JAXiS(@jaxis__) 's Twitter Profileg
JAXiS

@jaxis__

ID:1092626584329220098

calendar_today05-02-2019 03:30:52

51,6K Tweets

4,7K Followers

5,0K Following

JAXiS(@jaxis__) 's Twitter Profile Photo

zamani kuna tangazo la wig nilikuwa nalisikia redioni.

onset
set mashine ya mvua
action

huko ndo nikajua kumbe huwa kuna mashine za mvua kwenye kushootπŸ˜„

account_circle
hold on 🌝(@Litelight9) 's Twitter Profile Photo

Anatafutwa mtu wa kutengeneza na kuuza juice ....

,,πŸ“ Dodoma Kikuyu

Kindly call us 0695475044
Jinsia yoyote ....

Awe tayari kuzungusha order pia

Anatafutwa mtu wa kutengeneza na kuuza juice .... ,,πŸ“ Dodoma Kikuyu Kindly call us 0695475044 Jinsia yoyote .... Awe tayari kuzungusha order pia
account_circle
Stephen Charema(@MsangiJr4) 's Twitter Profile Photo

Usiwe na haraka katika biashara. Jipe muda wa kujifunza, ili hatua kubwa zikija uwe umekomaa. Usijarajishe faida ya kifedha, bila kuwa na mtandao wa kibiashara. Anza kidogo kidogo, jijengee mtandao wako, faida zitakuja kwa wingi baadae.

account_circle
Allan Lucky(@Allan_Lucky) 's Twitter Profile Photo

Kuna mtu yeyote Dodoma anajisikia kugawa vitabu vyake ambavyo havihitaji tena? Novels, inspirational books etc? If yes, naomba niwe dampo lako. Nicheki.

account_circle
JAXiS(@jaxis__) 's Twitter Profile Photo

hapo inategemeana na madem unaodate nao.

ikiwa madem zako ni wale wakija geto lazima msosi ukanunuliwe basi kwako nibora uendelee kununua tu chakula.

lakini pia kununua kuna save muda.

account_circle
Dr Mmbaga(@ZakayoMmbaga) 's Twitter Profile Photo

IJUE RHESUS FACTOR NA UJAUZITO.
Bila shaka umewahi kuwasikia wataalamu wa afya wakisisitiza umuhimu wa wenza kufanya vipimo mbalimbali kabla ya kuamua kuwa pamoja kwa ajili ya kutengeneza familia (kuzaa).
Moja ya vipimo vinavyosisitizwa ni cha makundi ya damu na Rhesus.

IJUE RHESUS FACTOR NA UJAUZITO. #UZI Bila shaka umewahi kuwasikia wataalamu wa afya wakisisitiza umuhimu wa wenza kufanya vipimo mbalimbali kabla ya kuamua kuwa pamoja kwa ajili ya kutengeneza familia (kuzaa). Moja ya vipimo vinavyosisitizwa ni cha makundi ya damu na Rhesus.
account_circle
M A G I R I(@Kiganyi_) 's Twitter Profile Photo

Unalazimishwa kujiuzuru Urais.

Unaomba upeleke mkeo nyumbani, unakataliwa.

Unaenda Airport unakuta ndege yako haipo.

Unatua airport hakuna wa kukupokea.

Unapelekwa mji mwema.

Unajaribu kupiga simu, unagundua iko disconnected.

Huyu mzee alifanyiwa matukio ya kigangsta sana.

Unalazimishwa kujiuzuru Urais. Unaomba upeleke mkeo nyumbani, unakataliwa. Unaenda Airport unakuta ndege yako haipo. Unatua airport hakuna wa kukupokea. Unapelekwa mji mwema. Unajaribu kupiga simu, unagundua iko disconnected. Huyu mzee alifanyiwa matukio ya kigangsta sana.
account_circle