Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profileg
Wizara ya Elimu Tanzania

@wizara_elimuTz

This is an Official page for the Ministry of Education, Science and Technology.

ID:707131141090885632

linkhttp://www.moe.go.tz calendar_today08-03-2016 09:09:36

1,7K Tweets

76,8K Followers

62 Following

Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

Tutazungumza kuanzisha sports academy zenye kila aina ya michezo na watoto waanze darasa la kwanza mpaka kidato cha nne hizi ni shule za Amali.

Prof. Mkenda

Tutazungumza kuanzisha sports academy zenye kila aina ya michezo na watoto waanze darasa la kwanza mpaka kidato cha nne hizi ni shule za Amali. Prof. Mkenda #MashindanoUMITASHUMTATabora
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

Tutaendelea kusisitiza kujenga viwanja vya michezo mbalimbali katika shule na kama shule za mjini hazina maeneo ya kutosha kuweka viwanja Halmashauri zitenge maeneo zijenge viwanja vitumiwe na shule na Wanafunzi.

Prof. Mkenda

Tutaendelea kusisitiza kujenga viwanja vya michezo mbalimbali katika shule na kama shule za mjini hazina maeneo ya kutosha kuweka viwanja Halmashauri zitenge maeneo zijenge viwanja vitumiwe na shule na Wanafunzi. Prof. Mkenda #MashindanoUMITASHUMTATabora
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

Vipaji lazima vitambuliwe na kuendelezwa kuanzia shule na awali na msingi ili kupata washiriki katika mashindano mbalimbali ya Kimataifa hatuwezi kuwa na umahiri tukisubiri watoto wamalize shule ndio waanze kufanya michezo na sanaa.

Prof. Mkenda

Vipaji lazima vitambuliwe na kuendelezwa kuanzia shule na awali na msingi ili kupata washiriki katika mashindano mbalimbali ya Kimataifa hatuwezi kuwa na umahiri tukisubiri watoto wamalize shule ndio waanze kufanya michezo na sanaa. Prof. Mkenda #MashindanoUMITASHUMTATabora
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

Wanafunzi mbalimbali wanaoshiriki Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) wakimfurahia Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia akiwa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI DKT. Charles Msonde katika halfa ya ufungaji Mashindano hayo.

Kuna bunifu na teknolojia zenye sifa na zinajibu changamoto za kiuchumi na kijamii. Hivyo, Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), itaendelea kuchukua hatua zinazolenga kuziendeleza na kuzibiasharisha.

Prof. Adolf Mkenda

Kuna bunifu na teknolojia zenye sifa na zinajibu changamoto za kiuchumi na kijamii. Hivyo, Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), itaendelea kuchukua hatua zinazolenga kuziendeleza na kuzibiasharisha. Prof. Adolf Mkenda
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

Tumepanua wigo wa Samia Skolashipu kwa kujumuisha dirisha jipya la ufadhili kwa ajili ya Shahada za Umahiri katika Sayansi na Teknolojia ya nyuklia. Kutokana na fursa nyingi anuai katika matumizi ya teknolojia ya nyuklia, Serikali inalenga kuongeza idadi ya wabobezi wa fani hiyo.

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inafanya mapitio ya Sera ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia yanayolenga kuiboresha na kuihuisha kuwa Sera ya Taifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu.

Prof. Adolf Mkenda
,UjuzinaUbunifu

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inafanya mapitio ya Sera ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia yanayolenga kuiboresha na kuihuisha kuwa Sera ya Taifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu. Prof. Adolf Mkenda #KilelechaMaadhimishoyaKitaifayaElimu,UjuzinaUbunifu
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

Wizara imeanza kutoa elimu ya mkondo wa amali katika shule za Sekondari 96 nchini (umma na binafsi). Aidha, Serikali iko mbioni kujenga shule za Amali Ufundi 100 ambapo 26 kati ya hizo zinatarajiwa kukamilika na kuanza kudahili wanafunzi katika dirisha la mwaka 2025

Prof. Mkenda

Wizara imeanza kutoa elimu ya mkondo wa amali katika shule za Sekondari 96 nchini (umma na binafsi). Aidha, Serikali iko mbioni kujenga shule za Amali Ufundi 100 ambapo 26 kati ya hizo zinatarajiwa kukamilika na kuanza kudahili wanafunzi katika dirisha la mwaka 2025 Prof. Mkenda
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo katika Kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu 2024.

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), Bi. Elke Wisch katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu 2024.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akisalimiana na Viongozi mbalimbali baada ya kuwasili jijini Tanga kuhitimisha Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu 2024 yanayofanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Popatlal.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa awasili jijini Tanga kushiriki Kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu 2024 yanayofanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Popatlal.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Michezo na Utamaduni Mhe. Husna Sekiboko na Viongozi wengine tayari kumpokea Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Majaliwa kushiriki Kilele cha Maadhimisho Elimu, Ujuzi na Ubunifu.