Hilmi Hilal (@hilmihilal88) 's Twitter Profile
Hilmi Hilal

@hilmihilal88

An activist: I fight for; The Sovereignity of Zanzibar & Tanganyika. Rights, Justice & Democracy. #ProudlyZanzibari❀ +259Mzururaji✈ Dec 8πŸŽ‚

ID: 4727850801

linkhttps://www.youtube.com/channel/UCWgo3EGRo8HOrmu8To-iy4g calendar_today06-01-2016 20:27:40

8,8K Tweet

21,21K Followers

400 Following

Shekh Ponda Issa Ponda (@sheikhponda) 's Twitter Profile Photo

Tumesoma Rambirambi za Rais Samia kwa mauwaji ya kiongozi wa CHADEMA. Lakini Raia ambao si wanasiasa, waliotekwa na kuuwawa ni wengi mno. Hawa nao vipi? Mheshiniwa Rais Taifa linahitaji Tume ya Kijaji kuchunguza utekaji na mauwaji yote.

Tumesoma Rambirambi za Rais Samia kwa mauwaji ya kiongozi wa CHADEMA. 

Lakini Raia ambao si wanasiasa, waliotekwa na kuuwawa ni wengi mno. Hawa nao vipi? 

Mheshiniwa Rais Taifa linahitaji Tume ya Kijaji kuchunguza utekaji na mauwaji yote.
Hilmi Hilal (@hilmihilal88) 's Twitter Profile Photo

Hamza alikuwa mbele ya muda alitambua hakuna namna myengine ya kupigania haki yake. Bahati mbaya jamii ilichelewa kulifahamu somo.

Hamza alikuwa mbele ya muda alitambua hakuna namna myengine ya kupigania haki yake. Bahati mbaya jamii ilichelewa kulifahamu somo.
Joseph Mbilinyi (@therealjongwe) 's Twitter Profile Photo

Tanga leo: Tumempumzisha salama Mzee wetu Ally Mohamed Kibao, ambaye alitekwa na kuuawa na askari kwenye operesheni ya utekaji wa raia inayoendelea Tanzania😭😭

Tanga leo: Tumempumzisha salama Mzee wetu Ally Mohamed Kibao, ambaye alitekwa na kuuawa na askari kwenye operesheni ya utekaji wa raia  inayoendelea Tanzania😭😭
Ananilea Nkya (PhD) (@ananilean) 's Twitter Profile Photo

UAMUZI WA MAHAKAMA KUU Tunamshukuru Mungu Mahakama Kuu DSM IMERUHUSU raia wa Tanzania kufungua shauri la kupinga Wizara ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) kusimamia uchaguzi wa wenyeviti wa Vitongoji, vijiji na Mitaa .

UAMUZI WA MAHAKAMA KUU
Tunamshukuru Mungu Mahakama Kuu DSM  IMERUHUSU raia wa Tanzania kufungua shauri la kupinga Wizara ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) kusimamia uchaguzi wa wenyeviti wa Vitongoji, vijiji na Mitaa .
fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Wapinzani wanatekwa. Watu wanalalamika. Rais anasema β€œAcheni Drama”. Wapinzani wanatekwa. Watu wanalalamika. Rais anasema β€œTanpol wanafanya kazi nzuri” Wapinzani wanatekwa na kuuwawa. Watu wanalamika Rais ana-tweet na kutuma pesa za rambirambi! Watu wana HASIRA kweli! Careful!

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Tumemzika Mzee Ali Mohamed Kibao. Namna bora kabisa ya kumpa heshima ni kuhakikisha kuwa matendo ya kinyama ya utekaji na mauaji yanakomeshwa. Tume huru ya uchunguzi ya Kijaji (Judicial Commission of Inquiry) ni njia sahihi ya kufikia ukomeshaji huu

Tumemzika Mzee Ali Mohamed Kibao. Namna bora kabisa ya kumpa heshima ni kuhakikisha kuwa matendo ya kinyama ya utekaji na mauaji yanakomeshwa. Tume huru ya uchunguzi ya Kijaji (Judicial Commission of Inquiry) ni njia sahihi ya kufikia ukomeshaji huu
Associate CPA Catherine Ruge (Msubhati) (@catherineruge) 's Twitter Profile Photo

We ni mnafiki sana. Sina hakika kama uliingia labor. Ulikataa bunge lisijadili swala la utekaji na ukasema huna taarifa kama kuna utekaji, so baada ya kuona tweet ya Rais ndo na wewe unatweet kwa unafiki. Huna conscious Tulia. Wewe ni mnafiki in capital lettets, bora ungepiga

fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Tulia acha UNAFIK! You are truly a misguided individual who has no shame. Wewe ulikataza MJADALA wa Utekaji kwenye BUNGE LETU . Umeliteka Bunge ukalifanya lako. These are the consequences of your actions. Live with them in SHAME!

fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Kila nikisoma ujumbe wa Tulia mwili unanisisimuka. Eti β€œNachukia kifo!” Ally Kibao KAULIWA! Huyu MNAFIK Waheed Tulia alikataza MJADALA kuhusu utekaji Bungeni kama vile Bunge letu ni la BABA AKE! Watu wa Mbeya nakuombeni msirejesha Tulia Bungeni. Maana haelewi WAJIB wake!

Lady JayDee (@jidejaydee) 's Twitter Profile Photo

Ukiongea mnafiki, Ukikaa kimya mnafiki. Movement hazina nguvu sababu wanaodhani wamezianzisha wana haki zaidi. Kuna ubinafsi hadi kwenye matatizo? Mtu anataka akianza kuongea wengine wanyamaze? Hapa ndio tunapofeli. #Ubinafsi. Tukaneni mkipenda 😏😏

Hilmi Hilal (@hilmihilal88) 's Twitter Profile Photo

Tamko la Pamoja la Mabalozi wa Umoja wa Ulaya, Ubalozi wa Uingereza, Canada, Norway na Uswisi kuhusu Matukio ya Hivi Karibuni Nchini Tanzania. NB: Kama ambavyo walifanya wakati wa Magufuli na sasa wamerudi tena baada ya kuona hali inazidi kuwa mbaya. #MamaAnaupigaMwingi

Tamko la Pamoja la Mabalozi wa Umoja wa Ulaya, Ubalozi wa Uingereza, Canada, Norway na Uswisi kuhusu Matukio ya Hivi Karibuni Nchini Tanzania. 

NB: Kama ambavyo walifanya wakati wa Magufuli na sasa wamerudi tena baada ya kuona hali inazidi kuwa mbaya. 

#MamaAnaupigaMwingi
Hilmi Hilal (@hilmihilal88) 's Twitter Profile Photo

UKIWA NA MTOTO MTIHANI USIPOKUWA NA MTOTO MTIHANI Ushishughulishwe na hao washenzi, mtoto hapatikani kwa juhudi zetu (binaadamu) ni KADAR ya Allah. Allah kasema wapo atakao wajaalia kupata watoto wakiume pekee, wapo atakao wajaalia watoto wakike pekee, wapo atakao wajaalia

#Naythetrueboy (@naythetrueboy) 's Twitter Profile Photo

Muda unazidi Kwenda Hatujajua Alipo Soka Na Wenzake.Napata Maumivu kila nikiamka nikiangalia mtandaoni labda nitakuta taarifa nzuri za Vijana Wenzetu kupatikana lkn wapi😭 Ben Saa Nane Ilikua ivi ivi kama utani mpaka leo hatujui alipo.Please tusikubali litokee kwaSoka

Muda unazidi Kwenda Hatujajua Alipo Soka Na Wenzake.Napata Maumivu kila nikiamka nikiangalia mtandaoni labda nitakuta taarifa nzuri za Vijana Wenzetu kupatikana lkn wapi😭 
Ben Saa Nane Ilikua ivi ivi kama utani mpaka leo hatujui alipo.Please tusikubali litokee kwaSoka