Jackie ๐Ÿญ (@kellenmbwambo) 's Twitter Profile
Jackie ๐Ÿญ

@kellenmbwambo

impossible is possible under God's Control...
๐ŸŽ€just a cupcake looking for a stud muffin..

DirtyMindedWithACleanHeart๐Ÿ˜Š

ID: 4854995363

calendar_today27-01-2016 21:35:33

152,152K Tweet

120,120K Followers

3,3K Following

Mama Anafanikisha (@mamanafanikisha) 's Twitter Profile Photo

Wanafunzi wa Shule Shikizi Ibumba wanamshukuru Rais Samia Suluhu kwa kuwapunguzia mwendo wa kutembea kufuata elimu kutoka kilomita 13 hadi kilomita 2. #MamaAnafanikisha

๏ฃฟ ๐Š๐ข๐๐ฎ๐๐ฎ ๐Œ๐ญ๐ฎ ๐‰๐‘โ„ข (@anuskills3) 's Twitter Profile Photo

Nani kasema Arsenal watafungwa leo? Lipia king'amuzi chako kupitia SimBanking na usipitwe na mechi 200 za kukata na shoka wikiendi hii! Ujiongezee nafasi ya kushinda NDINGA mpya sasa. Je, Arsenal watashinda leo? #SwahibaLanguLako

Nani kasema Arsenal watafungwa leo?

Lipia king'amuzi chako kupitia SimBanking na usipitwe na mechi 200 za kukata na shoka wikiendi hii! Ujiongezee nafasi ya kushinda NDINGA mpya sasa.

Je, Arsenal watashinda leo?  
#SwahibaLanguLako
Jackie ๐Ÿญ (@kellenmbwambo) 's Twitter Profile Photo

Serikali Kwa kuanza imepeleka mashine za kusafisha damu katika hospitali zote za rufaa za mikoa, ili kuwaepusha wananchi na gharama za kufuata huduma hiyo mbali. #MamaYukoKazini #MamaAnafanikisha

Serikali Kwa kuanza imepeleka mashine za kusafisha damu katika hospitali zote za rufaa za mikoa, ili kuwaepusha wananchi na gharama za kufuata huduma hiyo mbali.

#MamaYukoKazini #MamaAnafanikisha
NK (@kneenjure) 's Twitter Profile Photo

Tabia moja ngumu kutoka kama umetokea kwenye umaskini/shida kama sisi ni โ€œuchoyoโ€. Unaona kila kitu โ€œhakitoshiโ€ unajikuta unabaniabania watu vitu visivyo na msingi na kungโ€™angโ€™ania vitu usivyohitaji ukiamini kitakuwa na umuhimu. Dalili moja ni kuhifadhi makopo usiyoyatumia. Gawa.

Sylor (@beki_mfungaji) 's Twitter Profile Photo

Cargo pants ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Bei 30k tu Size 30-38 WhatsApp au piga simu 0682946668 Tunapatikana Dar Tunafanya delivery Tunatuma mikoa yote

Cargo pants ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Bei 30k tu
Size 30-38 
WhatsApp au piga simu 0682946668
Tunapatikana Dar 
Tunafanya delivery 
Tunatuma mikoa yote
Jackie ๐Ÿญ (@kellenmbwambo) 's Twitter Profile Photo

This life the day you wake to realise things must change . That is the day you start living your life to the fullest. Step by step little changes turns into big ones...

Jackie ๐Ÿญ (@kellenmbwambo) 's Twitter Profile Photo

Mpaka sasa kuna visima 67,000 vilivyojengwa na mabwawa 100 ya umwagiliaji yaliyojengwa. Lengo ni kuhakikisha hatutegemei mvua pekee katika kilimo. #MamaAnafanikisha #MamaYukokazini

Paschal sam (@paschalsam1) 's Twitter Profile Photo

Huu ni mradi wa umwagiliaji wa Nyida-Shinyanga, wenye mabwawa 3 umefikia 68% kukamilika Machi 2025. #MamaAnafanikisha #TanzaniaYaSamia

Huu ni mradi wa umwagiliaji wa Nyida-Shinyanga, wenye mabwawa 3 umefikia 68% kukamilika Machi 2025.
#MamaAnafanikisha
#TanzaniaYaSamia
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“Nyasa, Ruvuma ๐”๐‚๐‡๐”๐Œ๐ˆ ๐–๐€ ๐Š๐ˆ๐Œ๐Š๐€๐Š๐€๐“๐ˆ ๐”๐’๐‡๐Ž๐‘๐Ž๐๐€ ๐–๐€ ๐Š๐”๐’๐ˆ๐๐ˆ #MamaYukoKazini

Eric (@ericmaswi) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso (Mb) amekagua Mradi wa Miji 28 Chato mkoani Geita. Mradi una thamani ya shilingi Bilioni 38 na unatekelezwa na Mkandarasi kampuni ya AFCON kutoka India. #MamaYukoKazini

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso (Mb) amekagua Mradi wa Miji 28 Chato mkoani Geita.
Mradi una thamani ya shilingi Bilioni 38 na unatekelezwa na Mkandarasi kampuni ya AFCON kutoka India.

#MamaYukoKazini