Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga(@ezekiel_kamwaga) 's Twitter Profileg
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga

@ezekiel_kamwaga

Editor at Azam Media. Founder @GazetilaDunia. Host a Podcast #EzekielKamwagaShow. I analyze African Politics. Researcher. @soas Alumni

ID:1241782065223344128

calendar_today22-03-2020 17:42:19

9,9K Tweets

28,5K Followers

671 Following

Kenny Mmari Snr.(@KennedyMmari) 's Twitter Profile Photo

Nakubali hili. Ni muhimu kukawa na mijadala kuhusu masuala magumu, matata na mtambuka (contentious and cross-cutting issues) kwa sababu watu wana mawazo lakini utamaduni wa mijadala unakufa.

Kukosekana mijadala ni dalili ya jamii inayogua na kufa (a sick and dying society)

account_circle
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga(@ezekiel_kamwaga) 's Twitter Profile Photo

Jambo la kwanza lilikuwa kuongeza export. Kilio kilikuwa tuna ng’ombe wengi lakini hatuuzi vya kutosha. Naamini quality imekua. Saudia walikataa nyama yetu kwa miaka 20 lakini sasa wameikubali. Kuna vigezo tunazidi kufikia. Umewahi kuonja nyama za kwenye ranchi? Laini hatari😂

account_circle
Rafiki fresh(@FreshRafiki) 's Twitter Profile Photo

Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga Abdalla Hamis Ulega Kitila Mkumbo (PhD) Mifugo na Uvuvi Mifugo TZ Nimeona hiyo tweet. Inatia faraja sana. Soko la ndani lipo ila changamoto za kikodi na usafirishaji ni tatizo kubwa. Kuna utitiri wa kodi kwenye biashara ya mifugo.

Tuimarishe mifumo ya kikodi na usafirishaji ili tunufaike na mifugo zaidi kwa soko la ndani na nje.

@ezekiel_kamwaga @AbdallahKUlega @kitilam @UvuviNa @MifugoTz Nimeona hiyo tweet. Inatia faraja sana. Soko la ndani lipo ila changamoto za kikodi na usafirishaji ni tatizo kubwa. Kuna utitiri wa kodi kwenye biashara ya mifugo. Tuimarishe mifumo ya kikodi na usafirishaji ili tunufaike na mifugo zaidi kwa soko la ndani na nje.
account_circle
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga(@ezekiel_kamwaga) 's Twitter Profile Photo

Tanzania sasa inazidiwa na Afrika Kusini tu kwa kuuza nyama nje ya nchi. Tumewapita Ethiopia. Mwendo mzuri. Sasa tunaweza kujipanga kuwasogelea zaidi Afrika Kusini. ⁦Abdalla Hamis Ulega⁩ ⁦Kitila Mkumbo (PhD)⁩ ⁦Mifugo na Uvuvi⁩ ⁦Mifugo TZ

Tanzania sasa inazidiwa na Afrika Kusini tu kwa kuuza nyama nje ya nchi. Tumewapita Ethiopia. Mwendo mzuri. Sasa tunaweza kujipanga kuwasogelea zaidi Afrika Kusini. ⁦@AbdallahKUlega⁩ ⁦@kitilam⁩ ⁦@UvuviNa⁩ ⁦@MifugoTz⁩
account_circle
January Makamba(@JMakamba) 's Twitter Profile Photo

Met Cuba’s Ambassador to Tanzania, H.E. Yordenis Vera. The history of our relations is long and cherished. We’ll strengthen cooperation in medicine, education and agriculture. Tanzania stands in solidarity with Cuban people against sanctions crippling their welfare and progress.

Met Cuba’s Ambassador to Tanzania, H.E. Yordenis Vera. The history of our relations is long and cherished. We’ll strengthen cooperation in medicine, education and agriculture. Tanzania stands in solidarity with Cuban people against sanctions crippling their welfare and progress.
account_circle
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga(@ezekiel_kamwaga) 's Twitter Profile Photo

Kama mna mpango wa kujenga Kanisa, usipate taabu kupata Mwenyekiti wa Kamati, tafuta tu muumini Mchaga. Mambo yatakwenda vizuri😂

account_circle
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga(@ezekiel_kamwaga) 's Twitter Profile Photo

Msaada tutani

Naomba mtu yeyote mwenye mawasiliano ya Mtanzania au mtu anayezungumza lugha ya Kiswahili anayeishi Msumbiji. Inbox

account_circle
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga(@ezekiel_kamwaga) 's Twitter Profile Photo

Dar leo saba usiku utadhani saa nne usiku. Watu wameangalia sana hizi mechi mbili. Itabidi tuanze kuweka takwimu kujua ni watu wangapi huwa wanaangalia mechi namna hii.

Tuhamie rekodi za waliotazama mechi kupitia luninga mbali na zile waliohudhuria mechi uwanjani

account_circle
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga(@ezekiel_kamwaga) 's Twitter Profile Photo

Huyu kijana anaitwa ⁦Adam Anthony⁩. Mwaka mmoja na ushee uliopita alikuwa anakula shule London School of Economics (LSE). Sasa amerejea amepewa nafasi ya kuongoza ⁦HakiRasilimali⁩. Wanapambana kuona TZ inafaidika na utajiri wake wa madini, gesi na mafuta. Happy for him

Huyu kijana anaitwa ⁦@adamthony⁩. Mwaka mmoja na ushee uliopita alikuwa anakula shule London School of Economics (LSE). Sasa amerejea amepewa nafasi ya kuongoza ⁦@HakiRasilimali⁩. Wanapambana kuona TZ inafaidika na utajiri wake wa madini, gesi na mafuta. Happy for him
account_circle