Carol Ndosi(@CarolNdosi) 's Twitter Profileg
Carol Ndosi

@CarolNdosi

#WomenInTech #KilimoNaCarol | Digital Inclusion | SKILLS | @thelaunchpadtz @lpdigitaltz @techwomentz @nyamachomafest @sheroestanzania @_123productions

ID:248618354

linkhttp://www.lpdigital.or.tz calendar_today07-02-2011 11:26:11

339,6K Tweets

583,1K Followers

2,7K Following

Follow People
Carol Ndosi(@CarolNdosi) 's Twitter Profile Photo

Wengi huwa tukitaka kufanya jambo kwenye taaluma au kazi zetu tunapata changamoto ya kupata muongozo au ushauri kutoka kwa wale waliotutangulia

Umuhimu wa kuwa na Mentor ni mkubwa sana katika maendeleo binafsi na hata katika mafanikio ya kikazi hasa kutoa mwongozo, maarifa.

Wengi huwa tukitaka kufanya jambo kwenye taaluma au kazi zetu tunapata changamoto ya kupata muongozo au ushauri kutoka kwa wale waliotutangulia Umuhimu wa kuwa na Mentor ni mkubwa sana katika maendeleo binafsi na hata katika mafanikio ya kikazi hasa kutoa mwongozo, maarifa.
account_circle
Daktari Wa Manesi πŸ’‰πŸ’Š(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Chukua hatua ya kwanza kuelekea mafanikio! Fuatilia Mentorship CafΓ© inayoendelea hivi sasa tarehe iliyoandaliwa na taasisi ya LP Digital. Ni fursa muhimu ya kukuza ujuzi wako na kufikia malengo yako.

Chukua hatua ya kwanza kuelekea mafanikio! Fuatilia Mentorship CafΓ© inayoendelea hivi sasa tarehe iliyoandaliwa na taasisi ya @LPDigitalTZ. Ni fursa muhimu ya kukuza ujuzi wako na kufikia malengo yako. #Techwomentz #SkillingTanzania #Mitandaonasisi
account_circle
Eng Octavian Lasway(@Octavianlasway) 's Twitter Profile Photo

Umwagiliaji ndio injini kubwa kwenye kilimo , uzalishaji wa mwaka mzima ndio utamfanya mkulima aweze kusema anafanya kilimo biashara , serikali kupitia wizara ya kilimo Wizara ya Kilimo , chini Mh Waziri Hussein M Bashe kwa mwaka wa fedha 2023/24 imepanga kutengeneza skimu za

Umwagiliaji ndio injini kubwa kwenye kilimo , uzalishaji wa mwaka mzima ndio utamfanya mkulima aweze kusema anafanya kilimo biashara , serikali kupitia wizara ya kilimo @WizaraKilimo , chini Mh Waziri @HusseinBashe kwa mwaka wa fedha 2023/24 imepanga kutengeneza skimu za
account_circle
NK(@KneeNjure) 's Twitter Profile Photo

Ni sawa na events za bank zenye panel discussion. Wote tunatafuta watumiaji wa huduma na bidhaa zetu.

Kwa startups podcast ni rahisi kufanya kwa bajeti zetu limited. Kwa nyie banking mnafanya ma-event makubwa na mnaalika watu kufanya kile kile β€” KUONGEA. Promo pia ni business.

account_circle
Ms_Genya(@ScholaDecaprado) 's Twitter Profile Photo

Kwa mara nyingine taasisi ya LP Digital imefanikiwa kuwa na Mentorship Cafe program inayosaidia kukuza ujuzi wako kupitia Mentor and Mentee session inayowajumuisha wabobezi na wataalamu katika nyaja mbalimbali.

Kwa mara nyingine taasisi ya @LPDigitalTZ imefanikiwa kuwa na Mentorship Cafe program inayosaidia kukuza ujuzi wako kupitia Mentor and Mentee session inayowajumuisha wabobezi na wataalamu katika nyaja mbalimbali. #Techwomentz #SkillingTanzania #Mitandaonasisi
account_circle
viola julius(@VwalaViola) 's Twitter Profile Photo

Tuko kwenye ulimwengu ambao tunatakiwa kujifunza toka kwa waliotangulia na leo The LaunchPad wanafanikisha hili kwa kukutanisha vijana na Mentors pale Grano cafe mlimani . Nawatakia mafanikio vijana wote

Tuko kwenye ulimwengu ambao tunatakiwa kujifunza toka kwa waliotangulia na leo @TheLaunchPadTZ wanafanikisha hili kwa kukutanisha vijana na Mentors pale Grano cafe mlimani . Nawatakia mafanikio vijana wote #SkillingTanzania #MitandaoNaSisi #TechWomenTz
account_circle
Ms_Genya(@ScholaDecaprado) 's Twitter Profile Photo

Mimi ni muumini mzuri wa Mentor and mentee session kwa sababu tusipojifunza kwa waliotutangulia tutakuwa kizazi cha aina gani eti??

The LaunchPad wameweza Leo kuwakutanisha vijana wenye uchu wa kujifunza na kujua zaidi na Mentors wao..


Mimi ni muumini mzuri wa Mentor and mentee session kwa sababu tusipojifunza kwa waliotutangulia tutakuwa kizazi cha aina gani eti?? @TheLaunchPadTZ wameweza Leo kuwakutanisha vijana wenye uchu wa kujifunza na kujua zaidi na Mentors wao.. #SkillingTanzania #MitandaoNaSisi
account_circle
viola julius(@VwalaViola) 's Twitter Profile Photo

Leo The LaunchPad wamekutanisha mentors na mentees kwenye kwa ajili ya kutambuana na kubadilishana uzoefu . Hii ni katika kuhakikisha mentees wanapata ujuzi zaidi utakaowasaidia kwenye yale wanafanya

Leo @TheLaunchPadTZ wamekutanisha mentors na mentees kwenye #MentorshipCafe kwa ajili ya kutambuana na kubadilishana uzoefu . Hii ni katika kuhakikisha mentees wanapata ujuzi zaidi utakaowasaidia kwenye yale wanafanya #SkillingTanzania #MitandaoNaSisi #TechWomenTz
account_circle
Carol Ndosi(@CarolNdosi) 's Twitter Profile Photo

Fair enough. Na mnategemea moderators akajua huyu ni 98% na huyu sio?

Hadi kuchorea mstari kuwa wa Online ndio wanaongea kuliko 98%(ambao na wao wangekua na access wangekuwa online pia) au waweke kwenye bio? Au unashauri tuachane kabisa na hizi platform kila kitu kiwe offline?

account_circle
Mshua(@mshua__) 's Twitter Profile Photo

Carol Ndosi Wadudu wengi siwezi sema wote

Hawana maadili mfano kwenye mavazi,heshima na ustarabu ki ujumla mfano..

Jinsi wanavyo ongea na watu wazima hususan kwenye daladala au masokoni na n.k..

Ina umiza sana unatembea na mzazi au mtu unaye muheshimu
wako alafu ..

account_circle
Carol Ndosi(@CarolNdosi) 's Twitter Profile Photo

No ukiiweka hivi tunakosea because sadly tumeruhusu Wadudu kuwa part of our culture. What I was trying to say is - hii strategy isije kuishia kuifanya the ONLY narrative about Arusha.

account_circle
Carol Ndosi(@CarolNdosi) 's Twitter Profile Photo

I β€˜m so emotional about this - 6 years later

The LaunchPad LP Digital are back at it

Thanks to all Mentors who signed up for this noble cause.

To supporting growth.

THANK YOU.

P.S - Same venue too πŸ˜„

I β€˜m so emotional about this - 6 years later @TheLaunchPadTZ @LPDigitalTZ are back at it #MentorshipCafe Thanks to all Mentors who signed up for this noble cause. To supporting growth. THANK YOU. #SkillingTanzania P.S - Same venue too πŸ˜„
account_circle
Ishengoma Irene(@IshengomaIrene) 's Twitter Profile Photo

MokerπŸ‘ Hii tabia naona inaanza kuota mizizi ila haiko sawa kabisa na ni ulimbukeni wa hali ya juu; hapo utakuta kampiga bila hata mdada kujua kapigwa picha na kapostiwa. Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu unaopaswa kupingwa kukemewa bila hata kupepesa macho πŸ™πŸ½.

account_circle