David Djumbe
@daviddjumbe
An Engineer / Activist / PA to Hon Tundu Lissu/ Former Chairman & Founder of TAHLISO / The Green life Network / ES AMKA Singida / Consultant
ID:258832142
http://www.facebook.com/groups/mzalendotz/ 28-02-2011 16:06:16
2,7K Tweets
4,0K Followers
670 Following
๐จ๐จ #Tanzania #Ngorongoro โผ๏ธ
Marking World Heritage Day, the Maasai in all divisions of Ngorongoro district held protests
Ndugu zetu wamaasai leo wameadhimsha siku ya Urithi wa Dunia kwa maandamano ya mabango โ๐ฝ
Natamani watanzania wote tungekuwa na umoja na uthubutu namna hii
Leo tushiriki mjadala wa kuwatambua rasmi watekaji na tuamue hatua za kuchukua juu yao, wasiojulikana sasa wameanza kujileta hadharani. Maria Sarungi Tsehai Hilda Newton CHADEMA Tanzania John Pambalu
CCM wanalamika Mama yao kukosolewa, wapinzani nao wanalalamikia wakosoaji.
Wakosoaji wameamua kunyamaza, CCM wanasherehekea, na Wapinzani nao wanasherehekea.
CCM na Wapinzani wanatofauti gani? CHADEMA Tanzania
Mdude Chadema Hilda Newton
Kama leo hujaelewa kuhusu usanii wa rume huru ya uchaguzi basi uwezi kuelewa milele.
Sema Clouds Media mpangilio wa wachangia mada sijauelewa kabisa.
Nilitegemea hoja kwa hoja kutoka kwa wachangiaji wote.