ILHAM ๐Ÿ–ค(@claramogul) 's Twitter Profileg
ILHAM ๐Ÿ–ค

@claramogul

Young Africans SC ๐Ÿ’š๐Ÿ–ค๐Ÿ’›//#DarYoungAfricans

ID:734024895428984832

calendar_today21-05-2016 14:15:47

164,2K Tweets

150,6K Followers

4,7K Following

Follow People
ILHAM ๐Ÿ–ค(@claramogul) 's Twitter Profile Photo

Weka weka weka wekaaaaa, mwingine kainama, mwingine kakaaa, wengine wana shangaaa kubababakeeeee ๐Ÿ˜น๐Ÿคฃ๐Ÿ”ฅ

Weka weka weka wekaaaaa, mwingine kainama, mwingine kakaaa, wengine wana shangaaa kubababakeeeee ๐Ÿ˜น๐Ÿคฃ๐Ÿ”ฅ
account_circle
๐Œ๐€๐‘๐‹๐„๐˜(@funjojr) 's Twitter Profile Photo

KILIMO CHA UMWAGILIAJI KUZALISHA AJIRA ZA KUDUMU ZAIDI YA 1300,000

Na Mwandishi Wetu

Katika kuhakikisha sekta ya kilimo inazidi kukua, serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia imeongeza bajeti ya sekta ya umwagiliaji kutoka shilingi bilioni 46.5 mwaka 2021/22

KILIMO CHA UMWAGILIAJI KUZALISHA AJIRA ZA KUDUMU ZAIDI YA 1300,000 Na Mwandishi Wetu Katika kuhakikisha sekta ya kilimo inazidi kukua, serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia imeongeza bajeti ya sekta ya umwagiliaji kutoka shilingi bilioni 46.5 mwaka 2021/22
account_circle
Happie๐Ÿ’•(@Happie_Thom) 's Twitter Profile Photo

Serikali kupitia Wizara ya Afya imedhamiria kuanzisha Taasisi mahususi ambayo itakuwa inashughulikia masuala ya upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu ili iweze kuboresha zaidi huduma hizo za ubingwa.

Serikali kupitia Wizara ya Afya imedhamiria kuanzisha Taasisi mahususi ambayo itakuwa inashughulikia masuala ya upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu ili iweze kuboresha zaidi huduma hizo za ubingwa. #MamaYukoKazini
account_circle
Paschal sam(@PaschalSam1) 's Twitter Profile Photo

Lengo ni kuongeza ufanisi na kutimiza malengo ya biashara yako kifedha. Ukiwa na mfumo sahihi kama Simplify VFD ni rahisi kufanikisha.


Lengo ni kuongeza ufanisi na kutimiza malengo ya biashara yako kifedha. Ukiwa na mfumo sahihi kama Simplify VFD ni rahisi kufanikisha. #SimplifyVFD #NiZaidiYaRisiti
account_circle
Fred Kavishe(@fredkavishe) 's Twitter Profile Photo

Swahiba Farid Seif, akikupa onja onja za huduma zitakazonufaisha wajasiriamali wa mtandaoni. Menyu kamili utaipata tare 4 Mei kwenye sikukuu ya Instaprenyua Gusa link cutt.ly/crdb-instaprenโ€ฆ
Jiandikishe kabla ya tarehe 1 Mei.

twitter.com/i/status/17849โ€ฆ

account_circle
WHYMYCATISSAD(@INFLUENCERjr) 's Twitter Profile Photo

โ€œIli kuleta ufanisi katika uingiaji wa mikataba kati ya mmiliki wa leseni na mtoa msaada wa kiufundi (technical support), Wizara imejipanga kutengeneza kanuni ambazo wadau wote watashirikishwa ili kuwa na nyenzo imara ya kusimamia masuala haya kwa manufaa ya pande zote

โ€œIli kuleta ufanisi katika uingiaji wa mikataba kati ya mmiliki wa leseni na mtoa msaada wa kiufundi (technical support), Wizara imejipanga kutengeneza kanuni ambazo wadau wote watashirikishwa ili kuwa na nyenzo imara ya kusimamia masuala haya kwa manufaa ya pande zote
account_circle
WHYMYCATISSAD(@INFLUENCERjr) 's Twitter Profile Photo

Wewe ni muajiriwa na una muda unawaza wapi unaweza kupata pesa wakati unasubiri mshahara wako? Soft Finance kupitia wanakupa mkopo nafuu na wa haraka usio na riba kubwa kuanzia laki tano (500k) ndani ya dakika 45 tu. Wasiliana nao leo upate mkopo wako chap chap

Wewe ni muajiriwa na una muda unawaza wapi unaweza kupata pesa wakati unasubiri mshahara wako? @softfinancetz kupitia #MpangoPesa wanakupa mkopo nafuu na wa haraka usio na riba kubwa kuanzia laki tano (500k) ndani ya dakika 45 tu. Wasiliana nao leo upate mkopo wako chap chap
account_circle