It's MalekoGJ. (@goodluckmalekoj) 's Twitter Profile
It's MalekoGJ.

@goodluckmalekoj

Tech communicator |Content crafter & Negotiation wiz |Legal & history buff
Administrator
B.A. History & Poli Sci -UDSM Almn
#Muuzalaptop
#KindnessMatters
✌️❤️☺

ID: 1263204828546830336

linkhttp://wa.me/+255675031229 calendar_today20-05-2020 20:28:17

17,17K Tweet

2,2K Takipçi

4,4K Takip Edilen

It's MalekoGJ. (@goodluckmalekoj) 's Twitter Profile Photo

JE UNAJUA KOMPYUTA YAKO INA SPY CHIP? ➤Yenye Uwezo wa ku access camera na Ata Microphone ya kompyuta yako na ata ikiwa Turned off ➤Naam ni Processor spy Chip Hapa sizungumzii Oparating system ila hapa nazungumzia Moja ya Hardware ambayo ipo kwenye Motherboard nyaani

JE UNAJUA KOMPYUTA YAKO INA SPY CHIP?

➤Yenye Uwezo wa ku access camera na Ata Microphone  ya kompyuta yako na  ata ikiwa Turned off

➤Naam ni Processor spy Chip 
Hapa sizungumzii Oparating system ila hapa  nazungumzia  Moja ya  Hardware ambayo ipo  kwenye Motherboard  nyaani
Thomas J. Kibwana (@thomasjkibwana) 's Twitter Profile Photo

Uzi mzuri sana. Kwenye moja ya makala zangu za nyuma niliwahi kuandika kuwa TISS yetu inahitaji kuwa na branches tofauti moja wapo ikiwa version yetu wenyewe ya GCHQ kama ile ya UK. Vita vya kiintelijensia karne ya 21 vitapiganiwa kwenye cyber space na kwa sisi ambao tunatumia

𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 (@gabyconscious) 's Twitter Profile Photo

Hili ndo tatizo kubwa sana la michongo mingi kwenye platforms nyingi za Freelancing -Geography, Payment Gateways & Sustainability -ndomana me naonaga bora hata mtu ukawa na Social media ama site yako ukashowCase kazi zako

Rahuuuum (@rahmamwita) 's Twitter Profile Photo

Jana 16/07/2024 Makamu Mwenyekiti wa ACTWazalendo Bara, Ndugu Isihaka Mchinjita amefanya mkutano wa hadhara katika Jimbo la Segerea. Mkutano huu ni sehemu ya ziara ya Makamu Mwenyekiti kwenye majimbo ya DSM. shangwe Ayo #Miezi10 #WanachamaMilioni10

Jana 16/07/2024 Makamu Mwenyekiti wa <a href="/ACTwazalendo/">ACTWazalendo</a> Bara, Ndugu <a href="/MchinjitaIR/">Isihaka Mchinjita</a> amefanya mkutano wa hadhara katika Jimbo la Segerea. Mkutano huu ni sehemu ya ziara ya Makamu Mwenyekiti kwenye majimbo ya DSM.
<a href="/ayo_shangwe/">shangwe Ayo</a> 
#Miezi10 #WanachamaMilioni10
Holy (@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Binti aliyepata mimba akiwa shuleni ana nafasi ya kufanya vizuri her_education_foundation wana jambo lao la kuelimisha jamii watafanya uzinduzi 20 September hii jisajili docs.google.com/forms/d/e/1FAI…

Binti aliyepata mimba akiwa shuleni ana nafasi ya kufanya vizuri

<a href="/HerEducationTz/">her_education_foundation</a> wana jambo lao la kuelimisha jamii watafanya uzinduzi 20 September hii jisajili docs.google.com/forms/d/e/1FAI…
It's MalekoGJ. (@goodluckmalekoj) 's Twitter Profile Photo

Kaka Even Magufuli na umwamba wake wotee hakuwai kwendaa mbalii kiasii hiki Matokeo atakayo yapata naamini Atayapendaa ......... Matokeo yake mengii yahoo baada ya 2025 Na Uzuri yeye ndo upenda kwendaa uko