funnyboe_tz
@funnyboe_tz
COMPUTER ENG. & LOGO DESIGNER//content creator
//#yangaAfricans & #Liverpool fan//MFALME WA JOKES & KIDDING ๐๐//#msemaukweli//man of people//DIT engineer
ID: 1720278891959332864
03-11-2023 03:17:53
8,8K Tweet
1,1K Followers
1,1K Following
Martin Maranja Masese Kinacho nishangaza bro ni kwamba kwenye hiyo Bus hakuna camera comrade??au watu walishindwa hata kurecord ili wangetishiwa hata kidogo wangejuwa sio watu wema??๐ฅบ๐
Martin Maranja Masese Damu na Machozi ya kila Mtanzania aliyeonewa ipo siku yatalipwa ๐๐พ
Boniface Jacob Mwafrika ni mtu mgumu sana kwenye kuwajibika..Kujiuzuli aaah, sijui kwa nini tusiwape viongozi wetu course ya leadership ethics. Wakati jambo kama hili linapotokea chini ya uongozi wako ulipaswa kuchukua hatua za haraka au kujiuzulu; kuwajibika. Sio kwa sababu wewe ndio