HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile
HabariLeo

@habarileo

Kwa habari za uhakika na kina | Sehemu ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali Tanzania
Tanzania Standard Newspapers (TSN)

ID: 349041397

linkhttp://www.tsn.go.tz calendar_today05-08-2011 12:55:37

59,59K Tweet

167,167K Followers

769 Following

HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

NAMIBIA - Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk Doto Biteko na Waziri wa Nishati wa Ubelgiji, Tinne Van Straeten wamekubaliana kishirikiana katika sekta hiyo hususani matumizi ya nishati safi ya kupikia. Katika kikao cha viongozi hao kilichofanyika Windhoek, Namibia,

NAMIBIA - Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk Doto Biteko na Waziri wa Nishati wa Ubelgiji, Tinne Van Straeten wamekubaliana kishirikiana katika sekta hiyo hususani matumizi ya nishati safi ya kupikia.

Katika kikao cha viongozi hao kilichofanyika Windhoek, Namibia,
HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

DODOMA - Bei ya Mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa imepungua kwa wastani wa asilimia 7.68, asilimia 6.22 na asilimia 6.20 mtawalia, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesema. Taarifa kwa umma iliyochapishwa na Ewura imesema bei kikomo za rejareja

DODOMA - Bei ya Mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa imepungua kwa wastani wa asilimia 7.68, asilimia 6.22 na asilimia 6.20 mtawalia, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesema.

Taarifa kwa umma iliyochapishwa na Ewura imesema bei kikomo za rejareja
HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

CHINA - Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na Rais wa China Xi Jinping katika ukumbi wa The Great Hall of the People kabla ya kuanza mazungumzo jijini Beijing, leo Septemba 4. #HabarileoUPDATES

CHINA - Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na Rais wa China Xi Jinping katika ukumbi wa The Great Hall of the People kabla ya kuanza mazungumzo jijini Beijing, leo Septemba 4.

#HabarileoUPDATES
HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

CHINA - Rais Samia Suluhu Hassan, Rais wa China Xi Jinping na Rais wa Zambia Hakainde Hichilema wameshuhudia uwekaji saini wa hati ya makubaliano ya kuboresha reli ya TAZARA katika ukumbi wa The Great Hall of the People jijini Beijing, leo Septemba 4. #HabarileoUPDATES

CHINA - Rais Samia Suluhu Hassan, Rais wa China Xi Jinping na Rais wa Zambia Hakainde Hichilema wameshuhudia uwekaji saini wa hati ya makubaliano ya kuboresha reli ya TAZARA katika ukumbi wa The Great Hall of the People jijini Beijing, leo Septemba 4.

#HabarileoUPDATES
HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

MANYARA - Majeruhi 9 kati ya 31 waliokuwa wamepokelewa katika hospitali ya mkoa wa Manyara wamepewa rufaa kwenda Hospitali ya Kanda ya Benjamin Mkapa, KCMC na Hospitali ya Mount Meru huku majeruhi wengine 15 wakiruhusiwa kurejea nyumbani. Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya

MANYARA - Majeruhi 9 kati ya 31 waliokuwa wamepokelewa katika hospitali ya mkoa wa Manyara wamepewa rufaa kwenda Hospitali ya Kanda ya Benjamin Mkapa, KCMC na Hospitali ya Mount Meru huku majeruhi wengine 15 wakiruhusiwa kurejea nyumbani.

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya

NAKURU - Watu 10 wanahofiwa kufariki kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea Jumanne katika eneo la Kipsitet, Koguta, kwenye barabara kuu ya Londiani-Muhoroni. Ajali hiyo ilitokea wakati lori lililokuwa limebeba unga lilipogongana na matatu ya abiria 14 kando ya barabara

NAKURU - Watu 10 wanahofiwa kufariki kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea Jumanne katika eneo la Kipsitet, Koguta, kwenye barabara kuu ya Londiani-Muhoroni.

Ajali hiyo ilitokea wakati lori lililokuwa limebeba unga lilipogongana na matatu ya abiria 14 kando ya barabara
HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kujiimarisha kidiplomasia na itaongeza nguvu zaidi ili kuwawezesha Watanzania wengi kupata fursa mbalimbali katika jumuia za kimataifa. Amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imefanikisha

WAZIRI MKUU  Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kujiimarisha kidiplomasia na itaongeza nguvu zaidi ili kuwawezesha Watanzania wengi kupata fursa mbalimbali katika jumuia za kimataifa.
Amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imefanikisha
HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

NIGERIA - Bilionea wa Nigeria Aliko Dangote ambaye anamiliki kiwanda kikubwa zaidi cha kusafisha mafuta barani Afrika, ametangaza kuanza uzalishaji wa petroli akisema kuwa mafuta yake yanaweza kuingia sokoni ndani ya saa 48 zijazo. Dangote alibainisha kuwa bei ya bidhaa hiyo

NIGERIA - Bilionea wa Nigeria Aliko Dangote ambaye anamiliki kiwanda kikubwa zaidi cha kusafisha mafuta barani Afrika, ametangaza kuanza uzalishaji wa petroli akisema kuwa mafuta yake yanaweza kuingia sokoni ndani ya saa 48 zijazo.

Dangote alibainisha kuwa bei ya bidhaa hiyo
HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

OUAGADOUGOU - Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ametaifisha migodi ya dhahabu iliyokuwa ikimilikiwa na kampuni ya Uingereza na kulifanya taifa hilo sasa kuwa na moja ya kampuni kubwa za uchimbaji dhahabu barani Afrika. Burkina Faso imefikia makubaliano ya kutaifisha migodi

OUAGADOUGOU - Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ametaifisha migodi ya dhahabu iliyokuwa ikimilikiwa na kampuni ya Uingereza na kulifanya taifa hilo sasa kuwa na moja ya kampuni kubwa za uchimbaji dhahabu barani Afrika.

Burkina Faso imefikia makubaliano ya kutaifisha migodi
HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

MAREKANI - Kamishna na Polisi Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu (CP) Suzan Kaganda amezungumzia uzoefu wa Tanzania katika kutekeleza mpango wa polisi jamii na namna ambavyo wananchi wanashiriki kuimarisha usalama. Kaganda amesema suala la amani ni jambo ambalo linatakiwa

MAREKANI - Kamishna na Polisi Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu (CP) Suzan Kaganda amezungumzia uzoefu wa Tanzania katika kutekeleza mpango wa polisi jamii na namna ambavyo wananchi wanashiriki kuimarisha usalama.

Kaganda amesema suala la amani ni jambo ambalo linatakiwa
HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

DAR ES SALAAM - Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) Asha Dachi amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna wa Bima katika Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) Dk. Baghayo Saqware ambapo wawili hao wamekubaliana kuendeleza ushirikiano.

BEIJING, China - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ameshiriki na kuhutubia viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika ukumbi wa The Great Hall of the People Jijini Beijing nchini

DODOMA - Wizara ya Katiba na Sheria imezindua kituo cha Huduma kwa Wateja ikilenga kuongeza kasi ya kutatua changamoto za wananchi hasa katika kupata msaada wa sheria na elimu ya masuala ya kisheria. #HabarileoUPDATES

HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

DODOMA - MTU anayehusishwa na tukio la vijana wanne wanaodaiwa kumbaka na kumuingilia kinyume cha maumbile msichana mwenye umri wa miaka 17 amefi kishwa mahakamani. Mshitakiwa huyo aliyetajwa kwa jina la afande Fatma Kigondo alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma

DODOMA - MTU anayehusishwa na tukio la vijana wanne wanaodaiwa kumbaka na kumuingilia kinyume cha maumbile msichana mwenye umri wa miaka 17 amefi kishwa mahakamani.

Mshitakiwa huyo aliyetajwa kwa jina la afande Fatma Kigondo alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma
HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

CHICAGO - Askari wa kike kutoka nchini Tanzania wametumia fursa ya Mafunzo yaliyofanyika nchini Marekani kutangaza Utalii na vivutio vya nyumbani ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan kukuza sekta ya utalii. Akiongea mara baada ya mafunzo hayo