Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profileg
Wizara ya Elimu Tanzania

@wizara_elimuTz

This is an Official page for the Ministry of Education, Science and Technology.

ID:707131141090885632

linkhttp://www.moe.go.tz calendar_today08-03-2016 09:09:36

1,6K Tweets

75,7K Followers

62 Following

Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

Ni matumaini yangu kuwa kupitia mkutano huu mtapata muda wa kujadili mambo makuu katika mtaala mpya.
Lakini muhimu zaidi kukubali mabadiliko na kujiandaa kwa utekelezaji.

. Carolyne Nombo
-Dar es Salaam

Ni matumaini yangu kuwa kupitia mkutano huu mtapata muda wa kujadili mambo makuu katika mtaala mpya. Lakini muhimu zaidi kukubali mabadiliko na kujiandaa kwa utekelezaji. #Prof. Carolyne Nombo #MkutanowaWadauwaElimu-Dar es Salaam
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

Kwa upande wa TESP, jumla ya dola milioni 53 za Canada zimetolewa kwa ajili ya mradi kwa niaba ya Serikali ya Tanzania,niwahakikishie ushirikiano wa kiwango cha juu kwa malengo ya kuimarisha mahusiano katika sekta na taifa.

. Carolyne Nombo
WadauwaElimu - DSM

Kwa upande wa TESP, jumla ya dola milioni 53 za Canada zimetolewa kwa ajili ya mradi kwa niaba ya Serikali ya Tanzania,niwahakikishie ushirikiano wa kiwango cha juu kwa malengo ya kuimarisha mahusiano katika sekta na taifa. #Prof. Carolyne Nombo #Mkutanowa WadauwaElimu - DSM
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

Kwa kuwa wadau wote wenye dhamana ya kuandaa walimu wapo hapa ni matumaini yangu kupitia mijadala itakayofanyika, mtakuja na mawazo ya kuoanisha utekelezaji wa mafunzo ya elimu ya ualimu katika ngazi zote.

. Carolyne Nombo
-Dar es Salaam

Kwa kuwa wadau wote wenye dhamana ya kuandaa walimu wapo hapa ni matumaini yangu kupitia mijadala itakayofanyika, mtakuja na mawazo ya kuoanisha utekelezaji wa mafunzo ya elimu ya ualimu katika ngazi zote. #Prof. Carolyne Nombo #MkutanowaWadauwaElimu-Dar es Salaam
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Rais Samia ameifanya elimu kuwa kipaumbele kwa kufanya uwekezaji mkubwa katika elimu ikijumuisha utoaji wa elimu bure kuanzia elimu ya awali hadi elimu ya sekondari ngazi ya juu, kuhakikisha upatikani wa elimu ya msingi na Sekondari kwa wanafunzi wote

. Carolyne Nombo

Mhe. Rais Samia ameifanya elimu kuwa kipaumbele kwa kufanya uwekezaji mkubwa katika elimu ikijumuisha utoaji wa elimu bure kuanzia elimu ya awali hadi elimu ya sekondari ngazi ya juu, kuhakikisha upatikani wa elimu ya msingi na Sekondari kwa wanafunzi wote #Prof. Carolyne Nombo
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

Serikali inaendelea kufanya mabadiliko makubwa katika Elimu, ikiwa ni pamoja na mapitio ya Sera na Mitaala ya Elimu. Mathalan, mfumo wa mitaala ya elimu ya ualimu umeandaliwa kwa mafanikio na utekelezaji umepangwa kuanza Januari 2024.

. Carolyne Nombo

Serikali inaendelea kufanya mabadiliko makubwa katika Elimu, ikiwa ni pamoja na mapitio ya Sera na Mitaala ya Elimu. Mathalan, mfumo wa mitaala ya elimu ya ualimu umeandaliwa kwa mafanikio na utekelezaji umepangwa kuanza Januari 2024. #Prof. Carolyne Nombo #MkutanowaWadauwaElimu
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

'Tatizo la ajira ni changamoto ya duniani kote, njia pekee ni kuwaandaa vijana wetu wawe na uwezo wa kutafuta fursa za ajira ndani ya nchi na duniani'

.Adolf.Mkenda
-NIT

'Tatizo la ajira ni changamoto ya duniani kote, njia pekee ni kuwaandaa vijana wetu wawe na uwezo wa kutafuta fursa za ajira ndani ya nchi na duniani' #Prof.Adolf.Mkenda #HaflaUzinduziwaUfadhilinaJiwelamsingi-NIT
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

'Serikali inawekeza katika Usafirishaji hasa wa Anga na marubani tulionao 60% wanatoka nje, sasa ni jukumu la serikali kuhakikisha tunasomeaha vijana wetu urubani ili wafanye kazi kwenye ndege zetu na zile za nje'

.Adolf.Mkenda
-NIT

'Serikali inawekeza katika Usafirishaji hasa wa Anga na marubani tulionao 60% wanatoka nje, sasa ni jukumu la serikali kuhakikisha tunasomeaha vijana wetu urubani ili wafanye kazi kwenye ndege zetu na zile za nje' #Prof.Adolf.Mkenda #HaflaUzinduziwaUfadhilinaJiwelamsingi-NIT
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

'Kwenye mageuzi ya elimu tunarudisha mafunzo ya amali ambayo yatamwezesha kijana kusoma mpaka degree au PHD kupitia Mkondo wa Mafunzo ya Amali'

.Adolf.Mkenda
-NIT

'Kwenye mageuzi ya elimu tunarudisha mafunzo ya amali ambayo yatamwezesha kijana kusoma mpaka degree au PHD kupitia Mkondo wa Mafunzo ya Amali' #Prof.Adolf.Mkenda #HaflaUzinduziwaUfadhilinaJiwelamsingi-NIT
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

'Mafunzo ya Diploma ni muhimu sana, vyuo viliacha kutoa Diploma kwa kuwa hazikuwa na mikopo, sasa Serikali imeanza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa Diploma ili kuviwezesha vyuo vingi kutoa mafunzo haya'

.Adolf.Mkenda
-NIT

'Mafunzo ya Diploma ni muhimu sana, vyuo viliacha kutoa Diploma kwa kuwa hazikuwa na mikopo, sasa Serikali imeanza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa Diploma ili kuviwezesha vyuo vingi kutoa mafunzo haya' #Prof.Adolf.Mkenda #HaflaUzinduziwaUfadhilinaJiwelamsingi-NIT
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

'Napenda kutoa salamu za shukrani kutoka Serikali ya Tanzania kwa Serikali ya Canada kwa kutoa fedha kwa ajili ya Mradi wa Kukuza Ujuzi '

. Omari Kipanga
- Dar es Salaam

'Napenda kutoa salamu za shukrani kutoka Serikali ya Tanzania kwa Serikali ya Canada kwa kutoa fedha kwa ajili ya Mradi wa Kukuza Ujuzi ' #Mhe. Omari Kipanga #MakabidhianoVifaavyaTEHAMA - Dar es Salaam
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

'Wizara itahakikisha inatumia kikamilifu msaada huu kujenga uwezo wa vyuo 12 vya FDCs kwa kuwekeza katika kukuza ujuzi kwa wanawake, vijana na wasichana ili wajikwamue kiuchumi '

. Omari Kipanga
- Dar es Salaam

'Wizara itahakikisha inatumia kikamilifu msaada huu kujenga uwezo wa vyuo 12 vya FDCs kwa kuwekeza katika kukuza ujuzi kwa wanawake, vijana na wasichana ili wajikwamue kiuchumi ' #Mhe. Omari Kipanga #MakabidhianoVifaavyaTEHAMA - Dar es Salaam
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

'Matokeo ya shughuli za Mradi wa ESP yatakuwa endelevu na kuendelezwa katika vyuo 42 ambavyo havikubahatika kuwa wanufaika '

. Omari Kipanga
- Dar es Salaam

'Matokeo ya shughuli za Mradi wa ESP yatakuwa endelevu na kuendelezwa katika vyuo 42 ambavyo havikubahatika kuwa wanufaika ' #Mhe. Omari Kipanga #MakabidhianoVifaavyaTEHAMA - Dar es Salaam
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

'Mradi umejikita zaidi katika kuboresha ushiriki wa wanawake na wasichana, kujitambua, kufahamu haki zao, kupata ujuzi na kujiinua kiuchumi pamoja ili kuchangia katika uchumi wa nchi'

. Carolyne Nombo - Katibu Mkuu
- Dar es Salaam

'Mradi umejikita zaidi katika kuboresha ushiriki wa wanawake na wasichana, kujitambua, kufahamu haki zao, kupata ujuzi na kujiinua kiuchumi pamoja ili kuchangia katika uchumi wa nchi' #Prof. Carolyne Nombo - Katibu Mkuu #MakabidhianoVifaavyaTEHAMA - Dar es Salaam
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

'Wizara kupitia Mradi wa ESP tulikubaliana kuingiza katika mpango kazi uandaaji wa Mwongozo wa Ulinzi na Usalama kwa Vyuo vyote vya FDCs, Ufundi Stadi na Ualimu'

. Carolyne Nombo - Katibu Mkuu
- Dar es Salaam

'Wizara kupitia Mradi wa ESP tulikubaliana kuingiza katika mpango kazi uandaaji wa Mwongozo wa Ulinzi na Usalama kwa Vyuo vyote vya FDCs, Ufundi Stadi na Ualimu' #Prof. Carolyne Nombo - Katibu Mkuu #MakabidhianoVifaavyaTEHAMA - Dar es Salaam
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

'Tuzo ya Uandishi Bunifu inawatambua kitaifa waandishi mahiri wa uandishi Bunifu, inakuza lugha ya kiswahili, kukuza utamaduni wa kusoma na inaongeza hifadhi ya vitabu katika maktaba za Taifa, Mikoa, Wilaya na Shule'

. Carolyne Nombo
- Dar es Salaam

'Tuzo ya Uandishi Bunifu inawatambua kitaifa waandishi mahiri wa uandishi Bunifu, inakuza lugha ya kiswahili, kukuza utamaduni wa kusoma na inaongeza hifadhi ya vitabu katika maktaba za Taifa, Mikoa, Wilaya na Shule' #Prof. Carolyne Nombo #UzinduziKitabuchaPeponi - Dar es Salaam
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

'wizara imepanga kupanua wigo na kuongeza ushindani katika nyanja mbalimbali ikiwemo uandishi wa vitabu vya watoto ili kuongeza hadithi zilizoandikwa na kuzingatia Mila, Desturi na tamaduni za Mtanzania'

. Carolyne Nombo
Peponi - Dar es Salaam

'wizara imepanga kupanua wigo na kuongeza ushindani katika nyanja mbalimbali ikiwemo uandishi wa vitabu vya watoto ili kuongeza hadithi zilizoandikwa na kuzingatia Mila, Desturi na tamaduni za Mtanzania' #Prof. Carolyne Nombo #UzinduziKitabucha Peponi - Dar es Salaam
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

'Kuanzishwa kwa Tuzo ya Uandishi Bunifu imeleta hamasa na kuwa chachu ya kuibua vipaji vya uandishi miongoni mwa watanzania na mwamko kwa waandishi na wachapishaji'

. Carolyne Nombo
Peponi - Dar es Salaam

'Kuanzishwa kwa Tuzo ya Uandishi Bunifu imeleta hamasa na kuwa chachu ya kuibua vipaji vya uandishi miongoni mwa watanzania na mwamko kwa waandishi na wachapishaji' #Prof. Carolyne Nombo #UzinduziKitabucha Peponi - Dar es Salaam
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

'Katika kutambua juhudi za waandishi bunifu, Wizara katika bajeti ya Mwaka wa
Fedha 2022/23 ilianzisha Tuzo ya Waandishi Bunifu ili kukuza uandishi bunifu, usomaji na kuimarisha sekta ya uchapaji'

. Carolyne Nombo
Peponi - Dar es Salaam

'Katika kutambua juhudi za waandishi bunifu, Wizara katika bajeti ya Mwaka wa Fedha 2022/23 ilianzisha Tuzo ya Waandishi Bunifu ili kukuza uandishi bunifu, usomaji na kuimarisha sekta ya uchapaji' #Prof. Carolyne Nombo #UzinduziKitabucha Peponi - Dar es Salaam
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

Tumefungua dirisha la kuomba Mikopo kwa Wanafunzi wa ngazi ya Stashahada. Naomba vijana mchangamkie wangalieni kwenye tovuti ya Bodi ya Mikopo na Wizara mfuate taratibu za kuomba.

Prof. Mkenda
-Igunga

Tumefungua dirisha la kuomba Mikopo kwa Wanafunzi wa ngazi ya Stashahada. Naomba vijana mchangamkie wangalieni kwenye tovuti ya Bodi ya Mikopo na Wizara mfuate taratibu za kuomba. Prof. Mkenda #UwekajijiwelaMsingiUjenziChuoVeta-Igunga
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

Tumetekeleza ahadi ya Rais kwa Watanzania, tumefanya Mapitio ya Sera na Mitaala ya elimu ili kuhakikisha elimu inayotolewa inakuwa bora inajenga ujuzi na kukidhi matakwa ya sasa na baadae kitaifa kikanda na kimataifa.

Prof. Mkenda

Tumetekeleza ahadi ya Rais kwa Watanzania, tumefanya Mapitio ya Sera na Mitaala ya elimu ili kuhakikisha elimu inayotolewa inakuwa bora inajenga ujuzi na kukidhi matakwa ya sasa na baadae kitaifa kikanda na kimataifa. Prof. Mkenda #uwekajijiwelaMsingiUjenziwaChuoVetaIgunga
account_circle