ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile
ACTWazalendo

@actwazalendo

ACT Wazalendo ni chama cha siasa nchini Tanzania kinachoahidi kuleta |ZanzibarMpya |ZanzibarMoja |MamlakaKamili |TaifaLaWote |MaslahiYaWote

ID: 1053666023277281280

linkhttp://www.actwazalendo.or.tz calendar_today20-10-2018 15:15:30

21,21K Tweet

14,14K Takipçi

164 Takip Edilen

ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

Leo Septemba 05, 2024, Chama cha ACTWazalendo kimefungua shauri la madai kuhoji uhalali wa OFISI YA RAIS TAMISEMI kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kesi itasikilizwa Septemba 12, 2024. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote

Leo Septemba 05, 2024, Chama cha ACTWazalendo kimefungua shauri la madai kuhoji uhalali wa OFISI YA RAIS TAMISEMI kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kesi itasikilizwa Septemba 12, 2024.

#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

ACT WAZALENDO YAHOJI MAHAKAMANI UHALALI WA TAMISEMI KUSIMAMIA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA. Chama cha ACTWazalendo kimefungua shauri la madai kuhoji uhalali na kuiomba Mahakama itoe amri ya kuizuia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) kuratibu,

ACT WAZALENDO YAHOJI MAHAKAMANI UHALALI WA TAMISEMI KUSIMAMIA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Chama cha ACTWazalendo kimefungua shauri la madai kuhoji uhalali na kuiomba Mahakama itoe amri ya kuizuia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) kuratibu,
ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

Kesho Septemba 06, 2024 Mwenyekiti wa ACTWazalendo Taifa, Ndugu Othman Masoud Othman atazungumza na waandishi wa habari. Muda: Saa 3:00 Asubuhi Mahala: Golden Tulip Hotel Zanzibar #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili

Kesho Septemba 06, 2024 Mwenyekiti wa ACTWazalendo Taifa, Ndugu Othman Masoud Othman atazungumza na waandishi wa habari.

Muda: Saa 3:00 Asubuhi
Mahala: Golden Tulip Hotel Zanzibar

#ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili
ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

Mkutano wa Mwenyekiti wa ACTWazalendo Ndugu Othman Masoud Othman utarushwa mubashara na Online Tv zifuatazo. 👉🏿ACT Media 👉🏿ACT Digital 👉🏿Mwanahalisi Tv 👉🏿Tifu Tv 👉🏿Jambo Tv 👉🏿The Chanzo #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili

Mkutano wa Mwenyekiti wa ACTWazalendo Ndugu Othman Masoud Othman utarushwa mubashara  na Online Tv zifuatazo.

👉🏿ACT Media
👉🏿ACT Digital
👉🏿Mwanahalisi Tv
👉🏿Tifu Tv
👉🏿Jambo Tv
👉🏿The Chanzo

#ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili