batholomeo Mwasarai (@bmwasarai) 's Twitter Profile
batholomeo Mwasarai

@bmwasarai

ID: 1625144305949048832

calendar_today13-02-2023 14:46:39

488 Tweet

95 Followers

610 Following

Daktari Wa Manesi 💉💊 (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Endesha kwa makini kwenye barabara hii inayoitwa Maisha kwa sababu watu watabadilisha njia bila kutoa ishara. Hujui ni nini kipo kwenye kona inayofuata au nani atakayekukatiza ghafla. Lakini usiruhusu hilo likuzuie kufurahia safari. Kumbuka kufunga mkanda, kuwa na subira

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Wewe upo online muda huu unaweza kufanya shughuli zako kwa amani kabisa. DEUSDEDITH SOKA yupo MATEKA kwa kupigania nchi yake ambayo ww upo huru kufanya mambo yako saizi. Ndugu wa SOKA wanahangaika vituo vya polisi kumtafuta mtoto wao bila mafanikio. Wewe ndugu zako wapo na

Wewe upo online muda huu unaweza kufanya shughuli zako kwa amani kabisa.

<a href="/DEUSDEDITHSOKA/">DEUSDEDITH SOKA</a>  yupo MATEKA kwa kupigania nchi yake ambayo ww upo huru kufanya mambo yako saizi.

Ndugu wa SOKA wanahangaika vituo vya polisi kumtafuta mtoto wao bila mafanikio. Wewe ndugu zako wapo na
Luhaga Mpina (@luhagampina) 's Twitter Profile Photo

Moja ya ishara kubwa za kuonesha kwamba 4R za Mh. Rais Samia Suluhu Hassan zinafanya kazi na zina nia kweli ya kuliponya na kuliunganisha Taifa, ni kuacha vyama vya siasa kufanya maandamano yao, sharti yawe ya amani na utulivu. Tukuze Demokrasia, tusiidumaze.

Ndolezi (@ndolezi_petro) 's Twitter Profile Photo

Kila Kona ya Tanzania Wananchi wanalia na kero ya Maji. Jimbo la Simanjiro, Kiteto, Chemba, Kondoa Vijijini ni hatari zaidi wanatafuta Maji zaidi ya Masaa 5. Tanzania ndio Taifa pekee Barani Africa lenye Vyanzo vingi vya Maji kuliko Taifa lolote. 👇

Baraka Adson Mpenja 🇹🇿 (@baraka__mpenja) 's Twitter Profile Photo

Wananchi Yanga SC wanarudi katika ligi kuu ya NBCPL ambapo Jumatano hii watakuwa ugenini dimba la Sokoine kukipiga na KenGold FC. KenGold wanaingia katika mchezo huu wakiwa hawana alama yeyote katika msimamo. Je, watavuna alama yeyote mbele ya Yanga ama

Wananchi Yanga SC wanarudi katika ligi kuu ya NBCPL ambapo Jumatano hii watakuwa ugenini dimba la Sokoine kukipiga na KenGold FC.

KenGold wanaingia katika mchezo huu wakiwa hawana alama yeyote katika msimamo.

Je, watavuna alama yeyote mbele ya Yanga ama