Barakael Nicholaus (@barakaeln) 's Twitter Profile
Barakael Nicholaus

@barakaeln

Advocate, Notary Public & Commissioner for Oaths; Corporate, Labour, Tax, Real Estate, Investment & Insurance Law Expert. 0789443020

ID: 851376403

linkhttp://www.gladen.co.tz calendar_today28-09-2012 16:40:03

6,6K Tweet

1,1K Followers

3,3K Following

Barakael Nicholaus (@barakaeln) 's Twitter Profile Photo

Mwenyenzi Mungu muumba wa mbingu na nchi nakuomba utujalie wiki njema yenye Neema na Baraka . Tujalie mkate wetu wa Kila siku, tujalie Kipato halali tuweze kumudu gharama za maisha yetu. Waongoze watoto wetu na kuwalinda. Ijalie nchi yetu amani. Tupe nguvu tuweze kukutumikia.

KAPETO๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@kapeto98) 's Twitter Profile Photo

Ni kweli tunaishi mara moja lakini hiyo mara moja tuishi kwa kutenda mambo mema na yenye mfano wa Kuigwa kwa Jamii ambayo tutaiyacha Hapaa Duniani..!๐Ÿ™

Pasco Nkololo (@nkololotz) 's Twitter Profile Photo

Ili apate matibabu ya TZS 90M inatakiwa Tweeps efu tisini wachange buku buku. Hii kiuzoefu sio rahisi kwa sababu tunajuana. She has been on bed for years, amechangisha for years ameishia kupata 3M. Tumsaidie RTs hadi Waziri wa Afya aipate, Mama Samia Suluhu aipate etc. Huyu

Ili apate matibabu ya TZS 90M inatakiwa Tweeps efu tisini wachange buku buku. Hii kiuzoefu sio rahisi kwa sababu tunajuana.

She has been on bed for years, amechangisha for years ameishia kupata 3M. Tumsaidie RTs hadi Waziri wa Afya aipate, Mama <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> aipate etc.

Huyu
Living Christian (@livechristian1) 's Twitter Profile Photo

JOSEPH WAITED 15 YEARS ABRAHAM WAITED 25 YEARS MOSES WAITED 40 YEARS JESUS WAITED 30 YEARS IF GOD IS MAKING YOU WAIT, YOU'RE IN GOOD COMPANY.

แฆ”โ€‹๊ชฎโ€‹๊ชถโ€‹๊ชถโ€‹๊ช— โ„ข (@dollxyouu) 's Twitter Profile Photo

&& Before I start my morning, I just wanna say thank you God for all I have, all Iโ€™ve lost, and all thatโ€™s on its way๐Ÿฅฐ๐Ÿ˜Œ๐Ÿคž๐Ÿฝ. Without you I am nothing. Please continue making changes that I canโ€™t always see, I trust you and your path for me. Amen๐Ÿ—ฃ๏ธโค๏ธ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏ

Barakael Nicholaus (@barakaeln) 's Twitter Profile Photo

Good morning ๐ŸŒž. A new day has come and we are blessed to be chosen and witness it's well being. May this week be healthier to you. May all your ultimate plan become reality.

Muthoni Njakwe (@muthoni_njakwe) 's Twitter Profile Photo

Dear God, Thank you for waking us up and for the gift of a new week. Lord, we place our hope in you, for you are God eternal. Please favor and bless us. Protect us from harm and fill our hearts with gratitude. May this week be one of growth and kindness. In Jesus' name, we pray

Zee La Nyeti ๐• (@originozee17) 's Twitter Profile Photo

Kuwasema Single Mama Kwamba Hawatakiwi Kuwa Na Wapenzi Ni Ushamba Na Ujinga Hata Wao Ni Binaadamu Kuzaa Sio Kosa Imetokea Tu Halafu Single Mama Wengi Wanayajua Maisha Asilimia Kubwa Ya Single Mama Tunaosababisha Ni Sisi Wanaume Tujifunze Kuwaheshimu Mimi Nawapa Respect Sana.๐Ÿ™

Kariuki (@itsbriankariuki) 's Twitter Profile Photo

Asante Mungu kwa upendo wako juu yetu umetupa kibali cha kuiona siku nyingine tukiwa na afya njema na furaha tele, twaomba utupe hekima ya kuishi na kila kiumbe chenye uhai hapa Duniani especially walimwengu Lakini pia uwape faraja wale wote wenye changamoto mbalimbali ๐Ÿ™๐Ÿ™