David Moshi (@davidmoshi9687) 's Twitter Profile
David Moshi

@davidmoshi9687

Fundi aluminum upvs & Balcony

ID: 1804790653445877795

calendar_today23-06-2024 08:17:26

24 Tweet

2 Takipçi

23 Takip Edilen

Liberatus Mwang'ombe (@liberatus80) 's Twitter Profile Photo

Mh. January Makamba na Rais Samia Suluhu, naomba mfikirie watoto ambao wanazaliwa na Watanzania nje ya nchi. Wakifika miaka 18 wanalazimishwa wachague family, either familia yao ya Tanzania au ughaibuni. Tough choice. Tuachane na sheria ambazo zinatenganisha familia. #BirthRight is God

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: “Kwa bahati mbaya Watanzania tuna uelewa finyu sana kwenye uchambuzi na utambuzi wa bajeti na ukiangalia kinachoendelea kwa nchi za Jirani ni watu ambao wameweza kuusoma muswada wa fedha wa nchi zao na kuuelewa na ndiyo maana wameamka”- Wakili Massawe. Kaimu Mkurugenzi