EU in Tanzania (@euintz) 's Twitter Profile
EU in Tanzania

@euintz

Official account representing the European Union Delegation to Tanzania and the EAC. We believe in partnership. RTs are not endorsement.

ID: 2375083760

linkhttps://eeas.europa.eu/delegations/tanzania_en calendar_today06-03-2014 09:16:43

9,9K Tweet

41,41K Takipçi

1,1K Takip Edilen

EU in Tanzania (@euintz) 's Twitter Profile Photo

Tunamtambulisha Marc Stalmans, Mkuu wetu mpya wa Ushirikiano. Marc amejiunga nasi kutoka European Commission, ambako awali alihudumu kama mratibu wa kanda ya Pembe ya Afrika. Anafurahi kuwa nasi na yuko tayari kuchangia malengo ya Umoja wa Ulaya na Tanzania🇪🇺🇹🇿 Karibu Tanzania!

Tunamtambulisha Marc Stalmans, Mkuu wetu mpya wa Ushirikiano.

Marc amejiunga nasi kutoka <a href="/EU_Commission/">European Commission</a>, ambako awali alihudumu kama mratibu wa kanda ya Pembe ya Afrika.

Anafurahi kuwa nasi na yuko tayari kuchangia malengo ya Umoja wa Ulaya na Tanzania🇪🇺🇹🇿

Karibu Tanzania!