Hancy Machemba (@hancymachemba) 's Twitter Profile
Hancy Machemba

@hancymachemba

Co Director Nasar General Supplies,
Mkulima,
Mfugaji
TANZANIA KWANZA

🏟Team CHELSEA

ID: 481783078

linkhttp://www.nasargeneral.com calendar_today03-02-2012 05:17:29

147,147K Tweet

131,131K Followers

33,33K Following

AutoXpress Tanzania (@autoxpresstz) 's Twitter Profile Photo

Tuko Hapa kwa Ajili Yako—Hata Jumapili! Unahitaji huduma ya haraka au matengenezo ya gari ya dakika za mwisho? Matawi kadhaa ya AutoXpress yako wazi Jumapili ili kukuweka ukiwa kwenye harakati. Tutembelee sisi leo kwa mahitaji yako yote ya magari. auto-xpress.co.tz/branch/

Tuko Hapa kwa Ajili Yako—Hata Jumapili! Unahitaji huduma ya haraka au matengenezo ya gari ya dakika za mwisho? Matawi kadhaa ya AutoXpress yako wazi Jumapili ili kukuweka ukiwa kwenye harakati. Tutembelee sisi leo kwa mahitaji yako yote ya magari. 

auto-xpress.co.tz/branch/
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

CCM ILITELEZA HAPA, IKAANGUKIA HAPA...! Nimemsikiliza Dr.Emmanue Nchimbi kwa zaidi ya mara tano kwa utulivu mkubwa sana. CCM naijua lakini Dr. Emmanuel Nchimbi namfahamu vizuri sana. Binafsi sioni ghilba wala ulaghai nikitazama “demeanour” yake na facial expression yake haina

CCM ILITELEZA HAPA, IKAANGUKIA HAPA...!

Nimemsikiliza Dr.Emmanue Nchimbi kwa zaidi ya mara tano kwa utulivu mkubwa sana.

CCM naijua lakini Dr. Emmanuel Nchimbi namfahamu vizuri sana. Binafsi sioni ghilba wala ulaghai nikitazama “demeanour” yake na facial expression yake haina
Peter Madeleka (@pmadeleka) 's Twitter Profile Photo

Natoa SHUKRANI kwa Baraza la Uongozi la Chama Cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) kwa KUNITEUA kuwa Mjumbe wa Kamati ya KUZUIA UTEKAJI. Nimeupokea WAJIBU huu kwa HESHIMA na UNYENYEKEVU. Kila mtu ANAYO HAKI YA KUISHI. Tukatae UTEKAJI.

Natoa SHUKRANI kwa Baraza la Uongozi la Chama Cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) kwa KUNITEUA kuwa  Mjumbe wa Kamati ya KUZUIA UTEKAJI. Nimeupokea WAJIBU huu kwa HESHIMA na UNYENYEKEVU. Kila mtu ANAYO HAKI YA KUISHI. Tukatae UTEKAJI.
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Wakazi wa Kipunguni, kata ya Kipawa wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam wamesema wamechoshwa na ahadi za muda mrefu kutoka serikalini ambapo wakazi hao kutoka kwenye kaya zaidi ya 1800 wanadai fidia zao kufuatia kuachia eneo hilo kwa ajili ya upanuzi wa uwanja wa ndege

Hancy Machemba (@hancymachemba) 's Twitter Profile Photo

Yaani katiba ya kubadili haraka zaidi ni ile ya TLS Rais wake akae 10yrs Kuna mambo anarekebisha na yanahitaji muda zaidi. Miaka aliyonayo michache sana kwa wabongo kunyooka na tukafuata utawala wa kisheria

Vanessa Temba (@vannytemba) 's Twitter Profile Photo

Ndugu zangu account yangu ile ya Da Vee 👸 imekua suspended. Naomba mnifollow na kuengage kwa account yangu hii. Nitaandika thread kwa kirefu kwanini account imekua suspended ili wengine wajifunze. Inaniuma sana kutopeza account yenye followers zaidi ya 16k. Please Rt. 🤝

Ndugu zangu account yangu ile ya <a href="/VanesaTemba/">Da Vee 👸</a> imekua suspended. 

Naomba mnifollow na kuengage kwa account yangu hii.

Nitaandika thread kwa kirefu kwanini account imekua suspended ili wengine wajifunze.

Inaniuma sana kutopeza account yenye followers zaidi ya 16k.

Please Rt. 🤝
Moyo wa TAIFA ™️ (@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Mteja X alisema hawezi kunipa kazi coz Sina VAT...akasema siku ukiwa na VAT milango iko wazi,nikamuelewa. Mteja Y aliweka hilo sharti, nkatumia kampuni ya mtu kufanya kazi,ufanisi akauona,nikamuomba antolee hiko kigezo,akakubali , kanifikisha VAT 🙏. #Trust #BajabirLogistics

Mteja X alisema hawezi kunipa kazi coz  Sina VAT...akasema siku ukiwa na VAT milango iko wazi,nikamuelewa.

Mteja Y aliweka hilo sharti, nkatumia kampuni ya mtu kufanya  kazi,ufanisi akauona,nikamuomba antolee hiko kigezo,akakubali , kanifikisha VAT 🙏.
#Trust 
#BajabirLogistics
Moyo wa TAIFA ™️ (@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Bakhressa na umaarufu wote wa brands zake ila bado anafanya matangazo ya bidhaa zake. Ana King'amuzi, na channels zake kibao pamoja na Radio Station, lakini bado anatumia other media and channels kufanya matangazo ya products zake. Tangaza BIDHAA/HUDUMA yako.. #VijanaNaAjira

Bakhressa na umaarufu wote wa brands zake ila bado anafanya matangazo ya bidhaa zake.

Ana King'amuzi, na channels zake kibao pamoja na Radio Station, lakini bado anatumia other media and channels kufanya matangazo ya products zake.

Tangaza BIDHAA/HUDUMA yako..

#VijanaNaAjira
Ishengoma Irene (@ishengomairene) 's Twitter Profile Photo

Ahsante wajumbe kwa ushindi huu; lengo kuu ni kusongesha mbele gurudumu la maendeleo ya #sokalawanawaketz ⚽️🇹🇿❤️💃🏽🙏🏽

Mama_Minza😍🤩🥰 (@irenehomvye) 's Twitter Profile Photo

Habarini ndugu,jamaa,marafiki. Mtoto hapo chini ni mdogo wangu mtoto wa Mama angu mdogo kabisa,naombeni mnisaidie kusambaza hii picha tunamtafuta toka j5 hayupo nyumbani. AHSANTENI

Habarini ndugu,jamaa,marafiki.
Mtoto hapo chini ni mdogo wangu mtoto wa Mama angu mdogo kabisa,naombeni mnisaidie kusambaza hii picha tunamtafuta toka j5 hayupo nyumbani.
AHSANTENI
Ishengoma Irene (@ishengomairene) 's Twitter Profile Photo

Kutana na Mjumbe kamati ya utendaji ya TWFA 2024-2028🇹🇿⚽️. Nitatumia ujuzi, maarifa, uzoefu, mtandao wa wadau, na weledi nilionao kwa kushirikiana na viongozi wenzangu ili kuwa chachu ya kuleta mabadiliko chanya na kusongesha mbele gurudumu la maendeleo ya #sokalawanawaketz ❤️🙏🏽

Kutana na Mjumbe kamati ya utendaji ya TWFA 2024-2028🇹🇿⚽️.

Nitatumia ujuzi, maarifa, uzoefu, mtandao wa wadau, na weledi nilionao kwa kushirikiana na viongozi wenzangu ili kuwa chachu ya kuleta mabadiliko chanya na kusongesha mbele gurudumu la maendeleo ya #sokalawanawaketz ❤️🙏🏽
Hancy Machemba (@hancymachemba) 's Twitter Profile Photo

Kuna wakati kupitia Machemba Jr Mungu alinifunza mambo makuu mawili. 1. Kuamini yy ni mkuu sana hakuna gumu lolote kwake, 2. Kuheshimu kila mtu kwani hata yule unayemuona ni mdogo sana ana nafasi kubwa kwenye maisha yako. Siku moja nitawaeleza namna Mungu aliwahi kusema nami🙏

Kuna wakati kupitia Machemba Jr Mungu alinifunza mambo makuu mawili.
1. Kuamini yy ni mkuu sana hakuna gumu lolote kwake,
2. Kuheshimu kila mtu kwani hata yule unayemuona ni mdogo sana ana nafasi kubwa kwenye maisha yako.
 
Siku moja nitawaeleza namna Mungu aliwahi kusema nami🙏
Hancy Machemba (@hancymachemba) 's Twitter Profile Photo

Mh Tundu Antiphas Lissu kama hajaelewa mtumishi wa Mungu amesema nn.😂😂😂 Labda kwa kuwa haoni udugu wenyewe? Kama kweli tutaweka tofauti zetu za vyama pembeni na tukapendana basi nchi bora duniani itakuwa ni Tanzania.

Mh <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> kama hajaelewa mtumishi wa Mungu amesema nn.😂😂😂
Labda kwa kuwa haoni udugu wenyewe?
Kama kweli tutaweka tofauti zetu za vyama pembeni na tukapendana basi nchi bora duniani itakuwa ni Tanzania.