Ishengoma Irene(@IshengomaIrene) 's Twitter Profileg
Ishengoma Irene

@IshengomaIrene

I am a solution|Women Football Welfare #sokalawanawaketz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ|#AmaniHuanziaNyumbani|Online Safe Space| I work @globalpeacetz | Maisha Plus 2nd runner 2016.

ID:898840196673875969

linkhttps://instagram.com/_ishengoma?igshid=YmMyMTA2M2Y= calendar_today19-08-2017 09:32:57

47,6K Tweets

18,2K Followers

2,0K Following

Follow People
Jalilu Zaid(@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Inapofika tarehe 22/05 kila mwaka ni siku huwa napata maumivu nikimkumbuka Pacha wangu Jabir.

Tungekuwa pamoja tukizihesabu kurasa za miaka katika haya maisha. Lakini sisi ni nani tupingane na mipango yake aliyetuumba. Mungu ni wa kushukuriwa kwa kila jambo liwe gumu au jepesi

Inapofika tarehe 22/05 kila mwaka ni siku huwa napata maumivu nikimkumbuka Pacha wangu Jabir. Tungekuwa pamoja tukizihesabu kurasa za miaka katika haya maisha. Lakini sisi ni nani tupingane na mipango yake aliyetuumba. Mungu ni wa kushukuriwa kwa kila jambo liwe gumu au jepesi
account_circle
#ElimikaWikiendi(@ElimikaWikiendi) 's Twitter Profile Photo

NUKUU YA LEO: โ€œKuna umri ukifika hautaweza kufanya tena, fanya leo kinachopaswa kufanywa leo ili kesho usijikute unajutia.โ€ - Joel Nanauka

NUKUU YA LEO: โ€œKuna umri ukifika hautaweza kufanya tena, fanya leo kinachopaswa kufanywa leo ili kesho usijikute unajutia.โ€ - Joel Nanauka
account_circle
Msichana Initiative(@MsichanaUwezo) 's Twitter Profile Photo

Tafiti zinaonyesha zaidi ya asilimia 60 ya Mabinti (Wasichana) hawana uwezo wa kujinunulia Pedi na hii hutokana na hali ya kipato.

Ungana na Wasichanaโ€ฆ

account_circle
Imani Henrick Luvanga(@Imaniluvanga) 's Twitter Profile Photo

Wiki iliyopita nilipata mwakiko adhimu kutoka chuo changu nilichosoma, UDSM. Ulikua mwaliko wa kuwafundisha wanafunzi wa chuo hicho jinsi ya kuanzisha na kuiendesha.

It was fun ๐Ÿคฉ

Nilichofurahi zaidi ni kuona vijana wengi walikuwa tayari kuanza safari ya ing

Wiki iliyopita nilipata mwakiko adhimu kutoka chuo changu nilichosoma, UDSM. Ulikua mwaliko wa kuwafundisha wanafunzi wa chuo hicho jinsi ya kuanzisha #podcast na kuiendesha. It was fun ๐Ÿคฉ Nilichofurahi zaidi ni kuona vijana wengi walikuwa tayari kuanza safari ya #podcasting
account_circle
Flaviana Matata(@FlavianaMatata) 's Twitter Profile Photo

Today marks 28 years since my momโ€™s tragic passing in a boat accident. I was very young, but the memories remain vivid, feeling like just yesterday. While they say โ€˜time heals,โ€™ Iโ€™ve found it only gets harder as I grow older.

Iโ€™m incredibly proud of Nyaisa, a survivor who has

Today marks 28 years since my momโ€™s tragic passing in a boat accident. I was very young, but the memories remain vivid, feeling like just yesterday. While they say โ€˜time heals,โ€™ Iโ€™ve found it only gets harder as I grow older. Iโ€™m incredibly proud of Nyaisa, a survivor who has
account_circle
TK(@Theklaschulte2) 's Twitter Profile Photo

Ukiona unatumia pesa au influence ili kuweza kupendwa au kukubalika, ujue umekosa Utu, ubinadamu na upendo.

account_circle
Eagle's Eye(@Eagleseye02) 's Twitter Profile Photo

Hello Dears ๐Ÿ’œ Usipo jitoa kupambana leo walio kudharau jana watakudharau tena kesho kujitengenezea heshima ni jukumu lako kwakuwa bado upo hai usichoke kupambana bado una nafasi ya kuheshimiwa usisubiri heshima za mwisho๐Ÿ˜Ž

Hello Dears ๐Ÿ’œ Usipo jitoa kupambana leo walio kudharau jana watakudharau tena kesho kujitengenezea heshima ni jukumu lako kwakuwa bado upo hai usichoke kupambana bado una nafasi ya kuheshimiwa usisubiri heshima za mwisho๐Ÿ˜Ž
account_circle
Carol Ndosi(@CarolNdosi) 's Twitter Profile Photo

Nilijifunza Hamna kitu kama โ€˜Self Madeโ€™ - kusema hivi ni kusahau wale waliochangia safari yako..Na anaweza akawa hata Mama Vitumbua au Mangi wa dukani aliyekukopesha ulivyokua huna kitu kabisa.

No man is an Island.

Nilijifunza Hamna kitu kama โ€˜Self Madeโ€™ - kusema hivi ni kusahau wale waliochangia safari yako..Na anaweza akawa hata Mama Vitumbua au Mangi wa dukani aliyekukopesha ulivyokua huna kitu kabisa. No man is an Island.
account_circle
Carol Ndosi(@CarolNdosi) 's Twitter Profile Photo

โ€œOnline Gender-Based Violence in Tanzania: A Crisis in the making.โ€ by Carol Ndosi
carolndosi.medium.com/online-gender-โ€ฆ

โ€œOnline Gender-Based Violence in Tanzania: A Crisis in the making.โ€ by Carol Ndosi carolndosi.medium.com/online-gender-โ€ฆ
account_circle