Janeth Rithe (@janerithe) 's Twitter Profile
Janeth Rithe

@janerithe

National Chairperson of the Women's Wing @ACTwazalendo

ID: 1025069839340195840

calendar_today02-08-2018 17:24:29

4,4K Tweet

4,4K Followers

218 Following

Janeth Rithe (@janerithe) 's Twitter Profile Photo

KC Dorothy Semu amefanya mkutano wa hadhara katika Jimbo la Kilindi Mkoani Tanga. Hii ni ziara ya awamu pili yenye madhumuni ya kuwasikiliza Wananchi na kushajiisha usajili wa Wanachama Milioni 10 kwa kipindi cha Miezi 10. #Miezi10 #WanachamaMilioni10 ACTWazalendo

KC <a href="/SemuDorothy/">Dorothy Semu</a> amefanya mkutano wa hadhara katika Jimbo la Kilindi Mkoani Tanga. Hii ni ziara ya awamu pili yenye madhumuni ya kuwasikiliza Wananchi na kushajiisha usajili wa Wanachama Milioni 10 kwa kipindi cha Miezi 10.

#Miezi10 #WanachamaMilioni10
<a href="/ACTwazalendo/">ACTWazalendo</a>