Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe

@zittokabwe

Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWote

ID: 119385045

linkhttp://www.actwazalendo.or.tz calendar_today03-03-2010 13:48:48

164,164K Tweet

1,7M Takipçi

5,5K Takip Edilen

The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile Photo

Mazao 10 yaliyoongoza kwa mauzo nje ya nchi 2022/23: 1. Ufuta - Trilioni 1.3 2. Mahindi - Bilioni 629.0 3. Kahawa - Bilioni 418.4 4. Tumbaku - Bilioni 352.5 5. Korosho - Bilioni 282.6 6. Mchele - Bilioni 252.0 7. Dengu - Bilioni 237.0 8. Maharage - Bilioni 200.0 9.

Mazao 10 yaliyoongoza kwa mauzo nje ya nchi 2022/23:

1. Ufuta - Trilioni 1.3

2. Mahindi - Bilioni 629.0

3. Kahawa - Bilioni 418.4

4. Tumbaku - Bilioni 352.5

5. Korosho - Bilioni 282.6

6. Mchele - Bilioni 252.0

7. Dengu - Bilioni 237.0

8. Maharage - Bilioni 200.0

9.
Kassala (@vicent_kassala) 's Twitter Profile Photo

ZIARA AWAMU YA PILI SEPT 15, 2024 1. KC Dorothy Semu: Tanga Jimbo la Bumbuli. 2. M/Mwenyekiti Bara, Isihaka Mchinjita Jimbo la Kawe 3. Katibu Mkuu, Ado Shaibu Jimbo la Kibiti. 4. KC Mstaafu, Zitto MwamiRuyagwa Kabwe: Lupembe Njombe. #Miezi10 #WanachamaMilioni10 ACTWazalendo

ZIARA AWAMU YA PILI SEPT 15, 2024

1. KC Dorothy Semu: Tanga Jimbo la Bumbuli.

2. M/Mwenyekiti Bara, Isihaka Mchinjita Jimbo la Kawe

3. Katibu Mkuu, Ado Shaibu Jimbo la Kibiti.

4. KC Mstaafu, Zitto MwamiRuyagwa Kabwe: Lupembe Njombe.

#Miezi10 #WanachamaMilioni10
ACTWazalendo
Kassala (@vicent_kassala) 's Twitter Profile Photo

#Miezi10 #WanachamaMilioni10 Leo KC Mstaafu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe na timu yake watakuwa Lupembe katika mwendelezo wa ziara ya #Miezi10 #WanachamaMilioni10 Atakuwa live #KingsFM Radio inayorusha matangazo yake kutoka Njombe. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote #TheFutureIsPurple

#Miezi10 #WanachamaMilioni10

Leo KC Mstaafu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe na timu yake watakuwa Lupembe katika mwendelezo wa ziara ya #Miezi10 #WanachamaMilioni10

Atakuwa live #KingsFM Radio inayorusha matangazo yake kutoka Njombe.

#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
#TheFutureIsPurple
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Askofu Wolfgang Pisa ametoa wito kwa waumini wa Kanisa Katoliki, na Watanzania wote kwa ujumla wake kujenga tamaduni ya kuvumiliana na kustahimiliana kwenye kila jambo kwa kuwa kufanya hivyo ndio ishara njema ya

Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

Waziri Kivuli wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Ajira, Mhandisi Ndolezi yuko Mkoani Tanga kwenye Ziara ya KC Dorothy Semu. Picha hizi ni Mkutano wa Hadhara uliofanyika Jimbo la Kilindi ambapo Ndugu Waziri Kivuli alipata fursa ya kuhutubia. #Miezi10 #WanachamaMilioni10

Waziri Kivuli wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Ajira, Mhandisi Ndolezi yuko Mkoani Tanga kwenye Ziara ya KC Dorothy Semu. Picha hizi ni Mkutano wa Hadhara uliofanyika Jimbo la Kilindi ambapo Ndugu Waziri Kivuli alipata fursa ya kuhutubia.

#Miezi10 #WanachamaMilioni10
ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa ACTWazalendo, Ndugu Ado Shaibu amefanya Mkutano wa Hadhara katika Jimbo la Mafia. Katika Mkutano huo, Ndugu Katibu Mkuu aliambatana na Mjumbe wa Kamati Kuu Kanda ya Pwani, Bi. Riziki S. Mngwali. Pamoja na mambo mengine, Katibu Mkuu amezungumzia migogoro ya ardhi

Katibu Mkuu wa ACTWazalendo, Ndugu Ado Shaibu amefanya Mkutano wa Hadhara katika Jimbo la Mafia. Katika Mkutano huo, Ndugu Katibu Mkuu aliambatana na Mjumbe wa Kamati Kuu Kanda ya Pwani, Bi. Riziki S. Mngwali.

Pamoja na mambo mengine, Katibu Mkuu amezungumzia  migogoro ya ardhi
ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

KC Mstaafu Ndugu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe amefanya mkutano wa hadhara katika Jimbo la Njombe Mjini. Mwami yuko katika ziara ya kushajiisha usajili wa #WanachamaMilioni10 kwa kipindi cha #Miezi10. Katika ziara hiyo ameambatana na Mwenyekiti wa Ngome ya vijana_Official, Ndugu Abdul Nondo 🇹🇿. ACTWazalendo

KC Mstaafu Ndugu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe amefanya mkutano wa hadhara katika Jimbo la Njombe Mjini. Mwami yuko katika ziara ya kushajiisha usajili wa #WanachamaMilioni10 kwa kipindi cha #Miezi10. Katika ziara hiyo ameambatana na Mwenyekiti wa Ngome ya vijana_Official, Ndugu Abdul Nondo 🇹🇿.

ACTWazalendo
Dotto Rangimoto (@jinikinyonga) 's Twitter Profile Photo

Jana Sept 14, 2024, KC Dorothy Semu alifanya kikao cha ndani na viongozi wa Jimbo la Handeni Mjini. Hii ilikuwa ni kabla ya mkutano wa hadhara alioufanya kwenye Jimbo la Kilindi. Ujenzi wa ACTWazalendo unaendelea huku kila Jimbo likipata ujumbe wa kushiriki mabadiliko.

Jana Sept 14, 2024, KC Dorothy Semu alifanya kikao cha ndani na viongozi wa Jimbo la Handeni Mjini. Hii ilikuwa ni kabla ya mkutano wa hadhara alioufanya kwenye Jimbo la Kilindi.

Ujenzi wa ACTWazalendo unaendelea huku kila Jimbo likipata ujumbe wa kushiriki mabadiliko.
Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limelaani matukio ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini na kuvitaka vyombo vya dola kutimiza wajibu wake ipasavyo ili kurudisha heshima ya Tanzania kama kisiwa cha amani. Mbali na hilo, maaskofu hao wamesema viongozi waliopo kwenye

Janeth Rithe (@janerithe) 's Twitter Profile Photo

KC Dorothy Semu amefanya mkutano wa hadhara katika Jimbo la Kilindi Mkoani Tanga. Hii ni ziara ya awamu pili yenye madhumuni ya kuwasikiliza Wananchi na kushajiisha usajili wa Wanachama Milioni 10 kwa kipindi cha Miezi 10. #Miezi10 #WanachamaMilioni10 ACTWazalendo

KC Dorothy Semu amefanya mkutano wa hadhara katika Jimbo la Kilindi Mkoani Tanga. Hii ni ziara ya awamu pili yenye madhumuni ya kuwasikiliza Wananchi na kushajiisha usajili wa Wanachama Milioni 10 kwa kipindi cha Miezi 10.

#Miezi10 #WanachamaMilioni10
ACTWazalendo
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Mkoa wa Njombe umeibuka kuwa mkoa kiongozi katika kilimo cha zao la Parachichi. Mwaka 2023 Tanzania imeuza nje Parachichi za USD 80M kutoka USD 50M mwaka 2022. Hata hivyo malalamiko makubwa ya wakulima wa Mkoa wa Njombe ni barabara za vijijini ambapo madhara yake ni kuharibu

Mkoa wa Njombe umeibuka kuwa mkoa kiongozi katika kilimo cha zao la Parachichi. Mwaka 2023 Tanzania imeuza nje Parachichi za USD 80M kutoka USD 50M mwaka 2022.

Hata hivyo malalamiko makubwa ya wakulima wa Mkoa wa Njombe ni barabara za vijijini ambapo madhara yake ni kuharibu
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Mazao yanayoongoza kuingiza fedha za kigeni nchini sio mazao tuliyozoea. Ufuta na Mahindi zimeingiza USD zaidi kuliko Kahawa, Tumbaku, Korosho, Pamba, Pareto combined! Muundo wa uchumi unabadilika, mtazamo wa watawala upo pale pale

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

“Tunafahamu hapa mafia kuna mgogoro wa ardhi, ardhi ni uhai, ardhi ni urithi wetu. Kwenye kisiwa kidogo kama hiki mtu, akikupora ardhi, anakuwa ndio amekupora uhai wako. Watu wa mafia sisi, ACT Wazalendo tumetangaza vita dhidi ya wezi wa rasilimali zenu. Kwa hiyo, nanyi