David Djumbe(@daviddjumbe) 's Twitter Profileg
David Djumbe

@daviddjumbe

An Engineer / Activist / PA to Hon Tundu Lissu/ Former Chairman & Founder of TAHLISO / The Green life Network / ES AMKA Singida / Consultant

ID:258832142

linkhttp://www.facebook.com/groups/mzalendotz/ calendar_today28-02-2011 16:06:16

2,7K Tweets

4,0K Followers

670 Following

KIRIKUUโœ๏ธ(@Kirikuu20) 's Twitter Profile Photo

Dubai ni Dubai tu๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜Ž
Wenzetu Mafuriko wameyageuza kivutio cha utaliii kabisa.
Kupitia Hii video ndio inakuonyesha kwenye majanga watu ndio hupata fursa .

Dubai ni Dubai tu๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜Ž Wenzetu Mafuriko wameyageuza kivutio cha utaliii kabisa. Kupitia Hii video ndio inakuonyesha kwenye majanga watu ndio hupata fursa .
account_circle
Raila Odinga(@RailaOdinga) 's Twitter Profile Photo

A terrible day for Kenya:
My wife Ida and I are deeply saddened and profoundly shocked by the passing of General. Francis Ogolla, the Chief of Defence Forces. We join the nation in mourning his loss. Gen. Ogolla was a true patriot, a highly decorated soldier, and a consummate

A terrible day for Kenya: My wife Ida and I are deeply saddened and profoundly shocked by the passing of General. Francis Ogolla, the Chief of Defence Forces. We join the nation in mourning his loss. Gen. Ogolla was a true patriot, a highly decorated soldier, and a consummate
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ๐Ÿšจ โ€ผ๏ธ
Marking World Heritage Day, the Maasai in all divisions of Ngorongoro district held protests

Ndugu zetu wamaasai leo wameadhimsha siku ya Urithi wa Dunia kwa maandamano ya mabango โœŠ๐Ÿฝ
Natamani watanzania wote tungekuwa na umoja na uthubutu namna hii

๐Ÿšจ๐Ÿšจ#Tanzania #Ngorongoro โ€ผ๏ธ Marking World Heritage Day, the Maasai in all divisions of Ngorongoro district held protests Ndugu zetu wamaasai leo wameadhimsha siku ya Urithi wa Dunia kwa maandamano ya mabango โœŠ๐Ÿฝ Natamani watanzania wote tungekuwa na umoja na uthubutu namna hii
account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Huyu mpumbavu mkubwa hajui kuwa Rais anatukanwa na Mawaziri ? Huyu mpumbavu kaongea kauli mbaya na hatari sana lakini Polisi watakaa kimya kwa sababu wanafikiri viongozi wa CCM wako juu ya sheria. Hii kauli ni vita.Kuna siku watakuja kujua kuwa wao ni wapumbavu sana na hawana

account_circle
David Djumbe(@daviddjumbe) 's Twitter Profile Photo

CCM na serikali yao wanaendelea kununua ma V8 wakati dispensary zetu hazina huduma na wananchi wanaendelea kupoteza maisha.
Shame on you.

account_circle
David Djumbe(@daviddjumbe) 's Twitter Profile Photo

CCM inazidi kupandisha gharama za maisha kwa kiwango kikubwa, wakati haliya uchumi ikiendelea kuwa ngumu, wao wanaendelea na matumizi ya anasa ya fedha za umma kama kununua magari ya kifahari etc.

account_circle
Tanzania Abroad TV(@AbroadTanzania) 's Twitter Profile Photo

Vikosi vya Israel vimekamilisha maandalizi ya kuishambulia Iran Huku Mhe Netanyahu akisisitiza ni Muda wa kuandaa maandiko ya โ€œpray for Iran and children of Iranโ€ ina Report channel 31

Vikosi vya Israel vimekamilisha maandalizi ya kuishambulia Iran Huku Mhe Netanyahu akisisitiza ni Muda wa kuandaa maandiko ya โ€œpray for Iran and children of Iranโ€ ina Report channel 31
account_circle
Fabrizio Romano(@FabrizioRomano) 's Twitter Profile Photo

๐ŸŽž๏ธ Xabi Alonso took charge at Bayer on October 5, 2022 with the team second bottom in the Bundesliga.

It was the second worst start of the season ever for Bayer Leverkusen since 1979.

Xabi had ๐ง๐ž๐ฏ๐ž๐ซ managed a senior team having joined Leverkusen one year & half ago from

๐ŸŽž๏ธ Xabi Alonso took charge at Bayer on October 5, 2022 with the team second bottom in the Bundesliga. It was the second worst start of the season ever for Bayer Leverkusen since 1979. Xabi had ๐ง๐ž๐ฏ๐ž๐ซ managed a senior team having joined Leverkusen one year & half ago from
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Mke wa zamani wa staa wa soka wa Brazil Ricardo Kaka, Caroline Celico amefichua siri ya kuachana kwao kuwa mumewe huyo wa zamani alikuwa mwaminifu kupitiliza ndio maana bibie aliomba talaka.

'Kaka hakuwahi kunisaliti, alinifanyia vizuri, alinipa familia nzuri, lakini

#BURUDANI: Mke wa zamani wa staa wa soka wa Brazil Ricardo Kaka, Caroline Celico amefichua siri ya kuachana kwao kuwa mumewe huyo wa zamani alikuwa mwaminifu kupitiliza ndio maana bibie aliomba talaka. 'Kaka hakuwahi kunisaliti, alinifanyia vizuri, alinipa familia nzuri, lakini
account_circle
Jon Mrema(@JonMrema) 's Twitter Profile Photo

Tunapodai uwepo wa Tume Huru ya uchaguzi ni ili tuondokane na hizi aibu za jeshi la Polisi kupiga kura nje ya vituo na kuja kujaza kura kwenye mabox na hakuna hatua yoyote inachuliwa dhidi Yao! Aibu na fedheha hizi Kwa Taifa lazima zifike mwisho!Tume iwe Huru kuondokana na aibu!

account_circle
John Heche(@HecheJohn) 's Twitter Profile Photo

Madaktari na wauguzi ni watu muhimu sana kwenye jamiiiโ€ฆ

Ndio maana tutakaposhinda na kuongoza Nchi. maslahi ya madaktari, manesi, wauguzi na walimu wetu yatakua makubwa.

Ni dhuluma kubwa kuwalipa watu wanaoweza kufanya kazi nzuri hii pesa kidogo.

Hongera madaktari.

Madaktari na wauguzi ni watu muhimu sana kwenye jamiiiโ€ฆ Ndio maana tutakaposhinda na kuongoza Nchi. maslahi ya madaktari, manesi, wauguzi na walimu wetu yatakua makubwa. Ni dhuluma kubwa kuwalipa watu wanaoweza kufanya kazi nzuri hii pesa kidogo. Hongera madaktari.
account_circle
David Djumbe(@daviddjumbe) 's Twitter Profile Photo

CCM wanalamika Mama yao kukosolewa, wapinzani nao wanalalamikia wakosoaji.

Wakosoaji wameamua kunyamaza, CCM wanasherehekea, na Wapinzani nao wanasherehekea.

CCM na Wapinzani wanatofauti gani? CHADEMA Tanzania
Mdude Chadema Hilda Newton

account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

Kama leo hujaelewa kuhusu usanii wa rume huru ya uchaguzi basi uwezi kuelewa milele.

Sema Clouds Media mpangilio wa wachangia mada sijauelewa kabisa.

Nilitegemea hoja kwa hoja kutoka kwa wachangiaji wote.

account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

Narudia nobody is above the CAUSE! Na ukikenguka kwenye hiki utabaki kuwa an Ego driven, loud mouth na siyo mwanaharakati!
Kuna wakati ukiwa ktk harakati utafanya makubwa ila usitambe! Be humble! It is not about you, it is about the Cause

Ndiyo maana tunafanya kozi ya

Narudia nobody is above the CAUSE! Na ukikenguka kwenye hiki utabaki kuwa an Ego driven, loud mouth na siyo mwanaharakati! Kuna wakati ukiwa ktk harakati utafanya makubwa ila usitambe! Be humble! It is not about you, it is about the Cause Ndiyo maana tunafanya kozi ya
account_circle
Tundu Antiphas Lissu(@TunduALissu) 's Twitter Profile Photo

Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai wa kisiasa wa CCM tu?

Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai wa kisiasa wa CCM tu?
account_circle