CHADEMA Tanzania (@chadematz) 's Twitter Profile
CHADEMA Tanzania

@chadematz

The Main Opposition Political Party in Tanzania ✌🏼

ID: 3309230189

linkhttps://whatsapp.com/channel/0029VaCuWWsEgGfGYYqUaS3X calendar_today05-06-2015 12:52:05

23,23K Tweet

773,773K Followers

12 Following

MNYIKA John John (@jjmnyika) 's Twitter Profile Photo

#mawlidunnabiﷺ Nawatakia waislamu na waamini heri ya sikukuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW). Msherekee kwa imani, furaha na amani. Katika mengi ya kuyakumbuka juu ya maisha yake nawaomba kuwa iwe ni pamoja na maneno yake kuwa "Jihadi iliyo bora ni kusema neno la ukweli

CHADEMA Tanzania (@chadematz) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA KWA UMMA. Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana Dar es salaam katika kikao chake cha kawaida. Kikao hicho cha siku mbili kitaanza kesho Jumanne, Septemba 17 mpaka 18, 2024 Jijini Dar es salaam. Pamoja na masuala mengine kikao hicho

TAARIFA KWA UMMA.

Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana Dar es salaam katika kikao chake cha kawaida. Kikao hicho cha siku mbili kitaanza kesho Jumanne, Septemba 17 mpaka 18, 2024 Jijini Dar es salaam. Pamoja na masuala mengine kikao hicho
CHADEMA Tanzania (@chadematz) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. Tundu Antiphas Lissu akiwasili Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam kushiriki kikao cha Kamati Kuu ya Chama kitakachoketi kwa siku mbili, leo Septemba 17, 2024 na kesho Septemba 18, 2024. Pamoja na masuala mengine kikao hicho kitajadili na kupokea; 1.

Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. Tundu Antiphas Lissu akiwasili Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam kushiriki kikao cha Kamati Kuu ya Chama kitakachoketi kwa siku mbili, leo Septemba 17, 2024 na kesho Septemba 18, 2024. Pamoja na masuala mengine kikao hicho kitajadili na kupokea;
1.
CHADEMA Tanzania (@chadematz) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. Tundu Antiphas Lissu akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama Mhe. MNYIKA John John alipowasili Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam kushiriki kikao cha Kamati Kuu ya Chama kitakachoketi kwa siku mbili, leo Septemba 17, 2024 na kesho Septemba 18, 2024. Pamoja na

Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe akiwasili Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam kushiriki kikao cha Kamati Kuu ya Chama kitakachoketi kwa siku mbili, leo Septemba 17, 2024 na kesho Septemba 18, 2024. Pamoja na masuala mengine kikao hicho kitajadili na

Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe.
Freeman Mbowe  akiwasili Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam kushiriki kikao cha Kamati Kuu ya Chama kitakachoketi kwa siku mbili, leo Septemba 17, 2024 na kesho Septemba 18, 2024. Pamoja na masuala mengine kikao hicho kitajadili na
CHADEMA Tanzania (@chadematz) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe akisalimiana na Makamu Mwenyekiti bara Mhe. Tundu Antiphas Lissu alipowasili tayari kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama kitakachoanza leo Septemba 17, 2024 na kumalizika kesho Septemba 18, 2024.

Watia nia katika nafasi mbalimbali za Kanda ya Nyasa, Pemba na Kusini wakiwa mbele ya kikao cha Kamati Kuu ya Chama leo Septemba 17, 2024 kupewa maelezo mafupi kabla ya kuanza kwa usahili.

Katibu Mkuu wa Chama Mhe. MNYIKA John John akizungumza na watia nia katika nafasi mbalimbali za Kanda ya Nyasa, Pemba na Kusini kabla ya kuanza kwa usahili.

#BreakingNews Boniface Jacob Boniface Jacob amekamatwa eneo la hotel ya Golden Fork ,Sinza majira ya saa 11.09 jioni ya leo tarehe 18 Septemba 2024 ambapo polisi wawili (2) wenye sare na askari watatu (3) waliokuwa wamevaa kiraia na wenye silaha walifika hotelini hapo na