Kanani Jason (Agriculture Specialist)(@jason_kanani) 's Twitter Profileg
Kanani Jason (Agriculture Specialist)

@jason_kanani

Agricultural Specialist|Agronomist|Agriculture Consultant|Climate Change Activist|Resercher|Trainer|Farmer
For Business Call https://t.co/cGcRrFlfyk

ID:1143646696007786498

linkhttp://www.kingdomsnacksltd.com calendar_today25-06-2019 22:26:35

35,3K Tweets

6,9K Followers

6,0K Following

Mponda the farmer🇹🇿(@MpondaSabinus) 's Twitter Profile Photo

Kwangu Mimi sio sahihi, kilimo kujifunza mtandaoni,au kwa watu tunaokutana nao mitandaoni au kwa njia zingine. Kilimo kinahitaji kujifunza kwa watu wanaoishi vitendo sio kwa Watu wanaoishi kinadharia, kihadithi hadithi.

Kwangu Mimi sio sahihi, kilimo kujifunza mtandaoni,au kwa watu tunaokutana nao mitandaoni au kwa njia zingine. Kilimo kinahitaji kujifunza kwa watu wanaoishi vitendo sio kwa Watu wanaoishi kinadharia, kihadithi hadithi.
account_circle
Mponda the farmer🇹🇿(@MpondaSabinus) 's Twitter Profile Photo

2022 2023
Hiyo misimu Mkulima wa mahindi unauzia shambani hapo kg sh 600 -700, mifuko, kamba, kushona, gharama ya mnunuzi, eka umetoa zako gunia 27 👇 na gunia Hilo Huwa na kg 128, Eka una Tan 3.4.

2022 2023 Hiyo misimu Mkulima wa mahindi unauzia shambani hapo kg sh 600 -700, mifuko, kamba, kushona, gharama ya mnunuzi, eka umetoa zako gunia 27 👇 na gunia Hilo Huwa na kg 128, Eka una Tan 3.4.
account_circle
Sibobugingo JoëL(@JoelOptimist1) 's Twitter Profile Photo

When you're new to farming, you'll make mistakes. But don't give up or give in! Learn from your mistakes and losses.

Over time, you'll succeed and become skilled.

Everything you touch will then have a greater chance of success.

When you're new to farming, you'll make mistakes. But don't give up or give in! Learn from your mistakes and losses. Over time, you'll succeed and become skilled. Everything you touch will then have a greater chance of success. #farmingtips #whatigrewtoday #learnontiktok
account_circle
Produbio Congo(@ProdubioCongo) 's Twitter Profile Photo

La pluie, c'est l'eau d'arrosage la moins chère, mais avec le changement climatique, on peut plus trop s'y fier. Il faut donc s'équiper d'un système d'irrigation, même simple, pour pouvoir arroser quand il le faut.


🇨🇬

La pluie, c'est l'eau d'arrosage la moins chère, mais avec le changement climatique, on peut plus trop s'y fier. Il faut donc s'équiper d'un système d'irrigation, même simple, pour pouvoir arroser quand il le faut. #agriculture #Congo #ChezMoiAuCongo🇨🇬
account_circle
Shimo(@ShimoYvette) 's Twitter Profile Photo

The future of food security lies in the hands of young , who posses the power to ensure a sustainable tomorrow

The future of food security lies in the hands of young #farmers, who posses the power to ensure a sustainable tomorrow
account_circle
Agnes M. Kalibata(@Agnes_Kalibata) 's Twitter Profile Photo

Receiving UN Food Systems Coordination Hub Reader - the compiled work of the Scientific Group of the Food Systems Summit led by Prof Joachim. The book will reach 1 million downloads in a month! Don't miss out on the fun-download your copy &look out for the comms on the moment-foodsystems are here!

Receiving @FoodSystems Reader - the compiled work of the Scientific Group of the Food Systems Summit led by Prof Joachim. The book will reach 1 million downloads in a month! Don't miss out on the fun-download your copy &look out for the comms on the moment-foodsystems are here!
account_circle
Kigwa Aveki(@AvekiKigwa) 's Twitter Profile Photo

Leo nilipata bahati ya kuwa mtoa mada katika semina ya vijana wa kidini katika swala zima la matumizi ya mbegu bora pamoja na mbinu bora za kilimo.

Katika hilo nilikutana na kijana mkulima wa mpunga lakini anatumia mbegu za asili hivyo kupata mavuno kidogo sana

Leo nilipata bahati ya kuwa mtoa mada katika semina ya vijana wa kidini katika swala zima la matumizi ya mbegu bora pamoja na mbinu bora za kilimo. Katika hilo nilikutana na kijana mkulima wa mpunga lakini anatumia mbegu za asili hivyo kupata mavuno kidogo sana
account_circle
Lucas E. Malembo(@MalemboLE) 's Twitter Profile Photo

Upendo wetu unaendelea kuimarika na daima unaendelea kustawi, Leo tena katika Kigoda cha , tumekutana Kula na Kujifunza.

Ikumbukwe Kula Ugali na Elimu ya maswala mtambuka ni jukwaa moja na pekee kwa Tanzania. Malembo Farm

Upendo wetu unaendelea kuimarika na daima unaendelea kustawi, Leo tena katika Kigoda cha #UgaliElimu, tumekutana Kula na Kujifunza. Ikumbukwe Kula Ugali na Elimu ya maswala mtambuka ni jukwaa moja na pekee kwa Tanzania. @MalemboFarm
account_circle
Lucas E. Malembo(@MalemboLE) 's Twitter Profile Photo

Darasa linaendelea leo tunapata busara za Mzee Jenereli Ulimwengu Jenerali Ulimwengu kuhusu “Dhana ya viwanda hapa Nchini”

Tanzania tunahitaji viwanda vya aina gani? Maoni yako ni muhimu karibu. Malembo Farm

Darasa linaendelea #UgaliElimu leo tunapata busara za Mzee Jenereli Ulimwengu @raiyajenerali kuhusu “Dhana ya viwanda hapa Nchini” Tanzania tunahitaji viwanda vya aina gani? Maoni yako ni muhimu karibu. #UgaliElimu @MalemboFarm
account_circle
Cappuccino✨(@_GiftApril_) 's Twitter Profile Photo

Mkulima kijana kutoka jijini Arusha, Edward Jacob anayejihusisha na kilimo cha Mbogamboga na Matunda ameeleza faida za matumizi ya Mbegu bora na matarajio yake kuelekea Bajeti ya Kilimo kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 itakayosomwa Bungeni jijini Dodoma mnamo Mei 02 na Mei 03, 2024.

account_circle