Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profileg
Freeman Mbowe

@freemanmbowetz

Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA & Chairman for DUA

ID:3544646356

linkhttp://www.mbowe.org calendar_today04-09-2015 12:20:30

1,1K Tweets

630,5K Followers

499 Following

Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Eid Mubarak!

Katika sherehe hii njema ya Eid ul-Fitr, natoa salamu zangu za dhati na kuwatakia yote yaliyo mema kwa Waislamu wote duniani. Nawaombea siku hii iwe imejaa amani, furaha, na baraka kwenu na kwa wapendwa wenu.

Tunaposherehekea mwisho wa Ramadhani, tukumbuke masomo…

Eid Mubarak! Katika sherehe hii njema ya Eid ul-Fitr, natoa salamu zangu za dhati na kuwatakia yote yaliyo mema kwa Waislamu wote duniani. Nawaombea siku hii iwe imejaa amani, furaha, na baraka kwenu na kwa wapendwa wenu. Tunaposherehekea mwisho wa Ramadhani, tukumbuke masomo…
account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Nawatakia wakristo wote heri ya Pasaka.
Ni wakati wa kusherehekea Nguvu ya Upendo, Msamaha na Tumaini Jipya kupitia ufufuo wa Bwana wetu Yesu Kristo.
Tusheherekee sikukuu hii kwa furaha na amani pamoja na familia na marafiki. Kama tunavyojua, Pasaka na ufufuo wa Yesu Kristo ni…

Nawatakia wakristo wote heri ya Pasaka. Ni wakati wa kusherehekea Nguvu ya Upendo, Msamaha na Tumaini Jipya kupitia ufufuo wa Bwana wetu Yesu Kristo. Tusheherekee sikukuu hii kwa furaha na amani pamoja na familia na marafiki. Kama tunavyojua, Pasaka na ufufuo wa Yesu Kristo ni…
account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Leo ni zamu ya Yanga kutupa kete yake! Nawatakia Wananchi ushindi mnono dhidi ya Mamelodi Sundown kwenye mechi ya leo. Tuvunje mwiko na tulete ushindi nyumbani!

Leo ni siku ya ushindi! Nawatakia Simba Sports Club mafanikio makubwa katika mechi yao ya leo dhidi ya Al Ahly. Tuvunje mwiko na tulete ushindi nyumbani!

Kwa masikitiko na majonzi makubwa leo tunalia na familia, ndugu, jamaa, marafiki,  wafanyabiashara na wapenda Haki, kwa msiba wa mpendwa wetu Mustafa Jaffer Sabodo. Mchumi mwenye maono, mfanyabiashara mashuhuri na mtu aliyetoa misaada mingi kwa jamii ambaye kazi yake imeenea…

International Democracy Union(@idualliance) 's Twitter Profile Photo

The IDU is pleased that Freeman Mbowe, CHADEMA Tanzania Party Leader will join us at the Asia-Pacific in . Our support for democratic and free states does continue in any corner of the world! 🇹🇿🌏

The IDU is pleased that @freemanmbowetz, @ChademaTz Party Leader will join us at the #IDUForum2024 Asia-Pacific in #NewZealand. Our support for democratic and free states does continue in any corner of the world! 🇹🇿🌏
account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Hongera @spaceX chini ya uongozi wa @ElonMusk kwa jaribio la tatu la starship, ambayo yamekuwa ya mafanikio zaidi kuliko yaliyotangulia. Hakika ndoto ya kupeleka binadamu sayari ya Mars imezidi kukaribia. Je ni ndoto gani kubwa, zitakazobadilisha dunia, walizonazo vijana Tanzania…

account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Kwa moyo wa upendo na umoja, nawatakia Waislam na Watanzania wote, Ramadhan Kareem! Iwe ni kipindi cha baraka tele na mafanikio katika sala na matendo mema. 🌙🕌🙏

Kwa moyo wa upendo na umoja, nawatakia Waislam na Watanzania wote, Ramadhan Kareem! Iwe ni kipindi cha baraka tele na mafanikio katika sala na matendo mema. #RamadanKareem #Tanzania 🌙🕌🙏
account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Huwez kuliacha jina la Ally Hassan Mwinyi unapotaja mageuzi nchini. Wakati anaingia madarakani kama Rais wa awamu ya Pili mwaka 1985, Hayati Mwinyi alipokea nchi ambayo ilikua na changamoto lukuki, Tanzania kwa kipindi kile ilikua katika harakati za kutafuta namna bora zaidi ya…

Naungana na Watanzania wenzangu kutoa pole kwa familia na marafiki wa wote waliopoteza wapendwa wao katika ajali mbaya iliyotokea huko Arusha, ambayo mpaka sasa imepoteza maisha ya watu 25 na majeruhi wapo 21 kwa mujibu wa Jeshi la Polisi. Tupo nanyi katika mawazo na sala zetu…

account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Nimesimama na watu wa Mbeya jana kwenye maandamano ya amani. Tunaleta sauti yetu kwa utulivu na ustahimilivu, tukidai haki na usawa kwa kila Mtanzania. Tuungane kwa pamoja kujenga Taifa lenye misingi ya haki na demokrasia.Asanteni Mbeya!

account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Ninaipongeza sana Mbeya kwa kuonesha umoja na utulivu leo. Maelfu ya watu mmetoka mkaonyesha hamna kizuizi cha amani na demokrasia. Hongereni sana kwa kujitokeza kwa wingi na kwa utulivu mkubwa. Mungu awabariki Mbeya!

Ninaipongeza sana Mbeya kwa kuonesha umoja na utulivu leo. Maelfu ya watu mmetoka mkaonyesha hamna kizuizi cha amani na demokrasia. Hongereni sana kwa kujitokeza kwa wingi na kwa utulivu mkubwa. Mungu awabariki Mbeya! #AmaniMbeya
account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Thank you Mwanza! ✊

The spirit of Mwanza roared yesterday, and its echo will resonate across Tanzania! To the incredible people who filled the streets, especially the young lions and lionesses, the mothers, sisters, brothers, young girls and boys who stood strong – my heart…

Thank you Mwanza! ✊ The spirit of Mwanza roared yesterday, and its echo will resonate across Tanzania! To the incredible people who filled the streets, especially the young lions and lionesses, the mothers, sisters, brothers, young girls and boys who stood strong – my heart…
account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Asante Sana, Mwanza! ✊

Roho ya Mwanza iliwaka jana, na mwangwi wake utaendelea kusikika kote Tanzania! Kwa watu wengi waliojaa barabarani, haswa Vijana, Kinamama na Wasichana nyie ni mashujaa, bila kusahau Kinababa makini, waliosimama imara - moyo wangu umeja shukrani.
Ushujaa…

Asante Sana, Mwanza! ✊ Roho ya Mwanza iliwaka jana, na mwangwi wake utaendelea kusikika kote Tanzania! Kwa watu wengi waliojaa barabarani, haswa Vijana, Kinamama na Wasichana nyie ni mashujaa, bila kusahau Kinababa makini, waliosimama imara - moyo wangu umeja shukrani. Ushujaa…
account_circle