#Naythetrueboy(@naythetrueboy) 's Twitter Profileg
#Naythetrueboy

@naythetrueboy

Tanzanian Musician |Rapper n singer|actor n writer. Contact:[email protected]| click link To Stream Mshua Audio Ft Linah Sanga

ID:1640257956

linkhttps://youtu.be/c1We8DkJiIM?si=W_0NT2DpXNgZUwY9 calendar_today02-08-2013 11:52:54

1,4K Tweets

19,9K Followers

1,0K Following

Follow People
BecaTZA(@BecaTZA) 's Twitter Profile Photo

Familia ya Mwanafunzi wa awali Shule ya Mount Moriah iliyopo Mbezi Kibanda cha Mkaa Jijini Dar es salaam ambaye anadaiwa kulawitiwa na Mwalimu wake Emmanuel Mbigili imewaomba Wananchi waendelee kupaza sauti ili Serikali iharakishe mchakato wa kumfikisha Mahakamani Mwalimu huyo na

account_circle
MAK Mringo (PhD)(@SnrDirector) 's Twitter Profile Photo

Hoja FIKIRISHI. Huyu mbunge anaishi karne ijayo na watu wa karne iliyopita. Sikiliza mara 2/3 kisha jadili kwa hoja

account_circle
#Naythetrueboy(@naythetrueboy) 's Twitter Profile Photo

Kiukweli Mpira Wa Leo Siwezi Kuangalia Maana Naweza Kuzimia Na Kuna Dalili Kubwa Nikiangalia Naweza Dedi Kwa Puresha๐Ÿฅน๐Ÿ™†๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ. Yani Man City Apoteze Cjui Labda๐Ÿฅน. Nazima Cm kabisa Sitaki Kujua Chochote๐Ÿƒ

account_circle
John Heche(@HecheJohn) 's Twitter Profile Photo

Mungu wetu ni mwema na ni mkuu katika yote.

Mimi pia nitakuchangia mh Tundu Antiphas Lissu ili uweze kupata gari nyingine kwaajili ya mapambano haya.

Nakubaliana na wote waliotaka hili gari libaki kwenye makumbusho.

Ni wajibu wetu kuhakikisha tunashiriki na kukamilisha michango hiyo.

account_circle
Joel Msuya(@JoelHamisMsuya) 's Twitter Profile Photo

Wanaharakati wa Grounders_Grounders tunalitaka jeshi la polis Police Force TZ kutueleza ni wapi alipo Mwanaharakati Alphonce Lusako alias Emekha Ikhe
1. Mtueleze yupo kituo gani cha polisi
2. Apate haki zake zote za msingi na mtu yeyote asidhubutu kumdhuru
3. Kumkamata mtu kwa kificho bila taratibu ni utekaji.

Wanaharakati wa @Grounders_ tunalitaka jeshi la polis @tanpol kutueleza ni wapi alipo Mwanaharakati @alphonce_lusako 1. Mtueleze yupo kituo gani cha polisi 2. Apate haki zake zote za msingi na mtu yeyote asidhubutu kumdhuru 3. Kumkamata mtu kwa kificho bila taratibu ni utekaji.
account_circle
Fortunatus Buyobe(@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Hili chupa linakuja kuleta mapinduzi makubwa.

Sikujua kama mwanangu Pierre Kibabu ni Director mzuri hivi.

Adam Juma naye kama karudi kuchukua maua yake kibabe

Graphics, Creativity, Direction, Actors, Production

๐Ÿค™

account_circle