Janeth Rithe
@janerithe
National Chairperson of the Women's Wing @ACTwazalendo
ID: 1025069839340195840
02-08-2018 17:24:29
4,4K Tweet
4,4K Takipçi
218 Takip Edilen
KC Dorothy Semu amefanya mkutano wa hadhara katika Jimbo la Kilindi Mkoani Tanga. Hii ni ziara ya awamu pili yenye madhumuni ya kuwasikiliza Wananchi na kushajiisha usajili wa Wanachama Milioni 10 kwa kipindi cha Miezi 10. #Miezi10 #WanachamaMilioni10 ACTWazalendo