Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profileg
Martin Maranja Masese

@IAMartin_

MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |

ID:126657061

linkhttps://www.instagram.com/martinmaranjamasese?igsh=bTR1eWEzOTRqcGtj&utm_source=qr calendar_today26-03-2010 15:32:42

145,0K Tweets

501,4K Followers

1,5K Following

Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Kazi ya upekuzi nyumbani kwa Boniface Jacob imemalizika. Polisi wameondoka na mtuhumiwa kurudi naye kituo cha polisi kati (central police). Wamechukua simu (samsung) na Laptop ambayo watoto wanatumia kuchezea. Godlisten Malisa bado wapo naye njiani. Tutaendelea kuwajuza.

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA; Polisi waliokwenda na Boniface Jacob katika makazi yake ya Msakuzi-Mbezi wamefika nyumbani hapo saa 22:20 usiku huu. Wanaendelea na upekuzi kutafuta vifaa vya uchochezi na taharuki. Godlisten Malisa hatujapata taarifa zake za sasa, tukizipata tutawajulisha kwa haraka.

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Unamnyima mtuhumiwa dhamana katika kesi ambayo sheria imetoa dhamana kwa kuwa hajawasilisha simu yake? Simu ni mali yake halali, hataki kuwasilisha, kaombe idhini mahakamani.

Unasema utampa dhamana ikiwa tu watawasilisha simu zao. Kwanini? Masharti hayo yameelezwa katika sheria…

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Kuna swali nimeona watu wengi wanauliza na kushangaa kwanini makachero wa jeshi la polisi kutoka Arusha wanakuja Dar es Saalam kwa ajili ya kufanya upelelezi na kumuhoji Boniface Jacob?

Polisi wametueleza, Boniface Jacob alizua taharuki na kufanya uchochezi pia Arusha kwa…

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA; Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam bado linaendelea kuwashikilia Boniface Jacob na Godlisten Malisa. Wanatuhumiwa kwa makosa ya uchochezi na kuzua taharuki katika jamii.

Polisi wameondoka na Godlisten Malisa kwenda naye Moshi, Kilimanjaro usiku huu ili…

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Tangu tumefika kituo cha polisi kati - DSM, majira ya mchana tumekuwa tukisubiri kusikia maelekezo ya polisi. Tulielezwa tumsubiri ZCO, Boniface Jacob na MalisaGJ wakatengwa chumba cha pekee yao, hata WAKILI wao hakuruhusiwa kuwaona. ZCO amefika sasa, wanaendelea na mahojiano.

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Tumewasindikiza Kituo cha Polisi Oysterbay, Boniface Jacob na MalisaGJ kuitikia wito wa jeshi la polisi ambao waliwataka wafike kituoni hapo. Lakini RCO Kinondoni ameelekeza waelekee Kituo cha Polisi Kati (central police - DSM). Pia tumefika, tunasubiri maelekezo ya ziada.

Tumewasindikiza Kituo cha Polisi Oysterbay, @ExMayorUbungo na @MalisaGJ_ kuitikia wito wa jeshi la polisi ambao waliwataka wafike kituoni hapo. Lakini RCO Kinondoni ameelekeza waelekee Kituo cha Polisi Kati (central police - DSM). Pia tumefika, tunasubiri maelekezo ya ziada.
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Mchungaji Christopher Mtikila, mwanzoni wa utawala wa Rais Benjamin William Mkapa. Gazeti moja likamtafuta wapige ‘mastori ya town’ kidogo.

Gazeti hilo kesho likapambwa na kichwa cha habari “MTIKILA ASEMA NYERERE ANYONGWE”. Saa mbili asubuhi, ‘difenda’ ya mapolisi ikawa…

Mchungaji Christopher Mtikila, mwanzoni wa utawala wa Rais Benjamin William Mkapa. Gazeti moja likamtafuta wapige ‘mastori ya town’ kidogo. Gazeti hilo kesho likapambwa na kichwa cha habari “MTIKILA ASEMA NYERERE ANYONGWE”. Saa mbili asubuhi, ‘difenda’ ya mapolisi ikawa…
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Wakili Frank Mwalongo amejitokeza kujitetea mbele ya waandishi wa habari kuhusu tuhuma kadhaa ambazo umma ulielezwa kwamba, kampuni ambazo zimekopa mikopo chechefu, zote zinamtumia mahakamani.

Wakili Frank Mwalongo anakiri ni kweli anawakilisha kampuni sita (6) katika kesi zao…

Wakili Frank Mwalongo amejitokeza kujitetea mbele ya waandishi wa habari kuhusu tuhuma kadhaa ambazo umma ulielezwa kwamba, kampuni ambazo zimekopa mikopo chechefu, zote zinamtumia mahakamani. Wakili Frank Mwalongo anakiri ni kweli anawakilisha kampuni sita (6) katika kesi zao…
account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

HONGERA SANA GAZETI LA MWANANCHI.

Ukisoma taarifa ya Jeshi la polisi ya Kamanda Jumanne Muliro na ukasoma taarifa ya mahojiano ya gazeti la Mwananchi na watu tofauti utagundua yafuatayo...

1. Polisi wanasema marehemu Robert Mlanga Mushi aligongwa na gari maeneo ya Buguruni…

HONGERA SANA GAZETI LA MWANANCHI. Ukisoma taarifa ya Jeshi la polisi ya Kamanda Jumanne Muliro na ukasoma taarifa ya mahojiano ya gazeti la Mwananchi na watu tofauti utagundua yafuatayo... 1. Polisi wanasema marehemu Robert Mlanga Mushi aligongwa na gari maeneo ya Buguruni…
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Zanzibar hawana uwezo wa kuzalisha umeme. Umeme wanaotumia unatoka Tanganyika, unapita baharini, wanawasha taa zao na luninga. Tuliwasamehe deni la umeme, walishindwa kulipa zaidi ya TZS 111 bilioni.

ZECO inanunua umeme kutoka TANESCO na inawauzia wateja wa katika visiwa vya…

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Unaishi ardhi ambayo maofisa 7 wa jeshi la polisi wanashirikiana kumpora milioni 70 raia baada ya kuuza madini kisha kumuua kwa sumu, wanautupa mwili wake baharini. Wanakula njama kuua raia. Watu timamu tulipaswa kushinikiza Reform, Restructuring and Rebuilding of Police force.

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Hakuna suala mjadala, Zanzibar wapewe nchi yao!

Naunga mkono hoja ya mbunge wa Konde Zanzibar (ACT-Wazalendo), Mohammed Said Issa utaratibu wa kutumia hati ya kusafiria (Passport) kuingia Zanzibar ikiwemo watu kutoka Tanganyika urejeshwe.

Mohammed Said Issa alisema Zanzibar…

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Sheikh Ally Mohammed Kadogoo, mwanachama wa CHADEMA. Hakika, tunajitosheleza bablai, tunazo mashine za kushambulia majini, ardhini na angani. Karibu, sikiliza nondo zake mujarabu hapa.

account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Shinyanga imesimama kuhesabiwa!

Asanteni sana wananchi wa Shinyanga kwa kusimama imara katika kutetea haki zenu na kusongesha mbele safari ya mabadiliko. Tupo pamoja katika harakati za kuleta maendeleo na kutetea haki za kila Mtanzania. Tuendelee kushikamana katika safari hii ya…

Shinyanga imesimama kuhesabiwa! Asanteni sana wananchi wa Shinyanga kwa kusimama imara katika kutetea haki zenu na kusongesha mbele safari ya mabadiliko. Tupo pamoja katika harakati za kuleta maendeleo na kutetea haki za kila Mtanzania. Tuendelee kushikamana katika safari hii ya…
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

How can a policeman kill an innocent soul? These are criminals dressed as police officers. They pose a threat, so if you see them, run or hide because your life is in danger. We are confident that justice will be achieved and all those involved at all levels will be apprehended…

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Nini kimetokea? Furaha Dominick ni kati ya vijana walikuwa wazito katika utawala wa Rais John Pombe Magufuli. Anatajwa kuwa mtoto wa dada yake JPM.

Furaha Dominic Julai 21, 2020 aliongoza kura za maoni Jimbo la Kawe baada ya kupata kura 101 kati ya 474 zilizopigwa akifuatiwa na…

Nini kimetokea? Furaha Dominick ni kati ya vijana walikuwa wazito katika utawala wa Rais John Pombe Magufuli. Anatajwa kuwa mtoto wa dada yake JPM. Furaha Dominic Julai 21, 2020 aliongoza kura za maoni Jimbo la Kawe baada ya kupata kura 101 kati ya 474 zilizopigwa akifuatiwa na…
account_circle