OFISI YA RAIS TAMISEMI(@ortamisemitz) 's Twitter Profileg
OFISI YA RAIS TAMISEMI

@ortamisemitz

Ukurasa Rasmi wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI, (Official Page for PO-RALG)
https://t.co/k3ENeUVQHe 1923
Dodoma
Email: [email protected]
Mji wa Serikali Mtumba

ID:1315583320311435264

linkhttp://www.tamisemi.go.tz calendar_today12-10-2020 09:22:05

6,5K Tweets

54,6K Followers

80 Following

OFISI YA RAIS TAMISEMI(@ortamisemitz) 's Twitter Profile Photo

Kiongozi wa mbio za Mwenge azindua Shule Mpya ya Msingi Misungi, Dumila .

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Godfley Mnzava amezindua shule mpya ya Msingi Misungi iliyopo Dumila Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro.

Ujenzi wa shule hiyo umehusisha ujenzi wa vyumba vya…

Kiongozi wa mbio za Mwenge azindua Shule Mpya ya Msingi Misungi, Dumila . Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Godfley Mnzava amezindua shule mpya ya Msingi Misungi iliyopo Dumila Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro. Ujenzi wa shule hiyo umehusisha ujenzi wa vyumba vya…
account_circle
OFISI YA RAIS TAMISEMI(@ortamisemitz) 's Twitter Profile Photo

*TARURA:PAIPU KALAVATI ZASAMBAZWA KURUDISHA MAWASILIANO BARABARA KILIMANJARO*

Kilimanjaro

Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Kilimanjaro wamenunua na kusambaza paipu kalavati kwaajili ya kurudisha mawasiliano kwenye madaraja yaliyokatika wakati wa…

*TARURA:PAIPU KALAVATI ZASAMBAZWA KURUDISHA MAWASILIANO BARABARA KILIMANJARO* Kilimanjaro Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Kilimanjaro wamenunua na kusambaza paipu kalavati kwaajili ya kurudisha mawasiliano kwenye madaraja yaliyokatika wakati wa…
account_circle
OFISI YA RAIS TAMISEMI(@ortamisemitz) 's Twitter Profile Photo

IDARA YA AFYA WATEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI MCHENGERWA

Mkurugenzi wa Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe OFISI YA RAIS TAMISEMI Dkt. Rashid Mfaume amefika wilayani Rufiji na Kibiti kukagua na kufanya tathmini ya uharibifu wa miundombinu ya Afya iliyoharibika kutokana na Mafuriko.…

IDARA YA AFYA WATEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI MCHENGERWA Mkurugenzi wa Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe @ortamisemitz Dkt. Rashid Mfaume amefika wilayani Rufiji na Kibiti kukagua na kufanya tathmini ya uharibifu wa miundombinu ya Afya iliyoharibika kutokana na Mafuriko.…
account_circle
OFISI YA RAIS TAMISEMI(@ortamisemitz) 's Twitter Profile Photo

MAAFISA TARAFA NA WATENDAJI WA KATA WATAKIWA KUTATUA KERO ZA WANANCHI

Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe.Kanali Evans Alfred Mtambi amefunga mafunzo ya Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata mkoani humo na kuwataka kwenda kutatua kero za wananchi kwenye maeneo yao.

Mhe. Mtambi ameyasema…

MAAFISA TARAFA NA WATENDAJI WA KATA WATAKIWA KUTATUA KERO ZA WANANCHI Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe.Kanali Evans Alfred Mtambi amefunga mafunzo ya Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata mkoani humo na kuwataka kwenda kutatua kero za wananchi kwenye maeneo yao. Mhe. Mtambi ameyasema…
account_circle
OFISI YA RAIS TAMISEMI(@ortamisemitz) 's Twitter Profile Photo

MAAFISA TARAFA NA WATENDAJI WA KATA WATAKIWA KUSIMAMIA UKUSANYAJI WA MAPATO YA NDANI

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Fatma Mwassa amewataka maafisa tarafa na watendaji wa kata kusimamia ukusanyaji wa mapato ya ndani na matumizi yake kwakuwa Serikali inaendelea kusisitiza matumizi…

MAAFISA TARAFA NA WATENDAJI WA KATA WATAKIWA KUSIMAMIA UKUSANYAJI WA MAPATO YA NDANI Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Fatma Mwassa amewataka maafisa tarafa na watendaji wa kata kusimamia ukusanyaji wa mapato ya ndani na matumizi yake kwakuwa Serikali inaendelea kusisitiza matumizi…
account_circle