOZI) 's Twitter Profile Photo

Join us tomorrow for a book discussion, featuring Prof. Joseph Semboja and Prof. Oliver Morrissey.

โฑ๏ธ 15:30 hours (EAT)

In-person: Reserve your seat through [email protected]

Online: ow.ly/mzjO50RmR1e

Join us tomorrow for a book discussion, featuring Prof. Joseph Semboja and Prof. Oliver Morrissey. โฑ๏ธ 15:30 hours (EAT) In-person: Reserve your seat through resources@uongozi.or.tz Online: ow.ly/mzjO50RmR1e #UONGOZILibrary #Research4SDGs
account_circle
Sammy Awami(@awamisammy) 's Twitter Profile Photo

Jana nilizungumza na mwenzangu BBC Swahili Scola juu ya uamuzi wa Benki ya Dunia kusitisha sehemu ya fedha za mradi wa utalii Kusini mwa Tanzania.

Mahojiano kamili yapo hapa katika channel yangu ya Sound Cloud.

on.soundcloud.com/68yVYEp4wD3GF1โ€ฆ

account_circle
Massimo(@Rainmaker1973) 's Twitter Profile Photo

This is the Hexa Lift, a single seater drone that anyone can learn to fly with under 1 hour of training. The Hexa Lift will be the first recreational aircraft available to the public

[๐Ÿ“น supercarblondie]

account_circle
Hassan Khamis ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ธ(@hassankham1s) 's Twitter Profile Photo

Tunaposema kuwa tutaendeleza utamaduni wetu wa Kizanzibari popoye tulipo tunaamisha hivi. Leo hii tunajaribu mitambo ya Taarab kwa ajili ya simmer hapo Stratford East London.

account_circle
Sammy Awami(@awamisammy) 's Twitter Profile Photo

Uzuri wa ndugu yangu bwana Kamwaga huwa hafichi mahaba yake kwa anaowahusudu - absolutely love it ๐Ÿ˜„

account_circle
Sammy Awami(@awamisammy) 's Twitter Profile Photo

Exactly what we found when making this documentary seven years ago

This Agoa deal simply kills local industries!

bbc.co.uk/programmes/b09โ€ฆ

Wakati pale EPZ umeme na maji havikatiki, wamiliki wa vile viwanda (hasa niliozungumza nao) si wazawa, nguo wanazotengeneza haziuzwiโ€ฆ

account_circle